Hivi watu wa aina gani wanaokutana na LEMA wakajadili masuala ya siasa? Huyu jamaa nilisoma CV yake wee acha tu, eti kasoma elimu ya msingi miaka minane, halafu mwaka huo huo aliomaliza darasa la saba akaanza kidato cha kwanza. Remarks kwenye sehemu ya graduate imeandikwa not completed. Kuna haja hao jamaa wa majuu wakapitia profiles za watu wetu kabla hawajaingia nao mazungumzo otherwise watakuwa wanakutana na magenge ya wahuni.
Hivi hamjakata tamaa kwenye hili?Migomo ya wafanyakazi wa umma
Chama kina tangatanga hichi tutegemee na matawi yatafunguliwa baharini,kwenye mito na maziwa
we kalia tu hayo mavyeti wenzako tunaangalia nani anafanya nini sio kuringia madarasa ...kwa taarifa yako wazungu huwa hawaangalii vyeti huwa wanaaangalia uwezo wa mtu anaweza kufanya nini dunia hii...na kuna watu hawajaenda shule lakini wameajiri walioeenda shule yaaaaaani maph
M4C pasua anga baba. Heko kwa kamanda Lema na makamanda wengine wa Chadema, hili Gamba limetuchosha jamani pambaneni tulivulie mbali 2015..ukizingatia na walimu wamenyimwa sensa mhhhhhh ahaaaa patamu
Muda si mrefu, mikakati ya kufungua tawi sayari ya mars utafika.
magamba wamefungua tawi msitu wapande!
Wadau, wa JF,
Chama cha demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wanaendelea kujitanua kimataifa baada ya kufunguwa matawi Marekani, Uingereza, Ujerumani sasa hivi wanaelekea kufungua matawi nchini China katika miji ya Guilin, Guangzhou, Hangzhou, Shanghai, operesheni hizo za kufunguwa matawi zitaongozwa na mbunge wa zamani wa Arusha Mjini Godbless Lema na makamanda wengine wa CHADEMA.
Watanzania ambao wanaishi China kaeni tayari kuipokea CHADEMA, habari kamili mtazipata kutoka kwa viongozi wa CHADEMA na kupitia humu jamvini.
eace:

unamaana hayo maziwa unayoyachungulia?Chama kina tangatanga hichi tutegemee na matawi yatafunguliwa baharini,kwenye mito na maziwa
Chama kina tangatanga hichi tutegemee na matawi yatafunguliwa baharini,kwenye mito na maziwa
duuuh mkuu uko mbali sana na ukweli wabongo wamejaa ukowatanzania wa-kichina (fake tanzanians) siyo watanzania, watanzania wafuate nini china kama wachina wenyewe wanaona tz dili.
Watakutana huko na Said wa Home Shopping Center, halafu wamwambie awasaidie kwenye mikutano yao. Watapata wachina wengi wataoingia CHADEMA. Kwi kwi kwi teh teh teh!