CHADEMA kuchangisha wananchi hii imekaaje wadau

Watery

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
1,746
2,000
Chama chetu cha kisiasa CHADEMA katika kampain zake kinawaomba wafwasi wake kuchangisha ili kukiendeleza chama kwani gharama za kampain ni kubwa,
Kutokana na chama iko kuwa na wafwasi wengi nchini jambo hili kwa umoja likifanyika ni nyongeza sana kwa hella za kampain

Mfano wanachama laki moja wakichangia elf10 kila moja au on average basi wanapata kama bilion1 ambayo kiukweli ni hella kubwa
Na itafanikisha mambo yao mengi katika kampain na uchaguzi

Ila upande wa pili RUZUKU wanayolipwa ya milion 300 kwa mwezi ndani ya miaka hii mitano na milion 211 kwa mwezi kuanzia mwaka 2010-->2015 inaleta kiasi cha bilion 31, hiki kinaenda wapi, au kinafanya maendeleo gani kwa chama
Sasa kama hawawezi kujijenga wenyewe watajengaje nchi???
 
Jile79

JF-Expert Member
May 28, 2009
17,374
2,000
Maccm yenyewe yanatumia
. Magari na ndege za serikali
. Pesa mabilioni ya Corona waliyochanga wafanyabiashara kwa kulazimishwa
. Pesa walizonyang'anya wafanyabiashara kwa kesi za kutunga eti wakubali makosa
. Pesa zilizopotea kimazingara 1.5tn zilizopelekea hata CAG mzalendo kufukuzwa kazi
. Ufisadi wa manunuzi ya siri ya ndege na ujenzi wa chato zote zimepelekwa kampeni ccm....

Ccm ni chama cha kigaidi na hii ni serikali ya kishetani
 
zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
1,669
2,000
huu ni uonevu kwa nini mwenyekiti hajitolei wakati ana uwezo na rasilimali nyingi tu!!! hadi watubananishe sisi walala hoi!!!
 
fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
7,363
2,000
Chama chetu cha kisiasa CHADEMA katika kampain zake kinawaomba wafwasi wake kuchangisha ili kukiendeleza chama kwani gharama za kampain ni kubwa,
Kutokana na chama iko kuwa na wafwasi wengi nchini jambo hili kwa umoja likifanyika ni nyongeza sana kwa hella za kampain

Mfano wanachama laki moja wakichangia elf10 kila moja au on average basi wanapata kama bilion1 ambayo kiukweli ni hella kubwa
Na itafanikisha mambo yao mengi katika kampain na uchaguzi

Ila upande wa pili RUZUKU wanayolipwa ya milion 300 kwa mwezi ndani ya miaka hii mitano na milion 211 kwa mwezi kuanzia mwaka 2010-->2015 inaleta kiasi cha bilion 31, hiki kinaenda wapi, au kinafanya maendeleo gani kwa chama
Imekaa vizuri kabisa, CCM unaona wanavyotumia mabilioni kwenye uchaguzi unafikiri hela hizo zinatoka mfukoni kwa Magufuli? Ni kodi mnazochangishwa zinaliwa hivyo.
 
  • Love
Reactions: BAK

Kapwil

JF-Expert Member
Sep 5, 2018
2,099
2,000
Maccm yenyewe yanatumia
. Magari na ndege za serikali
. Pesa mabilioni ya Corona waliyochanga wafanyabiashara kwa kulazimishwa
. Pesa walizonyang'anya wafanyabiashara kwa kesi za kutunga eti wakubali makosa
. Pesa zilizopotea kimazingara 1.5tn zilizopelekea hata CAG mzalendo kufukuzwa kazi
. Ufisadi wa manunuzi ya siri ya ndege na ujenzi wa chato zote zimepelekwa kampeni ccm....

Ccm ni chama cha kigaidi na hii ni serikali ya kishetani
Wao hawachangishi
IMG_20200911_141325.jpeg
 
Kapwil

JF-Expert Member
Sep 5, 2018
2,099
2,000
Imekaa vizuri kabisa, CCM unaona wanavyotumia mabilioni kwenye uchaguzi unafikiri hela hizo zinatoka mfukoni kwa Magufuli? Ni kodi mnazochangishwa zinaliwa hivyo.
Na kodi wanatumia na michango ni lazima
IMG_20200911_141325.jpeg
 
Jile79

JF-Expert Member
May 28, 2009
17,374
2,000
Waliozisha hii thread baada ya hii barua siwaoni kabisa wamepotea
Ni sawa na misukule ya lumumba ilipoanzisha mada ya Chadema kuongeza ubeti wa 3 kwenye wimbo wa taifa tulipo post lips mbalimbali za uvccm walioongeza beti wakapotea wote....

Ccm ni laana ya taifa
 
Kapwil

JF-Expert Member
Sep 5, 2018
2,099
2,000
Hizi ni za mitahani tu mbona, mi naongelea general issue ya uchaguzi mkuu na sio vijikao vya chini
Wewe inaonyesha jinsi gani akili yako ilivyondogo za mitaani ndio nn huoni mpaka mhuri wa ofisi
 
Watery

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
1,746
2,000
Waliozisha hii thread baada ya hii barua siwaoni kabisa wamepotea
Wapi ulisikia mgombea mkubwa wa CCam anaomba mchango, au ata hiyo barua imetengenezwa hamna kitu kama iko, na hizo gari ni gari za CCM na magengo ya CCM na sio ya chama au watu, ukweli kwa chama kikubwa na mnapata hella nyingi ni aibu ka hamjijengi na mnaonesha hamna hella na matumizi ya hella hayajulikani yanaenda wapi
Huo ndo ukweli na inabid ukweli usemwe
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom