Watery
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 2,720
- 3,456
Chama chetu cha kisiasa CHADEMA katika kampain zake kinawaomba wafwasi wake kuchangisha ili kukiendeleza chama kwani gharama za kampain ni kubwa,
Kutokana na chama iko kuwa na wafwasi wengi nchini jambo hili kwa umoja likifanyika ni nyongeza sana kwa hella za kampain
Mfano wanachama laki moja wakichangia elf10 kila moja au on average basi wanapata kama bilion1 ambayo kiukweli ni hella kubwa
Na itafanikisha mambo yao mengi katika kampain na uchaguzi
Ila upande wa pili RUZUKU wanayolipwa ya milion 300 kwa mwezi ndani ya miaka hii mitano na milion 211 kwa mwezi kuanzia mwaka 2010-->2015 inaleta kiasi cha bilion 31, hiki kinaenda wapi, au kinafanya maendeleo gani kwa chama
Sasa kama hawawezi kujijenga wenyewe watajengaje nchi???