CHADEMA kuchangisha wananchi hii imekaaje wadau

Hizi ni za mitahani tu mbona, mi naongelea general issue ya uchaguzi mkuu na sio vijikao vya chini

Walikulazimisha au walikuja kukugongea hapo ulipo panga ili uwachangie? Mbona UVCCM mna mambo ya umbea umbea sana!!! Naomba majibu tafadhali.
 
Hakuna cha kushangaza hapo, Kama CCM pamoja na kupata mabilioni ya ruzuku miaka yote 5, na pia kujichotea wanakojitea lakini bado wanatangaza michango ya kufanikisha ushindi, tunaanzaje kuwadiscuss CHADEMA? binafsi nafikiri tafsiri rahisi ni kwamba huko kuomba michango ya wananchi ni kuwashirikisha wananchi katika kuasisi mabadiliko ya kweli kwa manufaa yao wenyewe!
 
Ni poa tu, hii ndio huitwa nguvu ya UMMA ..

Sasa mgombea wetu atazunguka na Chopa wakati wa kampeni Nchi nzima.
 
Back
Top Bottom