Kimekuuma nini? Acha wenye moyo safi tumchangie ili hilo lake liwekwe makumbushoni Chama kibovu kuwai kutokea kwasasa

Mbona unatapatapa sana. Nyie chawa endeleeni kumchangia mama yenu achukue fomuni aibu kwa Chama chenu kuja na kuomba mchango kwa wananchi
Nani anamwibia nani hapo?Kwa akili ya kawaida ili swala la kumchangia gari lissu ni wizi na ufisadi, kwa hali ya kawaida wanae mchangia ndiye anasema anataka kuondoa umasikini kwa watz ila bado anaomba msaada kwa masikini hao ambao wanamtegemea yeye kuja kuwatoa katika wimbi la umasikini hii imekaaje kaaje?
Lissu acha kuibia watz ilo lipo wazi wewe umejitosheleza kwa kila kitu bado unakuja mbele ya watu unaomba mchango upate gari jipya kweli kwa masikini hao hao ambao hawana ajira ambao bado hawajajua hatima yao ya kesho bado wanapambana kupata bei mzuri ya kuuza mazao yao mbona unakuwa na tabia za chuma ulete.
Michango ya chadema inakuwa na manufaa kwa viongozi na sio Chama kuna vitu tunatakiwa kuonyesha uzalendo lakini sio kwa kuchangia gari chadema na wanachama wake muwe mnajitathimi michango ambayo mnaieleta kwa wananchi wawa wawachangie
CHADEMA kwa hali mlio fikia hampaswi kuitwa Chama kikuu cha upinzani Tz tunaona wazi kabisa kuwa mnania ya kuwafanya masikini wazidi kuwa masikini zaid
Ni sawa, mbona Watu walimchangia mh. RAIS Mil. 120 za kuchukulia fomu kwamba Hana Hela au? Wakuu shule nao wanalichanga za KUTOSHA zikaenda ...Sawa ila unaona ni sawa?
Ni kuendekeza umasikini na kuwa namba.Uzuri michango ni hiari, pia haimaanishi Lisu hawezi nunua, ni sehemu ya walioguswa. Si kila anaechangiwa hajiwezi.
Siasa na Michango tena tena!!🤔🤔!
Ila unaona ni sawa watu kuchangishwa hela za form ya mwenyekiti si ndio kama mnavyo Fanya?Sawa ila unaona ni sawa?
Kipi kinachochea umasikini kati ya kuchangisha fedha kununua gari la Lisu na kuchangisha kwa ajili ya form ya Kizimkazi na kuchonga kile kinyago kule Ethiopia ambacho hakina sura yoyote ya Mtanganyika kwa kutumia kodi za raia?Kwa akili ya kawaida ili swala la kumchangia gari lissu ni wizi na ufisadi, kwa hali ya kawaida wanae mchangia ndiye anasema anataka kuondoa umasikini kwa watz ila bado anaomba msaada kwa masikini hao ambao wanamtegemea yeye kuja kuwatoa katika wimbi la umasikini hii imekaaje kaaje?
Lissu acha kuibia watz ilo lipo wazi wewe umejitosheleza kwa kila kitu bado unakuja mbele ya watu unaomba mchango upate gari jipya kweli kwa masikini hao hao ambao hawana ajira ambao bado hawajajua hatima yao ya kesho bado wanapambana kupata bei mzuri ya kuuza mazao yao mbona unakuwa na tabia za chuma ulete.
Michango ya chadema inakuwa na manufaa kwa viongozi na sio Chama kuna vitu tunatakiwa kuonyesha uzalendo lakini sio kwa kuchangia gari chadema na wanachama wake muwe mnajitathimi michango ambayo mnaieleta kwa wananchi wawa wawachangie
CHADEMA kwa hali mlio fikia hampaswi kuitwa Chama kikuu cha upinzani Tz tunaona wazi kabisa kuwa mnania ya kuwafanya masikini wazidi kuwa masikini zaid
Hapo ndio unachemka Sasa, hiyo katiba iliyotungwa na bunge ambalo pia limepitisha mshahara kwa wenza wa Marais!!! Hao waliwafikiria wanyonge wa nchi hii, ukamlipe mshahara mwenza wa Rais na hapohapo na Rais analipwa. Mbona hauko fair?katiba inasemaje?
Sisi tunachanga anunue jipya, ww kaongee naye akuuzie kisha uwafuate bima wakulipe jipya.ilo gari halikuwa na bima?
acheni kuwa wapumbavu na mmesoma mlipelekwa shule kuondoa ujinga na kuongeza uwezo wa kufikiri wewe unapanga foleni kwenye mwendo kasi af leo unamchangia mtu pesa ili asinyeshewe na mvua izo ni akili kwli
Usimchangie lissu kamchangie kizimkazi fomu ya uraisiKwa akili ya kawaida ili swala la kumchangia gari lissu ni wizi na ufisadi, kwa hali ya kawaida wanae mchangia ndiye anasema anataka kuondoa umasikini kwa watz ila bado anaomba msaada kwa masikini hao ambao wanamtegemea yeye kuja kuwatoa katika wimbi la umasikini hii imekaaje kaaje?
Lissu acha kuibia watz ilo lipo wazi wewe umejitosheleza kwa kila kitu bado unakuja mbele ya watu unaomba mchango upate gari jipya kweli kwa masikini hao hao ambao hawana ajira ambao bado hawajajua hatima yao ya kesho bado wanapambana kupata bei mzuri ya kuuza mazao yao mbona unakuwa na tabia za chuma ulete.
Michango ya chadema inakuwa na manufaa kwa viongozi na sio Chama kuna vitu tunatakiwa kuonyesha uzalendo lakini sio kwa kuchangia gari chadema na wanachama wake muwe mnajitathimi michango ambayo mnaieleta kwa wananchi wawa wawachangie
CHADEMA kwa hali mlio fikia hampaswi kuitwa Chama kikuu cha upinzani Tz tunaona wazi kabisa kuwa mnania ya kuwafanya masikini wazidi kuwa masikini zaid
Kwa akili ya kawaida ili swala la kumchangia gari lissu ni wizi na ufisadi, kwa hali ya kawaida wanae mchangia ndiye anasema anataka kuondoa umasikini kwa watz ila bado anaomba msaada kwa masikini hao ambao wanamtegemea yeye kuja kuwatoa katika wimbi la umasikini hii imekaaje kaaje?
Lissu acha kuibia watz ilo lipo wazi wewe umejitosheleza kwa kila kitu bado unakuja mbele ya watu unaomba mchango upate gari jipya kweli kwa masikini hao hao ambao hawana ajira ambao bado hawajajua hatima yao ya kesho bado wanapambana kupata bei mzuri ya kuuza mazao yao mbona unakuwa na tabia za chuma ulete.
Michango ya chadema inakuwa na manufaa kwa viongozi na sio Chama kuna vitu tunatakiwa kuonyesha uzalendo lakini sio kwa kuchangia gari chadema na wanachama wake muwe mnajitathimi michango ambayo mnaieleta kwa wananchi wawa wawachangie
CHADEMA kwa hali mlio fikia hampaswi kuitwa Chama kikuu cha upinzani Tz tunaona wazi kabisa kuwa mnania ya kuwafanya masikini wazidi kuwa masikini zaid
Suala la Mchango ni la hiari na tumeoana Wanasiasa mbalimbali wakichangiwa bila kujali itikadi zao.Kwa akili ya kawaida ili swala la kumchangia gari lissu ni wizi na ufisadi, kwa hali ya kawaida wanae mchangia ndiye anasema anataka kuondoa umasikini kwa watz ila bado anaomba msaada kwa masikini hao ambao wanamtegemea yeye kuja kuwatoa katika wimbi la umasikini hii imekaaje kaaje?
Lissu acha kuibia watz ilo lipo wazi wewe umejitosheleza kwa kila kitu bado unakuja mbele ya watu unaomba mchango upate gari jipya kweli kwa masikini hao hao ambao hawana ajira ambao bado hawajajua hatima yao ya kesho bado wanapambana kupata bei mzuri ya kuuza mazao yao mbona unakuwa na tabia za chuma ulete.
Michango ya chadema inakuwa na manufaa kwa viongozi na sio Chama kuna vitu tunatakiwa kuonyesha uzalendo lakini sio kwa kuchangia gari chadema na wanachama wake muwe mnajitathimi michango ambayo mnaieleta kwa wananchi wawa wawachangie
CHADEMA kwa hali mlio fikia hampaswi kuitwa Chama kikuu cha upinzani Tz tunaona wazi kabisa kuwa mnania ya kuwafanya masikini wazidi kuwa masikini zaid
Umemjibu vizuri sana. Hatarudia.Uzuri michango ni hiari, pia haimaanishi Lisu hawezi nunua, ni sehemu ya walioguswa. Si kila anaechangiwa hajiwezi.
Eee! Ni sawaSawa ila unaona ni sawa?
yaacheni yaparurane majinga bado yapo mengiKwa akili ya kawaida ili swala la kumchangia gari lissu ni wizi na ufisadi, kwa hali ya kawaida wanae mchangia ndiye anasema anataka kuondoa umasikini kwa watz ila bado anaomba msaada kwa masikini hao ambao wanamtegemea yeye kuja kuwatoa katika wimbi la umasikini hii imekaaje kaaje?
Lissu acha kuibia watz ilo lipo wazi wewe umejitosheleza kwa kila kitu bado unakuja mbele ya watu unaomba mchango upate gari jipya kweli kwa masikini hao hao ambao hawana ajira ambao bado hawajajua hatima yao ya kesho bado wanapambana kupata bei mzuri ya kuuza mazao yao mbona unakuwa na tabia za chuma ulete.
Michango ya chadema inakuwa na manufaa kwa viongozi na sio Chama kuna vitu tunatakiwa kuonyesha uzalendo lakini sio kwa kuchangia gari chadema na wanachama wake muwe mnajitathimi michango ambayo mnaieleta kwa wananchi wawa wawachangie
CHADEMA kwa hali mlio fikia hampaswi kuitwa Chama kikuu cha upinzani Tz tunaona wazi kabisa kuwa mnania ya kuwafanya masikini wazidi kuwa masikini zaid
Acha kutupigia kelele na makalio, soma wizi wa CCM, hata kama chadema wanaiba, ni kwa wanachama wao tu, Ila CCM wanaiba kizazi kizima cha Tanzania,Kwa akili ya kawaida ili swala la kumchangia gari lissu ni wizi na ufisadi, kwa hali ya kawaida wanae mchangia ndiye anasema anataka kuondoa umasikini kwa watz ila bado anaomba msaada kwa masikini hao ambao wanamtegemea yeye kuja kuwatoa katika wimbi la umasikini hii imekaaje kaaje?