CHADEMA Kuchagua Siasa: Plan "A" Vs Plan "B". (Hakikisha unapitia kwa makini.)

Posts zako kama macho yako .Yatadondoka kaka .You are really spending your time kwa upuuzi huu ? Waacheni Chadema wajipange .
 
Wakati unaongelea chama cha siasa cha upinzani. Hauna haja ya Plan A wala Plan B wala Plan C.

Chama cha siasa cha upinzani unakijenga kwa njia moja tu. Uongo.

Hiyo ndio plan pekee walionayo chadema. Mpaka wamefikia kujidanganya wewe ndani ya chama.

Hakuna hata mmoja ndani ya chadema ambae anafanya siasa isiyokuwa na uongo, kila kitu wao uongo ndiyo wameweka mbele.

Ndani ya chama, Mbowe anawadanganya wenzake na kuwauzia Mafuso mitumba kwa bei kuliko ya mapya.

Nje ya chama, Mbowe anawadanganya Watanzania kuwa anarudisha gari la kifahari. Kumbe analirudisha gari lililotumika na Hamad Rashid mlango wa Mbele na anapokea jipya mlango wa nyuma.

Ikiwa Mwenyekiti ni namna hiyo, anaowaongoza wakoje?

Waongo wakutupwa!
 
"Kuna watu wana viwanda vya uongo" - Kikwete
 
Back
Top Bottom