Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,697
- 8,843
Nionavyo ni kwamba baadhi yenu ndani ya Chadema hata hamjui misingi ya hiki Chama.Hiki ni Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambapo kutofautiana kimtazamo & kukosoana ni moja wapo ya values za hiki Chama.You could be on the wrong Party for sure!Sorry!!??
TECH WIZ
Without Sorry!
Labda huu Mgeni hapa na hunijuhi,
Nitarudia tena.
Kibanga Hana chama na Hajawahi kuwa na chama.
Vinavyo msukuma Kibanga kushabikia Siasa ni:-
1. Chuki zidi ya CCM
2. Kutaka kuona mabadiliko na maendeleo yakipatikana nchi hii.
3. Pia naamini sio lazima upinzani uchukue nchi kupata madiliko, asa long as tuna upinzani Imara na wenye kuchallange rulers inatosha kulete mabadiliko nchi hii.
4. Nimeshabikia NNCCR ilipokuwa juu, Nimeshabikia CUF ilipokuwa juu na sasa Nashabikia CHADEMA kwa kuwa ipo juu na hata kesho CHAUMMA au chama chochote kikiwa juu nitakishabikia na kukiunga mkono.
Kinachoniumiza mimi ni hizi jitihada zenu za kuibomoa Chadema huku mkiamni kuwa itaendelea kubaki juu, yani mchana unaiunga mkono usiku unaiponda na kuikandia.
Na ndio maana nawapa ushahuri kwa wahafidhina walioko Chadema leo hayo mabadiliko mnayoyataka hamuwezi yapata, na solution ni kwenda kuanzisha chama kingine kama hamtaki haya, Ila historia itawahuku na kutukumbusha, na hakika ilishasema " Huwezi kula cake yako na bado ukaendelea kuwa nayo"
Pia samaki mmoja akioza baso ni wote, huwezi kuiponda chadema huku na wewe ukijinasibu ni mwanachadema huku ukijifanya eti ni demokrasia, semokrasia ya wapi hiyo?
Tuache unafki solutioni ni kwenda kuanza moja na hakika tutawaunga mkono kwani atalast tunachotaka ni kuona CCM ikisimamiwa vizuri na sio kuchiwa ifanye itakavyo na kwa sasa Chadema inafanya vizuri kwenye hilo na ndio maana tunaiunga mkono.
Last edited by a moderator: