Chadema Kortini tena Arusha

Waandishi wa habari ni bora wakaachwa wafanye kazi yao bila bugza maana ukimfanyia fujo mmoja wanakususia wote.
 


Ni mtizamo wako na lazima nieshimu mawazo yako!
 

kumbe mkielezwa ukweli ujanja hamna kesho tutakuwepo makupa kumi ndio mtajua mbivu na mbichi ni zipi
 
Makupa mimi ni CDM tipicali lakini kwa upeo wangu usifikilie viongozi wa CDM kushikwa na hatia unajua viongozi wa CDM sio kama ccm wao wanaangalia mbali isitoshe hakimu atatumia busara kwakuangalia hasara itakayoweza kupatikana kama viongozi wa CDM watakutwa na hatia
 
karibu makupa JAMVINI, naona umekuja, na hari zaidi na kasi zaidi, karibu sana, usije ukachoka tu?
 
kumbe mkielezwa ukweli ujanja hamna kesho tutakuwepo makupa kumi ndio mtajua mbivu na mbichi ni zipi

sitaki kuamini kama jf inawekuwa na zaidi ya wajinga 5, sasa hao kumi utawatoa wapi?..jf ina karibu 40000 sasa ukitoa mafisadi 10 bado namba ya wanahalakati iko juu
 
Ni mali ya watanzania na TBC kama chombo huru hakilazimiki kutoa taarifa yoyote inayohusu upuuzi wa CDM

KAZI YA CHOMBO CHOCHOTE CHA HABARI NI KURIPOTI TUKIO LOLOTE LILE,LIWE LA KIPUUZI AU VYOVYOTE VILE NA NDIYO MAANA HATA VoA WALIRIPOTI HATA PALE MAREKANI ILIPOAIBISHWA KWA BUSH KUPIGWA KIATU.TAFADHALI ULIUMBWA KUTUMIA UBONGO;UTUMIE-USIUACHE UKAKAA MBALI NAWE.AMKA WE KILAZA ULIYELALA KWENYE MVUA YA MAWE!
 

mkuu, hii kesi ukiingalia unaiona ni dogo sana kiai kwamba hata mtu wa darasa la saba anaweza kuiamua tatizo ni nini kitafuata baada ya hukumu..mfano cdm ikishinda lazima tuishitk serikali na maandamano
 
karibu makupa JAMVINI, naona umekuja, na hari zaidi na kasi zaidi, karibu sana, usije ukachoka tu?

mwenyewe umeshakubali kuwa nimekuja na ari mpya hivyo swala la kuchoka sahau
 
..... na wakituchakachua ndiyo balaa kabisa
 
sitaki kuamini kama jf inawekuwa na zaidi ya wajinga 5, sasa hao kumi utawatoa wapi?..jf ina karibu 40000 sasa ukitoa mafisadi 10 bado namba ya wanahalakati iko juu
hao wanarakati 40000uwezo wao ni wa kutia shaka
 
haya bwana hiyo kesi ita ahirishwa hadi miaka mitano tena....tusha zoea
 
hakutakuwepo na hasara yoyote wakipatikana na hatia sana sana itakuwa ni ahueni kwa watanzania kwa ujumla
 
Hao police wanatia huruma sana kwan mshahara wanaopewa unasikitisha sana tusiwalaumu anaesababisha yote ni kikwete na napenda kumwambia hali hyo ikijirudia atutavumilia kabisaaaaaaa nitakuwa tayari kufa kivyovyote ili tu mafisad wajue tumechoshwa na mambo yao............ee mungu baba waukumu hawa mafisad
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…