Imekuwa wimbo bagbo,misri,tunisia weka na yemen,syria,libya etc.Wenye nia ya kutenda huwa hawapayuki.Narudia hizi ni kelele za chura ndani ya tope kama hayo unayotamani yatokee,Watanzania wangekuwa na akili kama zako mapema wangetekeleza.
Sikiliza bwana mdogo,Watanzania nao ni binadam,ao,hawapendi kupoteza maisha yviungo vyao(ulemavu),makazi yao na pengine kuwa wakimbizi kwa sababu ya hao unaowatetea ambao hawana kovu lolote zaidi ya kuanguka bafuni.Mifano tunaiona inavyozidi kuwa tata Libya na Syria ambapo maelfu ya watu yamepotea.
Mbona tunaangaika na wanasiasa hawa wasio na upako kwa Mungu(wengi chanzo cha machafuko),ningefurahi kama moyo huu ungekuwa nao katika imani yako Msikitini au Kanisani ukizidisha maombi ili uweze kuona pepo.
Ni mali ya watanzania na TBC kama chombo huru hakilazimiki kutoa taarifa yoyote inayohusu upuuzi wa CDM
Hakuna mtu wa kuchemka hapa, ni lazima muelewe ya kwamba hata upande wa pili una haki ya KUTOA MAONI
Haijalishi wala sitahitaji shukrani ya aina yoyoteMAKUPA:
Join Date : 11th April 2011
Posts : 26
Thanks 0 Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power : 0
Mtabaki kuilamu TBC ANZISHENI YA KWENU
Hayo ni mapambano tupo makupa wengi ambao ndio tumeanza kazi rasmi ya kujibu tuhuma nyepesi za wana cdminawezekana huyu jamaa ni kaimu mkuu wa wilaya ya masasi kaachiwa ofisi na nape,...teh tehe heee....
Anajua anachokifanya sasa..
Ni chombo huru cha UMMAkwani TBC ni ya nani mkuu, mbona unakuwa kero sasa ?
Hayo ni mapambano tupo makupa wengi ambao ndio tumeanza kazi rasmi ya kujibu tuhuma nyepesi za wana cdm
Hayo ni mapambano tupo makupa wengi ambao ndio tumeanza kazi rasmi ya kujibu tuhuma nyepesi za wana cdm
Unapohojiwa hulazimishwi kujibuKm hawako tayari kutoa taarifa basi wasioji watu! Swala hapa si kulazimishwa,swala ni kutoa taarifa kinyume na ukweli.Unahoji mtu,alafu unachambua mchele mwingi,unaweka kapuni pumba mbili ndo unaletea umma ili ionekane aliyehojiwa katoa pumba tupu!Huo sio uadilifu hata kidogo.
Ni chombo huru cha UMMA
watu kama nyie hamtakiwi humuUnapohojiwa hulazimishwi kujibu
Hata FM nae jua kali tu ndio maana alihakikisha ya kuwa anakuwa kiongozi wa upinzani bungeni ili walau aweze kujazia anachopata pale billsJK-Jua Kali .. ameshindwa kujibu tuhuma ndiyo wewe Ane Makinda Makinda
SIO MWEHU uwezo wenu wote ni mdogo sana .makopo ya ulanzi! Msikimbizane na mwehu.
cdm top brass
Mtabaki kuilamu TBC ANZISHENI YA KWENU
ukweli upi wakati tunasubiri wazee wazima (cdm top brass) wajue kwamba utawala wa sheria upo na unafuatwa na si vinginevyo
Mkuu nakuaminia, maana wanadhani kutukana ndio kutawasaidia wewe wabane kwa hoja wepesi sana.