CHADEMA: Kipaumbele cha Rais Magufuli ni kununua ndege? Hali ya Uchumi inazorota!

It's funny watu wanaojiita wasomi hapa ni rahisi mno kuacha mada wakaingia kwenye ubishi wa kitu cha kipuuzi.
 
Mkuu mleta uzi huenda una hoja lakini umeharibu hapo ulipoifananisha nchi yetu na korea kaskazi. Kumbuka korea kaskazini wamefikia hatua ya kutengeneza bomu la nyuklia, wakati sisi hata kumudu chakula cha wananchi ni kazi!! Unaweza kuifananisha N.korea na hii nchi yetu ambayo bila aibu inasema imeibiwa kwa kushindwa kukusanya kodi miaka 15 na bado haina uhakika inadai kiasi gani mpaka sasa? Hili andiko lako ni kujidhalilisha tu.
kwa kifupi ungemwambia aache kufananisha vitu vya kipumbavu na NK
 
Hivi huyu Mbowe kudai apewe report za tume mbili za Rais, alikuwa nataka asahihishe herufi au apigie mstari au ana report zake anataka kulinganisha !? ....halafu !?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mleta uzi huenda una hoja lakini umeharibu hapo ulipoifananisha nchi yetu na korea kaskazi. Kumbuka korea kaskazini wamefikia hatua ya kutengeneza bomu la nyuklia, wakati sisi hata kumudu chakula cha wananchi ni kazi!! Unaweza kuifananisha N.korea na hii nchi yetu ambayo bila aibu inasema imeibiwa kwa kushindwa kukusanya kodi miaka 15 na bado haina uhakika inadai kiasi gani mpaka sasa? Hili andiko lako ni kujidhalilisha tu.
Ni kichekesho magufuli kudai pesa azizojua anaunda tume za kizushi na sasa Bashite kaleta waganga wa kienyeji toka Gambia kuwaroga Acacia wakubali Deni Feki nchi imejaa vioja.
 
It's funny watu wanaojiita wasomi hapa ni rahisi mno kuacha mada wakaingia kwenye ubishi wa kitu cha kipuuzi.

Inaonekana wewe ni boss kwenye ofisi fulani, na inaelekea ukiongea hata pumba hakuna anayekujibu wala kukupinga. Sasa umejichanganya unabeba hoja zako unazodhani ni za maana hivyo ukifika hapa unapewa kubwa yako unabaki kushangaa. Wewe baki na hao misukule wako huko ofisini wanaokunyesha nidhamu ya woga, isipokuwa ukifika huku kwenye social media tegemea kusikia usichopenda na hiyo ndio demokrasia.
 
kumbe mtoa maada ilikuwa jioni bado akili ziko lumumba kuna jamaa aliniambia ikifika saa 5 ucku huwa mnarudishiwa akili usiku wasije kuwatigo wake zao saa kumi na moja hurudishwa lumumba huachwa chache za kuvukia barabara
 
- Amelaani TRA kuipiga kodi kubwa Acacia kuliko bajeti ya nchi. Kwani hiyo kodi ni ya mwaka mmoja si ni malimbikizo na interest ya miaka zaidi ya 15?

- Amesema Tanzania itasusiwa na wawekezaji. Mbona North Korea imesusiwa na dunia lakini China inafanya nao biashara?

- Kasifia awamu ya nne tulikuwa tunaenda vizuri kiuchumi. Vinavyouzwa nje ni madini, kahawa na korosho. Kama kwenye madini nchi ilikuwa haikusanyi kodi na inapata asilimia 0 ya mauzo. Na inawezekana hata katika exports nyingine za nchi mambo yalikuwa hayo hayo. Anazungumzia uchumi hewa au ni uchumi gani?

- Nchi yenye uchumi hewa inaendeshwa na misaada. Bahati mbaya wanaoiba madini sio wanaotoa misaada. Ina maana kwa mwendo iliokuwa inaenda Tanzania watoa misaada wangechoka na hapo ndio joto ya jiwe ingeonekana.

Tapa tapa tapa tu; ila mmeshikwa pabaya.
Where's political science?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo wamarekani wakisusia dhahabu za Tanzania na wachina watazisusia?

Tulipopata shida miaka ya nyuma Tanzania haikususiwa kiuchumi. Ilinyimwa misaada kwa kukataa masharti ya IMF.

Na nyinyi mnafanya makosa kuilinganisha Tanzania na Zimbabwe. Zimbabwe kuna mahindi. Tanzania kuna rasilimali. Akilimali tu ndio kidogo ni tatizo.
Tatizo la brains ni kubwa si dogo kama unavyo sema ndugu yangu. Ni kubwa zaidi hasa kwa wale wenye dhamana ya kutuongoza.
 
Nilipofika hapo ulipoifananisha Tz na N.Korea na hamu ya kuendelea kusoma imekwisha, hv umekosa mifano mingine mpaka unaifananisha Tz na Korea? Nafikiri watakaozaliwa miaka mia ijayo ndo watakaoweza kutumia mfano huo ila siyo kizaz hiki maana Tz bado sana kuwafikia hao jamaa!
 
China akimnyima mafuta North Korea ni suala la wiki moja kutakuwa hakuna cha nyuklia wala nyuki.

Kwa taarifa yako China hana budi kuipa N. Korea ushirikiano wowote inaoutaka kwani pia China inafaidika na N. Korea kwa usalama wake. Vinginevyo China itajikuta yenyewe kiusalama kwani Japan, S.korea nk ni washirika wa US.Hivyo ili kupata mtu mwingine ambaye ni kikwazo cha US kwenye eneo hilo ni lazima aipe ushirikiano N. Korea penda isipende.
 
So, dhahabu zikidoda Geita, China haitaona kuwa haina budi kupiga dili na Tanzania? Kwanza tayari wanazipigia hesabu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom