CHADEMA: Kipaumbele cha Rais Magufuli ni kununua ndege? Hali ya Uchumi inazorota!

Sasa mkuu uliona wapi kitu cha maabara kikawa feki

Mkuu nakupa pole, inaonekana unaongea nadharia tu bila kujua unaongea nini. Sasa hivi hapa nchini kumejaa vifaa fake kuanzia vya maabara, maofisini, majumbani nk. Sasa kama kuna dawa fake ndio utakosa vifaa fake vya maabara? Kumbe muda wote naongea na wewe nadhani unajua uhalisia kumbe unazungumza nadharia. Si bure hata hili bandiko lako liko kihisia, na ndio maana unaongelea wachina kama watu wa maana, bila kujua Uchina ya sasa sio ile ya wajamaa bali imekuwa na tabia za kibepari tena usiojali hata haki za binadamu. Mwanzo niliona ni mjenga hoja mzuri kwenye post mbalimbali na nilikuheshimu kwa hili japo tunatofautiana mitazamo, lakini kwa bandiko hili nimekuona mwepesi mno kuliko nilivyodhani.
 
Usijadili mtu unaweza kuwa unaongea na robot. Jadili hoja.
 
Usijadili mtu unaweza kuwa unaongea na robot. Jadili hoja.

Daa roho imeniuma ile mbaya, kumbe namaliza MB zangu muda wote kwa kujadiliana na robot!! Halafu kama ni marobot mpo wengi kweli, magu kweli katushika pabaya kajaza mpaka marobot humu jukwaani.
 
Tanzania: Magufuli's Policies May Hurt Economy - IMF

Ripoti hii ya IMF inasema uchumi wa Tanzania "MAY" (huenda) ukaanguka si kwa sababu ya kuwatimua Acacia. Ni kwa sababu ya kubana matumizi. Mabenki yamepunguza mikopo. Miradi haipewi hela hovyo hovyo na Tanzania haichukui mikopo ya nje.

Mwamba ngoma huvutia kwake. IMF lazima ikasirike kuona nchi ya kiafrika inajaribu kujichomoa kwenye madeni yake.
 
Wachina walitujengea reli ilikuwa feki?

Narudia tena, unazungumzia China ya enzi hizo ya kijamaa, bila kujua sasa hivi China ni ya kibepari. Hiyo reli imara ilijengwa wakati wachina wakijali ubora na sio kuweka fedha mbele.
 
Narudia tena, unazungumzia China ya enzi hizo ya kijamaa, bila kujua sasa hivi China ni ya kibepari. Hiyo reli imara ilijengwa wakati wachina wakijali ubora na sio kuweka fedha mbele.

Mkuu kwenye hii mada China sio subject ni kamfano tu.
 
Chadema huwa wanatoa tamko ili wanachama wake wajue kuwa chama kipo hai wakati uhai wa chama hicho upo mashakani.
Inawezaje leo serikali ipo kwenye mazungumzo kwa maslahi ya taifa halafu Chadema kupitia Mbowe anaponda. Je. Kuna mpango wa Chadema kutusaliti kwa kutafuta ufadhili kutoka Acacia
 
wana hayo hayo. Anazungumzia uchumi hewa au ni uchumi gani?

- Nchi yenye uchumi hewa inaendeshwa na misaada. Bahati mbaya wanaoiba madini sio wanaotoa misaada. Ina maana kwa mwendo iliokuwa inaenda Tanzania watoa misaada wangechoka na hapo ndio joto ya jiwe ingeonekana.

[/QUOTE]
mmeshikiwa akili na mtu mmoja hio ndo shida halafu usihusishe north korea na mambo yetu ya huku hatuna userious wa kufananishwa na hao watu
 
wana hayo hayo. Anazungumzia uchumi hewa au ni uchumi gani?

- Nchi yenye uchumi hewa inaendeshwa na misaada. Bahati mbaya wanaoiba madini sio wanaotoa misaada. Ina maana kwa mwendo iliokuwa inaenda Tanzania watoa misaada wangechoka na hapo ndio joto ya jiwe ingeonekana.

mmeshikiwa akili na mtu mmoja hio ndo shida halafu usihusishe north korea na mambo yetu ya huku hatuna userious wa kufananishwa na hao watu[/QUOTE]

Speak for yourself. Na kweli huko serious hata kusoma page ya nyuma kimejadiliwa nini.
 
Mkuu mleta uzi huenda una hoja lakini umeharibu hapo ulipoifananisha nchi yetu na korea kaskazi. Kumbuka korea kaskazini wamefikia hatua ya kutengeneza bomu la nyuklia, wakati sisi hata kumudu chakula cha wananchi ni kazi!! Unaweza kuifananisha N.korea na hii nchi yetu ambayo bila aibu inasema imeibiwa kwa kushindwa kukusanya kodi miaka 15 na bado haina uhakika inadai kiasi gani mpaka sasa? Hili andiko lako ni kujidhalilisha tu.
Lengo lake anataka watawala wetu wafanye kama anavyofanya na kutawala Mr Kim!Anaisikia tu Korea Kaskazin amesahau hata RAIA kumiliki gari ni jinai pale Pyoungyoung!
 
Mleta bandiko yuko sawa tu,shida ni wewe kutaka kujifanya kama huelewi anachomaanisha, labda tujaldili pia na shule ya mwenyekiti pia ili tuweze kujua alichokua anaongea anaelewa??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wewe kwenye biashara yako TRA walikotoza 13.5mil tena biashara yako moja na kwa muda mfupi.

Je ulitaka ACACIA watozwe kiasi gani kwa muda wote wa miaka 15?....tena ni kampuni kubwa?

Tusipokuwa makini wote tunaoitwa wapinzani tutaonekana vituko.
- Amelaani TRA kuipiga kodi kubwa Acacia kuliko bajeti ya nchi. Kwani hiyo kodi ni ya mwaka mmoja si ni malimbikizo na interest ya miaka zaidi ya 15?

- Amesema Tanzania itasusiwa na wawekezaji. Mbona North Korea imesusiwa na dunia lakini China inafanya nao biashara?

- Kasifia awamu ya nne tulikuwa tunaenda vizuri kiuchumi. Vinavyouzwa nje ni madini, kahawa na korosho. Kama kwenye madini nchi ilikuwa haikusanyi kodi na inapata asilimia 0 ya mauzo. Na inawezekana hata katika exports nyingine za nchi mambo yalikuwa hayo hayo. Anazungumzia uchumi hewa au ni uchumi gani?

- Nchi yenye uchumi hewa inaendeshwa na misaada. Bahati mbaya wanaoiba madini sio wanaotoa misaada. Ina maana kwa mwendo iliokuwa inaenda Tanzania watoa misaada wangechoka na hapo ndio joto ya jiwe ingeonekana.

48 Reactions
Reply
Back
Top Bottom