Mwakalinga Bujo
JF-Expert Member
- Oct 22, 2008
- 2,718
- 1,443
sasa huyo adui si ndo anatakiwa kuwapa hizo leseni za TV? na huyo huyo adui ndiye anasimamia mifumo yote ambayo CDM itatumia. Huwezi kumkwepa adui na adui kama CCM ana uwezo wa kutosha kabisa wa kujua CDM inawanachama kiasi gani na anatumia kwa makini ujuzi huo. Think about it......
Mnamuendekeza sana kiasi amekuwa kama jinamizi kwenye ndoto zenu..kila muendapo yupo. Wengine hatumpi hata umuhimu wa kuvinjari kwenye mawazo yetu. He is "has been "MK, ni kweli; Lowassa ni noma. kwi kwi kwi....
Nyie endeleeni kuwapamba kwa mashada ya majani na kuwapaka mafuta kwa mgongo wa chupa mkidhani mnawasaidia. Watengenezeeni uduru wa kila namna ya kwanini hawakufanya vizuri sasa na kwanini hawakufanya vizuri 2010 au kwenye zile chaguzi za diwani zilizopita. Mjiandae kuwatengenezea udhuru mwingine wakikosa kufanya vizuri 2015.. na 2020. Mtakuja kushtuka sote tunawajukuu na vitukuu huku CCM kizazi cha nne kikiwa kimeshika hatamu ya madaraka.
dampen kuanza KIPINDI CDM kwa mkubwa msaada ni wewe kuwa unaonekana uwe
Inasikitisha kuona kuwa unapenda kuonekana kuwa wewe ni msaada mkubwa kwa CDM kipindi inaposhinda,nilianza kukusoma kipindi cha kampeni Igunga na Tengeru . Kama imani yako kuhusu CDM ndio sanaa ya siasa uliyoionyesha TENGERU basi wewe hustaili kuuiliza wala kujadili kwa lugha nyepesi kiasi hiki .
haya bana; miaka ishirini baadaye mko kwenye phase one; mkifika phase five itakuwa mwaka gani? 2099... ?........
Mnamuendekeza sana kiasi amekuwa kama jinamizi kwenye ndoto zenu..kila muendapo yupo. Wengine hatumpi hata umuhimu wa kuvinjari kwenye mawazo yetu. He is "has been "........
Unaweza kuniambia ni chama kipi cha siasa kinachopigia watu simu waende kulipia ada zao za uanachama? au klabu ipi kati ya Simba na Yanga yenye utaratibu huu? au unadhani utaratibu wa Insurance brokers kuwapigia simu wateja wao siku chache kabla ya bima zao ku expire ndio unatumika sekta nyingine?Naona hili swala la uanachama liunganishwe na kurugenzi ya mawasiliano. Mimi nilichukua kadi pale makao makuu, hawakuchukua no yangu ya simu na wala sikumbushwi kama ada ya mwaka ya uanachama imekwisha. Ni mpaka niende mwenyewe.
Nashauri kuanze kuwekwa proper recording na kuwe na mawasiliano hasa kwa njia ya sms baina ya chama na wanachama.
Tengeru kulikuwa na nini usije kuwa unaanza kuota visivyokuwepo.
siasa sio sanaa, MM am wondering if you really study anything in the class about politics, leaving aside the common knowledge about politics!Ni syansi ya sanaa au sanaa ya sayansi
Kamwe cdm isitarajie kuongoza nchi kwa sanduku la kura,kwani in wafuasi wakujaza mikutano lakini si wapiga kura.
HILO TUMELIONA 2010 NA MWEZI WA OKTOBA 2012 KWENYE CHAGUZI ZA MADIWANI.
Kamwe cdm isitarajie kuongoza nchi kwa sanduku la kura,kwani in wafuasi wakujaza mikutano lakini si wapiga kura.
HILO TUMELIONA 2010 NA MWEZI WA OKTOBA 2012 KWENYE CHAGUZI ZA MADIWANI.
Kamwe cdm isitarajie kuongoza nchi kwa sanduku la kura,kwani in wafuasi wakujaza mikutano lakini si wapiga kura.
HILO TUMELIONA 2010 NA MWEZI WA OKTOBA 2012 KWENYE CHAGUZI ZA MADIWANI.