CHADEMA kina wanachama wangapi?

MMK

Unfortunately you attack CHADEMA extremely unnecessarily; you do this even when support is needed to them most. This practice of yours has made me think twice about the motive triggering you to practice it that way and not otherwise.

You are by far the best political analysis than I, but I could easily notice your weakness on the same.
 
Hata Dr Slaa nasikia hajarudisha kadi ya CCM
John Tendwa anayo ya kwake, Mboma pia anayo, Liundi naye alipostaafu tu nafasi ya Msajili wa vyama akaitowa kabatini kadi yake ya CCM na akagombea Ubunge wa Afrika Mashariki. CCM hana rekodi wala haijui wanachama wake.

Bali CCM tegemeo lao la mwisho lililobaki ni wajumbe wa nyumba 10, hapa ndipo hufanyika research kwenye kata fulani wanataka kura ngapi na watanunuwa kwa bei gani na wajumbe hawa ndio uratibu kuwakusanyia kina mama.

Chadema wanahitaji immediately new reform of Bavicha. Askari polisi pale jimbo la Nyamagana kwenye Barracks zao wote walifungia kadi za kupigia kura kwa wake zao maana wanajuwa fika wangempigia Masha, vile vitamburisho wariwarudishia wake zao muda mchache kabla vituo kufungwa na hawakupiga kura.

Ushauri wangu kwa Chadema: Wanaharakati hawazuiwi kujiunga na vyama vya siasa, waanze sasa mazungumzo ya kuwashawishi Wanawake wa kariba ya Ananilea Nkya ili waje kuikombowa Bawacha ambayo imeshajifia ili kuwaamsha wanawake ambao bado hawajui thamani ya kura.
 
Kwa tafsiri ya Mwanakijiji, Zamani moja ya sifa za Scholarship kadi ya CCM ilikuwa inahusika, what i mean si kila aliyewahi kuwa na kadi ya CCM bado ni MwanaCCM mpaka leo na hapa ndipo penye msingi wa hoja yangu kwamba huu ni udanganyifu, wengine walichukuwa kadi za CCM kama njia ya kupitia tu. Umeelewa!?

kwa mfano nikikuuliza unabeba kadi ya CCM mpaka leo,wakati nakuona umu unaishabikia CHADEMA..dhumuni haswa kubwa ni nini la kuendelea kuwa mwanachama wa CCM??
Au CHADEMA haiaminiki bado ata na wanaoiubiria harakati zake??
 
Hivi nikikuuliza swali dogo tu unaweza kunijibu?

Ni kwa nini Chadema wakati inapigania kuchukuwa dola mwaka 2010 wewe ulikuwa bize kuhamasisha watu wajiunge na CCJ?

kuna thread moja nadhani inaitwa ''proper recording..nini kilimbadlisha mzee mwanakijiji'' tafuta thread hiyo uione huko utakutana na majibu yake lakini pia itakupa fursa ya kumfhamu huyu mzee wa kijijini detroit......kama uliiona nadhani uliona mambo yalivyokuwa na jinsi alivyokuwa akichemka kaika kujibu maswali hasa ya Nicholas
 
Last edited by a moderator:
The silent majority is an unspecified large majority of people in a country or group who do not express their opinions publicly.[SUP][1][/SUP] The term was popularized (though not first used) by U.S. PresidentRichard Nixon in a November 3, 1969, speech in which he said, "And so tonight-to you, the great silent majority of my fellow Americans-I ask for your support."[SUP][2][/SUP] In this usage it referred to those Americans who did not join in the large demonstrations against the Vietnam War at the time, who did not join in the counterculture, and who did not participate in public discourse. Nixon along with many others saw this group of Middle Americans as being overshadowed in the media by the more vocal minority.
The phrase was used in the 19th century as a euphemism referring to all the people who have died, and others have used it before and after Nixon to refer to groups of voters in various nations of the world.

Nimekopi hayo maelezo kuhusiana na silent majority kwasababu nimeona relevance kwa topiki hii, labda hizi kelele zote zinazopigwa ni za watu wachache sana kwenye jamii ya watanzania, labda CCM na CDM put together hawajai hata mkononi. Swali ni je CHADEMA inafanya nini kuwahamsha hawa silent majority kama Nixon alivyofanya kwenye 1969 speech.................hawa wanachama kama nilivyosema ambao hawajai kiganjani wana tija yoyote katika ku determined muelekeo wa chama cha Upinzani?
 
You can not exactly ascertain this, as a person can be a member of more than one party at a time. And also, it's very unwise to think that all of your party members will vote in favour of your party. So to me, this question is absolutely irrelevant & immaterial. What matters most is how many are supporting a party (not necessarily party members by subscription, though this aspect might also be rarely important)
unapotoka. fuatilia umuhimu wa uanachama sio kupigiwa kura tu.
 
The silent majority is an unspecified large majority of people in a country or group who do not express their opinions publicly.[SUP][1][/SUP] The term was popularized (though not first used) by U.S. PresidentRichard Nixon in a November 3, 1969, speech in which he said, "And so tonight-to you, the great silent majority of my fellow Americans-I ask for your support."[SUP][2][/SUP] In this usage it referred to those Americans who did not join in the large demonstrations against the Vietnam War at the time, who did not join in the counterculture, and who did not participate in public discourse. Nixon along with many others saw this group of Middle Americans as being overshadowed in the media by the more vocal minority.
The phrase was used in the 19th century as a euphemism referring to all the people who have died, and others have used it before and after Nixon to refer to groups of voters in various nations of the world.

Nimekopi hayo maelezo kuhusiana na silent majority kwasababu nimeona relevance kwa topiki hii, labda hizi kelele zote zinazopigwa ni za watu wachache sana kwenye jamii ya watanzania, labda CCM na CDM put together hawajai hata mkononi. Swali ni je CHADEMA inafanya nini kuwahamsha hawa silent majority kama Nixon alivyofanya kwenye 1969 speech.................hawa wanachama kama nilivyosema ambao hawajai kiganjani wana tija yoyote katika ku determined muelekeo wa chama cha Upinzani?

Rafiki CCM ni miracle performers kama waganga wa Pharaho....We tangu uhuru ulishawahi sikia wapiga kura turn out ilikuwa chini by 50%? Kama haikuwa wahi tokea kwanini 2010?

Huyo aliyetangulia (katibu mkuu wa CCM wa zamani kabla ya huyu) kusema kuwa CCM ina members 5M haikuwa bahati mbaya...Piga picha mwisho wa siku wapiga kura walikuwa wangapi na angalia distribution ilikuwaje? mambo mengine ni common sense tu haihitaji ujuzi sana kuelewa....

Raia watanzania wanapiga kura ni waaminifu hawajui ku-ongopa ila huu muujiza wa science ya mwafrica usipopatiwa dawa kama ile ya Musa kumeza nyoka wote basi tutaendelea kuwa watumwa na pia tutaongezea na miraba kwani itaonekana hatujawa busy vya kutosha ndiyo maana tunawaza kujikomboa..
 
Duh!Mzee wa kijijini nowdays.....!Kwa nini ni rahisi sana wewe kuiattack chadema pale kwenye kasoro kuliko kuisifia pale penye mafanikio?Hatukatai kwamba kuna mapungufu lakini why busy with mapungufu kuliko mazuri?Chadema haina zuri hata moja on the eyes of mwanakijiji.When will you start be fair?Mapngufu pia yapo vyama vingine,why always chadema?A motive behind...?Time will tell
 
Hadi mwaka 2010 Chama cha Mapinduzi kilikuwa na wanachama takribani milioni tano kwa mujibu wa alkiyejuwa katibu mkuu wakati ule Bw Yusuph Makamba. Idadi hii ni ongezeko kutoka wanachama milioni tatu hivi waliokuwepo mwaka 2000. Ili kuweza kuelewa mwelekeo wa chama kikuu cha upinzani nchini na hasa kukubalika kwa ajenda yake ni vizuri kujiuliza CDM sasa hivi sasa wanachama wangapi wente kuveba kadi? Na wanachama hawa wametawanyika vipi katika nchi yetu?

Takwimu za wanachama milioni tano ni nzuri kutamkika......lakini tujiulize hilo engezeko lilitoka wapi? Je, sio zile kadi watu walikuwa wakigawiwa kama njugu wakati wa mchakato wa ndani wa CCM kutafuta wagombea wa ubunge? Ni, Makamba huyo huyo alilaumiwa kwa kitendo hicho cha kukaidi maagizo ya CCM na kuruhusu wagombea wa CCM kusambaza kadi walizozilipia ili kutafuta uungwaji mkono. Kama ilivyokuwa rahisi kugawa fulana, kofia, kanga, vilemba na ndivyo ilivyokuwa kwa kadi. Nina imani kadri utavyoziona zile kofia, fulana, kanga na vilemba zilivyochakaa kwa sasa ndivyo hata uanachama wao kwa kugawiwa kadi ulivyochakaa!
 
wanachama wa chadema ni wakuokoteza. Kila kukicha utasikia eti CHADEMA YAKOMBA WANACHAMA WOOTE WA CCM. Kumbe wanwadanganya inakuwaje kwenye Udiwani wameaibika hivyo?. Tathmini inatakiwa hapa kunautapeli hizi operation kuna watu wanatengeneza ulaji tu
 
kwa mfano nikikuuliza unabeba kadi ya CCM mpaka leo,wakati nakuona umu unaishabikia CHADEMA..dhumuni haswa kubwa ni nini la kuendelea kuwa mwanachama wa CCM??
Au CHADEMA haiaminiki bado ata na wanaoiubiria harakati zake??
Nikikuita huna akili sidhani kama nitakuwa nimekutukana au nimekuvunjia heshima. Wewe huna akili. full stop.

Nimemtumia Dr Lwaitama kama reference yeye anajiita Mwanachama mfu wa CCM hivi kiongozi wa chama na akili zako unaweza kumuhesabu Dr Lwaitama kwamba ni CCM? ndio hawa wanchama millioni 5 anaotueleza mwanakijiji!! pili naomba unioneshe ni wapi niliposema mimi ninabeba kadi ya CCM.
 
Ukubwa wa pua si wingi wa kamasi. Hata kule kilimanjaro chadema sasa inachukiwa. Subiri kivumbi 2015. Hii ya madiwani ni bib tu.
 
hahah kwa taarifa tu Lweitama ni kada wa CHADEMA. Hata akijidai ni CCM mfu, aepewa jukumu maalum yeye na Kitila Mkubo kwenye vyuo vikuu ingawa sasa wameshadharaulika. Hakuna profesa anaweza kuwasikiliza maana bado kitaaluma wote ni wachanga. Ndo maana maprofesa woote wako CCM. Hapa utaona wakina Mhongo na Tibaijuka kama mfano mdogo tum
 
Kwa mfumo wa kuwapata wanachama hadi sasa,ni vigumu kujua siyo kwa CHADEMA au CCM bali hata kwa Republican nchini Marekani.Nadhani kuna namna CHADEMA inatakiwa kuwa tofauti na ccm katika utunzaji wa kumbukumbu japokuwa kuna ugumu haswa kwa kadi zinazotolewa kwenye mikutano ya hadhara.Ni vigumu kufanikiwa lakini walau kuwe na takwimu za makadirio...Aina ya watu kama Mzee Nyimbo wawekwe kwenye kumbukumbu maalumu yaani tuweze kufanya japo approximative mathematics kama vile Kuchukua jumla ya wanachama toa marehemu na waliohama...Siyo lazima iwe nchi nzima ila inawezekana kwa kutenga case studies za maeneo ambayo chama kinakubalika na yale yenye wanachama wachache.
 
Back
Top Bottom