CHADEMA kilichofanyika Monduli ni unafiki mkuu

It's all business people, all about business. Bora jizi unolijua lenye hela kuliko usolijua tena fukara.

Mi nlijua wanapambana na majizi yote. Kumbe yale wanayoyajua na yenye mkwanja wanayataka?

Tofauti na CCM itakuwa ipi?
 
Chilli

alipo tupo. Lowasa


Direction is more important than speed. We are so busy looking at our speedometers that we forget the milestone.

TAARTIIIBU ILA KWA UHAKIKA!

Makada hakuna anayeshawishi watu kwenda CDM ni hasira tu na watu ni kama wanalipa kisasi. Makada waacheni wanaotaka kuwa ccm au UKAWA, 4U si chama lakin kina wanachama wa vyama mbalimbali. Mjue pia tunatofautiana kwa maauzi na uwezo wa kutulia kabla ya kufanya jambo. Kuna watuni first oriented kila jambo anataka awe wa kwanza tena wamuone. Ni njema kwake huyo lakini wapo ambao hupiga hesabu saa na kupima upepo ndo waamue, hao pia msiwaone wanachelewa. Kuna wanaoamua lakini kusema wanachelea, hao nao tunso. Nawaomba watu wangu itikaditunazo toka awali lakini mwelekeo wetu hadi sasa ni PUSH EDO INTO MAGOGONI kama anasimama lazima wawepo wa kumsukuma. Hakuna aliyemchafua EDO kama CCM lakini mbona bado yumo humo? Msimamo wa SLAA kwa EDO ulikuwa wa kisiasa na si wa dhati, SLAA hakuwa na kosa siasa zilimtuma na CCM hawana makosa siasa zawatuma, sisi tutende kwa dhati popote tulipo tuonyeshe kuwa OUR HERO IS THE NATIONAL HERO watatujua tu with time watatukubali. You are born a Tanzanian before you are a partisan somewhere do Tanzanian responsibilities responsibly utaona wanaulizana kwani huyu jamaa chama gani? Hapo sasa ndo utasema UKAWA AU CCM! LOVE YOU ALL MA FIGHTERS!
 
Last edited by a moderator:
Sasa hivi Watanzania tunataka mtu atakayeondoa mfumo mbovu wa ccm, awe fisadi au asiwe fisadi maana mfumo huu hata mtu awe na rekodi nzuri akishaingia kwenye ccm si mzuri tena. Ndiyo maana unaona mtu akiwa ccm ni fisadi tu. Hata Lowasa kama anauwezo wa kuiangusha ccm tunamkaribisha upinzani ilimradi tu huu mfumo utoke kwanza tuanze upya. Tumechoshwa na utawala wa kinafiki na kizandiki wa ccm na ndiyo maana mtu yeyote anayeweza kuitoa ccm hata kama ni Boko haram au al shababu tutamuunga mkono ilimradi tu huu utawala uende kuzimu.

Mkuu hiki ndicho mie huwa ninakisema always.. Hata akija shetani tutampa kura mradi ccm na mfumo wake uondoke madarakani.. Ukibakia madarakani hata aje malaika ccm haitabadilika.. So kama ni Lowassa hatutojali mradi tu ccm itoke madarakani..
 
tulia dawa iingie..hilo trela tu picha kamili linakuja kuanzia j5 wabunge kama 40 wanajiunga na cdm...mtaita maji mmaa
 
Hata maandiko matakatifu kutoka kwe biblia na quran huwa yanawasema sana watu watendao maovu na mda mwingine kusema ole wao na kuwaita watu hao wazinzi, malaya, makahaba, walevi, waizi, wauaji, wasenganyaji, wanafki na mengine mengi, lakini haina maana wakimrudia Mungu watakataliwa, hapana mradi tu wayaache huko matendo yao.
 
Kwani ccm huwa wanawasemaje wapinzani na huwa wakiamia ccm wanawasemaje?
Cc: Juliana shonza
 
Kinachonipa raha ni namna mnavyowatetea wanaihamia kwenu huku mkiwaponda kwa nguvu wanaowahama. Ni kama vile CHADEMA ndio kuna 'utakatifu' mkuu.
Kama tunakubali kwamba ni demokrasia kuhama chama kwa nini inapokuja wanaohama kwenu mnawasema vibaya?
Double standard = Unafiki.
 
Kusema ukweli CHADEMA hawana washauri wazuri wa kisiasa hivi sasa,Haya wanayoyafanya don't bode well for their political future. Kuhama kwa madiwani wa Arumeru kusingeshabikiwa hivi na high profile cadre of CHADEMA like Lema,they could have let the matter on the hands of low profile cadre like District party's leaders and shouldn't be given this media spotlight in order to avoid the potential accusations like this one. In politics there's no room for errors, unfortunately CHADEMA are doing quite the opposite. CCM demise is something we all dying to see happen, but we should remember that CCM are the masters of the politics, and this members' deflection could be one of their designs and strategies to trap opposition parties in,by either making opposition parties believe them and finally appoint them to be their flag bearers then sabotage them (opposition parties) during the election or by making CCM look like a party that is fighting against corrupt and filthy leaders and CHADEMA as a party that is going against their own principles by receiving these unscrupulous and corrupt leaders.
 
Kwani ccm huwa wanawasemaje wapinzani na huwa wakiamia ccm wanawasemaje?
Cc: Juliana shonza

Anza kujiuliza CHADEMA walireact vipi pale Shonza, Mwampamba na wengine walipohama chama? Ama ni ipi ilikuwa reaction yao pale Zitto alipoondoka na kundi lake?
 
Kinachonifanya niuone unafiki wa CHADEMA ni pale wanapoona ni sahihi (demokrasia) kwa watu kuhamia kwao lakini mtu anapohama kwao kwenda popote anapewa majungu, matusi na kashfa.
Nani aliwadanganya kwamba 'msamehe dhambi' anapatikana CDM pekee?
 
Chilli

Hao ndo bavicha... Hawataki ukweli siku zote na ukiwaumbua hawana hoja watakushambulia kwa matusi. Time will tel sio mbali Oct naiona ileeeeeee
 
Last edited by a moderator:
Chilli

Wewe ndugu uliyeandika hii mada usijiffanye kama umefukia kichwa kwenye udongo. Hivi huelewi kazi ya chama chochote nikujiimarisha? Na kujiimarisha kunamisingi miwili mikuu, 1 Kuipatia wanachama wengi kuliko chama kingine, 2, Kujitahidi kuhakikisha kwamba vyama vingine vinapoteza wanachama na umaarufu na ikiwezekana kuvibomoa kabisa uli visionekane. Kupoteza wanachama ni hasara na hakuna chama kinataka hilo litokee kwake. Kuopkea wanachama kutoka chama kingine ni faida kwani unajenga nyumba yako na wakati huo huo unabomoa nyumba ya adui yako kwa jiwe moja. Huu sio unafiki bali nifomula ya uchumi na maendeleo fungua macho uone ukweli huo. Karibuni wote Chadema ila mfuate utaratibu na masherti ya nyumba yetu Chadema.
 
Last edited by a moderator:
Kinachonifanya niuone unafiki wa CHADEMA ni pale wanapoona ni sahihi (demokrasia) kwa watu kuhamia kwao lakini mtu anapohama kwao kwenda popote anapewa majungu, matusi na kashfa.
Nani aliwadanganya kwamba 'msamehe dhambi' anapatikana CDM pekee?

Wewe ndio upo zamu leo?maana jana alikuwa Ruttashobolwa.
 
Back
Top Bottom