mwengeso
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 9,219
- 6,650
Danstan Nicholaus Diwani wa Kamachumu na yeye kaenda CDM mkuu, Lembeli naye kafanya hivyo ndugu..Diwani wa Nata Nzega na yeye kaamua hivyo..Kangi Lugola na Dada wa bunda soon wanatika huko.So punguza povu dada angu maana Singida, Manyara na kwingineko wapo njiani...
Kigumu chama cha Mapinduzi.
Siyo jambo la ajabu waliomshabikia kwa uwazi Mtume wa 'Safari ya Matumaini' kusoma alama za nyakati na kujiondoa mapema CCM kwa hofu tu kwamba nafasi zao za uongozi walizokuwa nazo kwa sasa ziko mashakani. Hivyo tutawasikia na kuwaona wengi wakihama.