Yote iyo ili uoshe soseji hahahaaaaaaaa kweli nimeamini lumumba ni ya machichiman.,hawa si watanzania watakuwa wamalawi ndani ya lumumbaSisi kwa kuwa ni jukumu letu kuwaamsha mjitambue inabidi tuendelee bila kukata tamaa kama unionavyo hapa pichani nikimuosha mmoja wa makamanda pale Arusha mjini ili atokwe na pepo mchafu aitwaye chadema
Wewe kama sio Rama wa magogoni utakuwa mzee gombeWatu wa vurugu wanataka kuharibu nchi
Wandugu wanajamvi
Hivi hawa chadema mbona nakuwa siwaelewi sasa,
Kila kukicha hapa utakuta thread za mara chadema wameleta vurugu bungeni, mara mbunge fulani kasababisha vurugu na kukamatwa , mara Dj anasema tuandamane nchi nzima , mara Dr alikuwa anafuatiliwa na watu barabarani, mara Zitto alitaka kuwekewa sumu./...na kadhalika nyingi tu
Napenda kuwauliza jamaa zangu, Ni lini huwa mnafanya shughuli za maendelo? manake nyie kila kukicha ni mikutano, kulia lia na vurugu, sijui huwa mnafanya kazi saa ngapi?
Jaribuni kuelimika na kuanza kupiga siasa zenye kuleta maendeleo sio vurugu tu, mjue mnapanda bange msitegemee kuja kuvuna mchicha.
Na hii tabia ya kila siku kusema kuwa serikali imepanga hikli dhidi ya chadema mara kile ni utoto hebu jaribuni kukua toeni hivyo vidole puani. Kwani nyinyi ni nani mpaka serikali ihangaike na kuwazushia ujinga?
Ni jukumu letu kuwaosha chadema ili kuwatoa pepo mchafu aitwaye chadema
JITAMBUE
Umeona mkuu, jamaa hawana sera kwa hiyo wameona njia pekee ya kujipatia umaarufu ni vurugu, kuua watu kufanya maandamano na kulalaamika serikali inataka kuwafanyia mbaya
Hawa jamaa ni sawa tu na wale rebels wa Syria ambao ndio wanaoongoza kwa kuua raia lakini kila kukicha wanalalamika ni serikali
Hapo ndipo uwezo wako
ulipofikia we mdada? Watu wa kalenga wana akili ...... We lazima utakuwa
anna makinda, au una akili kama ya kwake iliyozoea kushinikizwa