Kakende
JF-Expert Member
- Aug 18, 2012
- 2,741
- 1,231
id yako ni tusi tosha ktkaa maisha yako hapa jf
Katika kabila langu hilo jina lina maana nzuri, uenda kwa kabila lako lina maana mbaya. M23 ni waasi wa huko kongo
id yako ni tusi tosha ktkaa maisha yako hapa jf
au wajikopeshe mil 143 bila kikao
Umeona mkuu, jamaa hawana sera kwa hiyo wameona njia pekee ya kujipatia umaarufu ni vurugu, kuua watu kufanya maandamano na kulalaamika serikali inataka kuwafanyia mbaya
Hawa jamaa ni sawa tu na wale rebels wa Syria ambao ndio wanaoongoza kwa kuua raia lakini kila kukicha wanalalamika ni serikali
Wanawapampu wanafunzi wafanye fujo,maandamano
mwanachuo alikufa usiku wakati anarudi disco nje chuo.sasa sijui wanataka kila mwanachuo apewe police wa kumlinda cdm bana!!
Nadhani wewe ni mmoja wa kundi la binadamu waitwao Laggards! Jipe muda kijana utaielewa tu chadema! Unajua kama umeamua kujipa kazi ya kufwatilia hayo unayoyaita mabaya ya chadema ni dhahiri hata ukiona mazuri ni kwamba hutoyapa uzito unaostahili kwa kuwa kazi yako kuu imejikita kwenye kusaka uyaitayo mabaya.Wandugu wanajamvi
Hivi hawa chadema mbona nakuwa siwaelewi sasa,
Kila kukicha hapa utakuta thread za mara chadema wameleta vurugu bungeni, mara mbunge fulani kasababisha vurugu na kukamatwa , mara Dj anasema tuandamane nchi nzima , mara Dr alikuwa anafuatiliwa na watu barabarani, mara Zitto alitaka kuwekewa sumu./...na kadhalika nyingi tu
Napenda kuwauliza jamaa zangu, Ni lini huwa mnafanya shughuli za maendelo? manake nyie kila kukicha ni mikutano, kulia lia na vurugu, sijui huwa mnafanya kazi saa ngapi?
Jaribuni kuelimika na kuanza kupiga siasa zenye kuleta maendeleo sio vurugu tu, mjue mnapanda bange msitegemee kuja kuvuna mchicha.
Na hii tabia ya kila siku kusema kuwa serikali imepanga hikli dhidi ya chadema mara kile ni utoto hebu jaribuni kukua toeni hivyo vidole puani. Kwani nyinyi ni nani mpaka serikali ihangaike na kuwazushia ujinga?
Sisi kwa kuwa ni jukumu letu kuwaamsha mjitambue inabidi tuendelee bila kukata tamaa kama unionavyo hapa pichani nikimuosha mmoja wa makamanda pale Arusha mjini ili atokwe na pepo mchafu aitwaye chademaKaserukambwe huko....hizo Tsh 7000/= per post unaona ndio maendeleo?.....kanawe miguu ulale huko.
Ngoja tukuitie dokta wakoUmeona mkuu, jamaa hawana sera kwa hiyo wameona njia pekee ya kujipatia umaarufu ni vurugu, kuua watu kufanya maandamano na kulalaamika serikali inataka kuwafanyia mbaya
Hawa jamaa ni sawa tu na wale rebels wa Syria ambao ndio wanaoongoza kwa kuua raia lakini kila kukicha wanalalamika ni serikali
Hawa watu inabidi tuwaoshe kluwatoa pepo mchafu aitwaye chadema. Bbado ni ndugu zetuKuna wengine waishaanza kuugua PARANOIA. Wakiona gari barabarani au watu nyuma yao wanafikiri eti wanawafuata kutaka kuwafanyia mabaya.
Haya ndiyo matatizo ya kudhania unakubalika kumbe ni ndoto za mchana
Unacho kinanea ni sawa?
Unao uhakika Marehemu alitoka Disco au umekuja kueneza siasa za chuki hapa?
Niufahamishe kuwa Marehemu alikuwa ametokaa discussion ndani ya chuo wenzie wa mwaka wa Pili hivyo alikuwa naelekkea nyumbani nje ya chuo sehemu ambayo ndiyo alkuwa amepanga!
Acha upumbavu na kuharibu mood za watu, huna adabu mwili mzima jifunze kuchamba ndo uje useme huo upumbavu wako nyau wee! watu tunasikitka ndugu yetu amefariki wewe unaleta u.senge hapa, kuwa na adabu na matukio yaa simanzi kama haya!
Kaserukambwe huko....hizo Tsh 7000/= per post unaona ndio maendeleo?.....kanawe miguu ulale huko.