CHADEMA kikifanya uchaguzi tu kimekwisha!

CHADEMA kikifanya uchaguzi tu kimekwisha!

si bule umetumwa na Dr Slaa na Mbowe ili waendelee kutumaliza kiuchumi? hii ni taasisi lazima ipate watu wapya wenye malengo zaidi na chama na si vingine. uchaguzi lazima.

kumbe ukisema ukweli umetumwa na Mbowe na Slaa, Chadema ni zaidi ya Mbowe na Slaa
 
Kweli hii ni hoja tata lakini utatuzi wake unahitaji busara na hekima zaidi ya sheria na katiba.
Fikiria syndicate kama za ugaidi wa kupandikiza na hata kumjumuisha Mbowe kwenye watu walioficha mabilion Uswiss na ndio unaweza kuona ni hatari kiasi gani inakabiri hiki chama!

CCM wanajua huu ndio mda mwafaka kuizubaisha Chadema, CCM wanataka uchaguzi kuliko wanachama wa Chadema, kwanini?
 
Zito si kukabwa kirahisi inatakiwa watu kama mbowe na slaa wawe kumi ndiyo wataweza kumkaba zito vinginevyo wataishia kupata lawama na aibu dogo kiboko yao.

Wala hana hizo sifa unazompatia, more than 30 a man, hana mke! tatizo nini? mwnamme mwenye kuchukua maneno na kuyapeleka huku na huku! kama ni jasiri kama unavyotaka kutuaminisha kwa nini asiwaeleze wazi viongozi wenzie mapungufu yao! Na kwa nini avolunteer au alipwe kwa kuhujumu chama anachodai anakipenda nae ni kiongozi, si ahame aende ccm anakoamini kuna watu wanaomkubali na kufanya nae kazi ili aweze kudhihirisha umahiri wake huko?
kwani lengo zima ni kuleta maendeleo ya nchi, sio lazima awe CDM ndio aonyeshe uwezo wake, hata akianzisha chama sidhani kama atazuiwa. Kijana kama yeye kuwa ndumilakuwili haifai
 
Nakubaliana na wewe ila hiyo demokrasia ifanyike baada ya uchaguzi mkuu tena nitasisitiza Mbowe na Slaa wasigombee tena nafasi zao...wagombee Umakamu mwenyekiti na unaibu Katibu Mkuu ila Baada ua uchaguzi mkuu wa nchi na ikiwa ChaDeMa itashindwa kuchukua serikali>>. Kama ikichukua serikali waendelee tu

Huwezi kuacha kuchuma ndimu kwa kumuogopa joka la mdimu,uchaguzi utafanyika ili masalia na mamlukuki wote waondoke kupisha demokrasia makini na si demokrasia uchwara
 
Huwezi kuacha kuchuma ndimu kwa kumuogopa joka la mdimu,uchaguzi utafanyika ili masalia na mamlukuki wote waondoke kupisha demokrasia makini na si demokrasia uchwara

demokrasia hipo mkuu, kufanya uchaguzi baada ya hizi chaguzi mbili ni mbinu ya ushindi kwetu
 
Chama hakiwezi acha kufanya uchaguzi kwa kuhofia chma kingine cha siasa katiba inafuatwa uchaguzi ni mwaka 2014 kama katiba inavyoelekeza full stop..Acha kufanya propaganda za kipuuzi CDM ni taasisi huru kimaamuzi..Hivi Mwenyekiti MH KIKWETE aligombea na nan????????
 
Swaaafi,kuchukua nchi si mchezo hapa uchaguzi mpaka baada ya general election asiyetaka milango iko wazi ahame aende anakojisikia kwenda

Panya wafe tu kijana ZZK... Tumekuchoka kijana na kumbwelambwela kama mfamaji
 
asante sana mkuu kwa kuliona hili, watu smart kichwani lazima hili watalitambua tu, pamoja sana mkuu
 
Chama hakiwezi acha kufanya uchaguzi kwa kuhofia chma kingine cha siasa katiba inafuatwa uchaguzi ni mwaka 2014 kama katiba inavyoelekeza full stop..Acha kufanya propaganda za kipuuzi CDM ni taasisi huru kimaamuzi..Hivi Mwenyekiti MH KIKWETE aligombea na nan????????

Upo sahihi ma best friend,hofu ikitawala ni utumwa
 
Mkuu umefikiria nn ???

mkuu nimefikiria mbali sana, mosi kwanini CCM wapiganie sana uchaguzi wa Chadema kiasi hiki, Nape kila akiamka ni uchaguzi wa Chadema lengo hasa ni nini, pili unapoona masalia wanaokuja na ID fake humu na kuongelea uchaguzi wa chama na kuondoa safu imara ya uongozi heti kabla ya chaguzi inakuwa na malengo gani, ccm wamepanga kutuvuluga na akili zote wanachama na viongozi watofautiane wapate hoja za majukwaani huku sisi tukiwa bado twajipanga tukija kaa sawa chaguzi zimeisha na Chadema kitakuwa kimeangukia uso vibaya sana mkuu, siku zote ndivyo akili za CCm zilivyo mkuu!
 
Chama hakiwezi acha kufanya uchaguzi kwa kuhofia chma kingine cha siasa katiba inafuatwa uchaguzi ni mwaka 2014 kama katiba inavyoelekeza full stop..Acha kufanya propaganda za kipuuzi CDM ni taasisi huru kimaamuzi..Hivi Mwenyekiti MH KIKWETE aligombea na nan????????

hii ni mbinu ya mchezo mkuu, ukishindwa kujiandaa baasi jiandae kushindwa, tutajikita kwenye uchaguzi na CCM watatualibia uchaguzi kwa mbinu yoyote hile, tutakapo weka mambo sawa chaguzi za mitaa na uchaguzi mkuu utakuwa umefika atutapata mda wakujipanga mkuu, soma alama za nyakati mkuu!
 
kumbe ukisema ukweli umetumwa na Mbowe na Slaa, Chadema ni zaidi ya Mbowe na Slaa
kama kweli viongozi waliopo madarakani hawataki kufanya uchaguzi je ikitokea wameota kuchukua hatam ya urais unafikili kutakuwa tena na Democrasia? kama wanashindwa kufanya siasa huru ndani ya taasisi je hawa wanamalengo ya dhati juu ya hili Taifa?
 
Wala hana hizo sifa unazompatia, more than 30 a man, hana mke! tatizo nini? mwnamme mwenye kuchukua maneno na kuyapeleka huku na huku! kama ni jasiri kama unavyotaka kutuaminisha kwa nini asiwaeleze wazi viongozi wenzie mapungufu yao! Na kwa nini avolunteer au alipwe kwa kuhujumu chama anachodai anakipenda nae ni kiongozi, si ahame aende ccm anakoamini kuna watu wanaomkubali na kufanya nae kazi ili aweze kudhihirisha umahiri wake huko? kwani lengo zima ni kuleta maendeleo ya nchi, sio lazima awe CDM ndio aonyeshe uwezo wake, hata akianzisha chama sidhani kama atazuiwa. Kijana kama yeye kuwa ndumilakuwili haifai
ni kweli uwezo or upeo wa zito wakufikili ni sawa na Dr Slaa, Mbowe, Mnyika, msigwa+Rwakatare+ mtei+lema+other ten people in Cdm. huyu kijana ni hatari sana. na anafaa kuwa mwenyekiti wa chadema
 
Chama hakiwezi acha kufanya uchaguzi kwa kuhofia chma kingine cha siasa katiba inafuatwa uchaguzi ni mwaka 2014 kama katiba inavyoelekeza full stop..Acha kufanya propaganda za kipuuzi CDM ni taasisi huru kimaamuzi..Hivi Mwenyekiti MH KIKWETE aligombea na nan????????
kweli wewe ni mbumbumbu sana kwani kikwete ilikuwa mara yake ya ngapi? kumbuka mbowe kaishamaliza muda wake wa miaka kumi au unamaana hakuna mtu mwingine mwenyeuwezo zaidi ya mbowe? kweli akili ndogo kazi sana.
 
JF vululuvululu tu siku hizi.

Hakuna agenda za kitaifa.
 
Back
Top Bottom