CHADEMA kikifanya uchaguzi tu kimekwisha!

Chadema haipo kwa ajili ya kukabana bali ukombozi wa taifa letu

Ndio maana katibu wenu mkuu alisema chama hakijaww imara hamuwezi kuachiwa nchi?!,chadema bado ni sawa na "mbwa wa kihindi" ambae kazi yake ni kubweka pale anapomuona mwizi ama mtu aliyemtilia mashaka!,kwa hili kiukweli kazi kubwa imefanyika na kuna mtu anastahili pongezi hapa!.
 
Chadema warudi wakae chini wafanye maamuzi na niwaombe uchaguzi ndani ya Chadema ufanyike baada ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 .

Yah bila hivyo tutapoteza nguvu nyingi kwenye uchaguzi wa chama wakati kuna chaguzi mbili kubwa mbele yetu
 
Ndio maana katibu wenu mkuu alisema chama hakijaww imara hamuwezi kuachiwa nchi?!,chadema bado ni sawa na "mbwa wa kihindi" ambae kazi yake ni kubweka pale anapomuona mwizi ama mtu aliyemtilia mashaka!,kwa hili kiukweli kazi kubwa imefanyika na kuna mtu anastahili pongezi hapa!.

ndio uwezo wako ulipoishia hapo mkuu amna jinsi.
 
Tujiulize kwanini CCM ndio wanang'anga'ania uchaguzi wa ChaDeMa kuliko wana ChaDeMa wenyewe? Nasupport hoja uchaguzi Mkuu wa ChaDeMa uwe unafanyika Desemba baada ya uchaguzi mkuu wa Nchi.

Mkuu yani kila siku Nape anataka uchaguzi wa Chadema utazani yeye ni mwanachama wa Chadema, kuna kitu hapa nashukuru uongozi wa juu umeliona hili,
 
Mtego wa ccm au katiba yenu ndio inasema swala la muda wa uchaguzi,Wachaga wamechanganikiwa,ZITTO mwanamume wanambana lkn wapi!!!WANAMUOGOPA SANA.

Aisifue Mvua imemnyea.Ajuaye nani ni Mwanaume ni Kimada au Mkewe.Sasa Mambo ya Chumbani usituletee hapa utaharibu jukwaa.
 
Salam wote wanajamvi!

Nianze kwa kusema mimi ni mwanachama hai wa chama cha demokrasia na maendeleo yaani Chadema, nimeona niandike hili bandiko hususani swala la uchaguzi katika chama chetu na yale yaliyotokea Arusha juu ya Samsoni Mwigamba.

Kwa upande wangu mie kama mwanachama wa Chadema nipende kusema tukifanya uchaguzi kwa hali ya sasa chama kitapita katika wakati mgumu sana sana kuliko katika nyakati zote ambazo tulipita, kwanini?

Chama Cha Mapinduzi ndio utakuwa mda mwafaka kufanya ujuma na kupandikiza mbegu ambazo 2015 uchaguzi mkuu swala la kuchukua nchi itakuwa ni ndoto za mchana, CCM watavuluga uchaguzi kwa haina yoyote hili mambo yaende sivyo na pia kuweka watu wao ambao watatuvulugia chama chetu na hilo liko wazi haliitaji jicho la tatu kutambua hilo.

Niseme wazi kwa uongozi uliopo saivi naomba huendelee hutuvushe katika hizi chaguzi mbili kumbwa za serikali za mitaa na uchaguzi mkuu baada ya hapo tufanye uchaguzi lasi hivyo tukiingia tu kwenye huu mtego ambao CCM wanautaka kwa mbinu zote tumeisha kabisa, Dr Slaa na Mbowe wanaweza sana tuwe watulivu kwa sasa hiki ndio kipindi cha lala salama.

Hayo ni maoni yangu tu wanajamvi. Salam wote.

Katiba mpya kwanza, mnafikiri tutasahau?
Tuko macho nayo sana, nyinyi jiangaisheni na mambo ya CDM harafu mpigwe chini kwenye uchaguzi!
Sijui kwenye kampeni mtawahubiria nini wananchi? kwamba mlitumwa na wananchi kuigombanisha CDM ndio maendeleo ya nchi yatakuja kwa kasi?
Your too weak ndugu zangu!
Badilikeni muwe na mtazamo wa maendeleo!
Mnataka tuishi kwenye hayo mawazo yenu mpaka tupitwe hata na kanchi kadogo kama Rwanda?
 
salam wote wanajamvi!

Nianze kwa kusema mimi ni mwanachama hai wa chama cha demokrasia na maendeleo yaani chadema, nimeona niandike hili bandiko hususani swala la uchaguzi katika chama chetu na yale yaliyotokea arusha juu ya samsoni mwigamba.

Kwa upande wangu mie kama mwanachama wa chadema nipende kusema tukifanya uchaguzi kwa hali ya sasa chama kitapita katika wakati mgumu sana sana kuliko katika nyakati zote ambazo tulipita, kwanini?

Chama cha mapinduzi ndio utakuwa mda mwafaka kufanya ujuma na kupandikiza mbegu ambazo 2015 uchaguzi mkuu swala la kuchukua nchi itakuwa ni ndoto za mchana, ccm watavuluga uchaguzi kwa haina yoyote hili mambo yaende sivyo na pia kuweka watu wao ambao watatuvulugia chama chetu na hilo liko wazi haliitaji jicho la tatu kutambua hilo.

Niseme wazi kwa uongozi uliopo saivi naomba huendelee hutuvushe katika hizi chaguzi mbili kumbwa za serikali za mitaa na uchaguzi mkuu baada ya hapo tufanye uchaguzi lasi hivyo tukiingia tu kwenye huu mtego ambao ccm wanautaka kwa mbinu zote tumeisha kabisa, dr slaa na mbowe wanaweza sana tuwe watulivu kwa sasa hiki ndio kipindi cha lala salama.

Hayo ni maoni yangu tu wanajamvi. Salam wote.

maoni mufilisi cdm sasa inatakiwa viongozi wenye upeo mkubwa wa kukabiliana na changamoto zilizopo sio kurusha ngumi.kungangania mbowe na slaa ni kukiua chama
 
Mtego wa ccm au katiba yenu ndio inasema swala la muda wa uchaguzi,Wachaga wamechanganikiwa,ZITTO mwanamume wanambana lkn wapi!!!WANAMUOGOPA SANA.
Mkapa aliachia uwenyekiti wa wa ccm kwa kanuni ipi?alitimiza mashariti ya katiba?
 
Katiba mpya kwanza, mnafikiri tutasahau?
Tuko macho nayo sana, nyinyi jiangaisheni na mambo ya CDM harafu mpigwe chini kwenye uchaguzi!
Sijui kwenye kampeni mtawahubiria nini wananchi? kwamba mlitumwa na wananchi kuigombanisha CDM ndio maendeleo ya nchi yatakuja kwa kasi?
Your too weak ndugu zangu!
Badilikeni muwe na mtazamo wa maendeleo!
Mnataka tuishi kwenye hayo mawazo yenu mpaka tupitwe hata na kanchi kadogo kama Rwanda?

mbona Rwanda imeshatupita kitambo nafikili kwa hilo wakulaumia si Chadema bali chama kinachoongoza dola zaida ya miaka 50, pia swala hoja zipo nyingi sana so usiwe na wasi mkuu 2015 utazipata tu jukwaani!
 
maoni mufilisi cdm sasa inatakiwa viongozi wenye upeo mkubwa wa kukabiliana na changamoto zilizopo sio kurusha ngumi.kungangania mbowe na slaa ni kukiua chama

sisi wanachama hai tunawaamini sana hawa watu Mbowe na Slaa, bila kuwa na uongozi dhatiti tusingekuwa hapa mkuu siivi Chadema ndio chama kikuu cha upinzani.
 
hapana jamaa ana hoja
Swala la uchaguzi ni la katiba. Uchaguzi ni lazima ufanyike vinginevyo wana cdm wakosoaji ndani ya cdm watapata nguvu hata ya kwenda mahakamani. Ni bora cdm ikaacha woga ifanye uchaguzi. Bora ukawepo mkakati wa kupanga safu ya uongozi kwa zengwe kuliko kuogopa.
 
mkuu ukiangalia asilimia kubwa ya watu wanaotaka uchaguzi ni wanachama hai wa CCM na si wanachama hai wa Chadema lazima huwepo umakini wa hali ya juu hapo, tukimaliza uchaguzi mkuu na serikali za mitaa tufanye uchaguzi.
 
Mi bado nasisitiza uchaguzi wa ChaDeMa ufanyike baada ya uchaguzi mkuu wa urais
 
Salam wote wanajamvi!

Nianze kwa kusema mimi ni mwanachama hai wa chama cha demokrasia na maendeleo yaani Chadema, nimeona niandike hili bandiko hususani swala la uchaguzi katika chama chetu na yale yaliyotokea Arusha juu ya Samsoni Mwigamba.

Kwa upande wangu mie kama mwanachama wa Chadema nipende kusema tukifanya uchaguzi kwa hali ya sasa chama kitapita katika wakati mgumu sana sana kuliko katika nyakati zote ambazo tulipita, kwanini?

Chama Cha Mapinduzi ndio utakuwa mda mwafaka kufanya ujuma na kupandikiza mbegu ambazo 2015 uchaguzi mkuu swala la kuchukua nchi itakuwa ni ndoto za mchana, CCM watavuluga uchaguzi kwa haina yoyote hili mambo yaende sivyo na pia kuweka watu wao ambao watatuvulugia chama chetu na hilo liko wazi haliitaji jicho la tatu kutambua hilo.

Niseme wazi kwa uongozi uliopo saivi naomba huendelee hutuvushe katika hizi chaguzi mbili kumbwa za serikali za mitaa na uchaguzi mkuu baada ya hapo tufanye uchaguzi lasi hivyo tukiingia tu kwenye huu mtego ambao CCM wanautaka kwa mbinu zote tumeisha kabisa, Dr Slaa na Mbowe wanaweza sana tuwe watulivu kwa sasa hiki ndio kipindi cha lala salama.

Hayo ni maoni yangu tu wanajamvi. Salam wote.

CDM ni chama cha demokrasia na maendeleo,demokrasia ina maana pana sana kuliko unavyo fikiri ikiwa ni pamoja na uhuru wa makubaliano katika kufikia malengo sawia .Uchaguzi ndani ya CDM kufanyika ni lazima kwa kuwa tu ndiyo demokrasia waliyokubaliana no matter kuna puppet ambao ni planted kuvuruga demokrasia ya kweli katika kutoa shaka ya nafasi zao ndani ya taifa.

Kinachoweza kufanyika ni kudhibiti mianya Mwigamba kuichezea fursa hiyo katika kufikia malengo ya chama kitaifa,ndo maana tunasema ameweza kufahamika mapema kabla ya kutoka ndani ya kikao kwa kuwa tu chama kiko makini.Wapo wengi ambao ni miongoni mwa masalia ambayo yanajitahidi kumea ndani ya chama ambayo yamesambazwa mikoani kwa nia mbaya ya kupunguza harakati na miakakti ya chama kushika dola.

Tunaposema huu ni mpango wa Mungu hatuna masihara,katika jambo jema hakuna kuogopa majaribu kwani hata Nabii Issa(Yesu) naye alijaribiwa,nabii Ayub alipimwa imani yake na vimea mithiri hii lakini mwisho wa siku aliyashinda majaribu.Tunachoweza kusema hiyo ni paving way to the success kwani hakuna mafanikio yatakayo kukuta kitandani ukiwa umelala bila kufanya effort.
 
Nakubaliana na wewe ila hiyo demokrasia ifanyike baada ya uchaguzi mkuu tena nitasisitiza Mbowe na Slaa wasigombee tena nafasi zao...wagombee Umakamu mwenyekiti na unaibu Katibu Mkuu ila Baada ua uchaguzi mkuu wa nchi na ikiwa ChaDeMa itashindwa kuchukua serikali>>. Kama ikichukua serikali waendelee tu
 
Back
Top Bottom