CHADEMA kikifanya uchaguzi tu kimekwisha!

CHADEMA kikifanya uchaguzi tu kimekwisha!

ni kweli uwezo or upeo wa zito wakufikili ni sawa na Dr Slaa, Mbowe, Mnyika, msigwa+Rwakatare+ mtei+lema+other ten people in Cdm. huyu kijana ni hatari sana. na anafaa kuwa mwenyekiti wa chadema

haya pia ni maoni yako, kweli akili ni nywele kila mtu anazake!
 
kama kweli viongozi waliopo madarakani hawataki kufanya uchaguzi je ikitokea wameota kuchukua hatam ya urais unafikili kutakuwa tena na Democrasia? kama wanashindwa kufanya siasa huru ndani ya taasisi je hawa wanamalengo ya dhati juu ya hili Taifa?

ni wana CCM tu ndio wanaotaka uchaguzi Chadema hawa wengine ni masalia na wanachama ambao bado awajaona mbele kuna nini, tunauwamini uongozi uliopo kwa asilimia mia moja ulipotutoa mpaka sasa ni mafanikio makubwa sana tunamalizia mkia 2014 na 2015 kwenye hizo chaguzi then uchaguzi wetu wachama mkuu
 
Niliwahi kuwashauri CCM 'wahairishe' uchaguzi wa mwaka huu waa hakunisikia...kinachoendelea huko mnakiona ama kukisikia...Chadema hawatarudia kosa la wapinzani wao...lazima wajiridhishe mambo yao yako sawa ndio wachukue hatua
 
Nashauri uchaguzi ufanyike lakn wale wote mamluki maana tunawajua wasipewe hata fomu za kugombea,wakiona hawajatendewa haki wachague pori la kwenda.tusiwaonee huruma hata kidogo hao mawakala wa ibilisi.tulishawaona hawana misimamo na bei zao ccm wanazijua na ndio maana wanashabikiwa sana na maccm hapa jamvini na wao kudhani wanakubalika kumbe walishafilisika kisiasa siku nyingi zilizopita.
 
tusipowapa fomu itakuwa shida zaidi na CCM itapata hoja za kuongelea sana juu ya Chadema, dawa hakuna uchaguzi mpaka hizi chaguzi za taifa ziishe!
 
Niliwahi kuwashauri CCM 'wahairishe' uchaguzi wa mwaka huu waa hakunisikia...kinachoendelea huko mnakiona ama kukisikia...Chadema hawatarudia kosa la wapinzani wao...lazima wajiridhishe mambo yao yako sawa ndio wachukue hatua

mpaka sasa tushalizika uchaguzi huwe baada ya 2015 tu
 
Back
Top Bottom