CHADEMA kikifanya uchaguzi tu kimekwisha!

CHADEMA kikifanya uchaguzi tu kimekwisha!

Msimpuuze mtoa mada, ana hoja.

Labda tujiulize swali dogo; je, ni kwa nini maadui za CHADEMA ndio wanaotaka/wanaoshinikiza uchaguzi mkuu (tena kwa udi na shari) wakisaidiwa na "wanachama" wachache ndani ya CHADEMA?

Tena, ni kwanini wengi wa hao maadui wa CHADEMA na washirika wao wa ndani wanataka (openly and specifically) Zitto Zuberi Kabwe ndio awe m/kiti wa CHADEMA?

thanks sana mkuu kwa kuliona hili,alihitaji PHD kuligundua!
 
Hana Mali hana pesa viongozi waandanizi makao makuu ambao wanatoka kanda ya Mtei wanambania,yeye amejikita kwa Watu wa kawaida tu,ambo ni wengi.

wewe unamuongelea Zitto au? Hana Pesa? Tafuta vyanzo utapata hakuna mbunge ambaye hana pesa mshaara tu ni furushi tosha
 
Salam wote wanajamvi!

Nianze kwa kusema mimi ni mwanachama hai wa chama cha demokrasia na maendeleo yaani Chadema, nimeona niandike hili bandiko hususani swala la uchaguzi katika chama chetu na yale yaliyotokea Arusha juu ya Samsoni Mwigamba.

Kwa upande wangu mie kama mwanachama wa Chadema nipende kusema tukifanya uchaguzi kwa hali ya sasa chama kitapita katika wakati mgumu sana sana kuliko katika nyakati zote ambazo tulipita, kwanini?

Chama Cha Mapinduzi ndio utakuwa mda mwafaka kufanya ujuma na kupandikiza mbegu ambazo 2015 uchaguzi mkuu swala la kuchukua nchi itakuwa ni ndoto za mchana, CCM watavuluga uchaguzi kwa haina yoyote hili mambo yaende sivyo na pia kuweka watu wao ambao watatuvulugia chama chetu na hilo liko wazi haliitaji jicho la tatu kutambua hilo.

Niseme wazi kwa uongozi uliopo saivi naomba huendelee hutuvushe katika hizi chaguzi mbili kumbwa za serikali za mitaa na uchaguzi mkuu baada ya hapo tufanye uchaguzi lasi hivyo tukiingia tu kwenye huu mtego ambao CCM wanautaka kwa mbinu zote tumeisha kabisa, Dr Slaa na Mbowe wanaweza sana tuwe watulivu kwa sasa hiki ndio kipindi cha lala salama.

Hayo ni maoni yangu tu wanajamvi. Salam wote.

Chama cha demokrasia na maendeleo kinaogopa Demokrasia!
 
mfanye msifanye uchaguzi nchi hii hamuipati ng'oo hivi ni nani mwenyewe akili pungufu ya kuwapa ninyi madaraka?
Nalog off
 
Chadema warudi wakae chini wafanye maamuzi na niwaombe uchaguzi ndani ya Chadema ufanyike baada ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 .

Ushauri mzuri, Wakae wajadili kubadili kifungu cha katiba cha uchaguzi. Bila kufanya hivyo ni mgogoro wa kikatiba na kuna uwezekano wanachama wasiosikilizwa na kupingwa leo mitandaoni wakaenda mahakamani.
 
Mkuu CHADEMA ni chama makini na kimeshaling'amua hilo.
Uchaguzi ni baada ya 2015.
Asiyetaka na ajiue...
 
mfanye msifanye uchaguzi nchi hii hamuipati ng'oo hivi ni nani mwenyewe akili pungufu ya kuwapa ninyi madaraka?
Nalog off

mbona madaraka tulishapewa, kuna wabunge wangapi wa Chadema kwenye hii nchi?!
 
Mkuu CHADEMA ni chama makini na kimeshaling'amua hilo.
Uchaguzi ni baada ya 2015.
Asiyetaka na ajiue...

yah kamanda mda huu chama kijipange na chaguzi za mitaa na uchaguzi mkuu
 
Ushauri mzuri, Wakae wajadili kubadili kifungu cha katiba cha uchaguzi. Bila kufanya hivyo ni mgogoro wa kikatiba na kuna uwezekano wanachama wasiosikilizwa na kupingwa leo mitandaoni wakaenda mahakamani.

ok pia hii ni hoja ya msingi!
 
Acha kujidanganya hakuna ccm wala cuf wanaoshughulika na uchaguzi wenu ila hizo ni hila tu za mbowe na slaa kujikabidhisha CHADEMA na kukifanya kuwa chama cha kifalme na sio cha demokrasia tena na ndio maana kila anaedai uchaguzi na matumizi ya ruzuku yanatumikaje humshambulia na kumfukuza chama 'shame on m/kiti na katibu'
anayehoji uadilifu wa Dr.slaa na Mh.mbowe yeye uadilifu wake uko wapi? Vp ufanisi wa kazi zake na mafanikio yake? Kipato chake kinalingana na kazi anazofanya? Hatuwezi kufanya uchaguzi wakati chama kinajiandaa kushinda s/mitaa 2014 na uchaguzi mkuu 2015.
 
thanks sana mkuu kwa kuliona hili,alihitaji PHD kuligundua!
si bule umetumwa na Dr Slaa na Mbowe ili waendelee kutumaliza kiuchumi? hii ni taasisi lazima ipate watu wapya wenye malengo zaidi na chama na si vingine. uchaguzi lazima.
 
maoni mengine ni ya kijinga kabisa,yaani tuache kufanya uchaguzi ambao ni dai la kikatiba kwa hofu ya kuhujumiwa?Tukiishi kwa hofu ya kuhujumiwa,tutakuwa watumwa.

dhaifu.....kwanza we ni mccm.
 
si bule umetumwa na Dr Slaa na Mbowe ili waendelee kutumaliza kiuchumi? hii ni taasisi lazima ipate watu wapya wenye malengo zaidi na chama na si vingine. uchaguzi lazima.

we nani wa kusema lazima......mjinga sana wewe
 
anayehoji uadilifu wa Dr.slaa na Mh.mbowe yeye uadilifu wake uko wapi? Vp ufanisi wa kazi zake na mafanikio yake? Kipato chake kinalingana na kazi anazofanya? Hatuwezi kufanya uchaguzi wakati chama kinajiandaa kushinda s/mitaa 2014 na uchaguzi mkuu 2015.

asante kwa ufafanuzi mzuri take five.....
 
Kweli hii ni hoja tata lakini utatuzi wake unahitaji busara na hekima zaidi ya sheria na katiba.
Fikiria syndicate kama za ugaidi wa kupandikiza na hata kumjumuisha Mbowe kwenye watu walioficha mabilion Uswiss na ndio unaweza kuona ni hatari kiasi gani inakabiri hiki chama!
 
anayehoji uadilifu wa Dr.slaa na Mh.mbowe yeye uadilifu wake uko wapi? Vp ufanisi wa kazi zake na mafanikio yake? Kipato chake kinalingana na kazi anazofanya? Hatuwezi kufanya uchaguzi wakati chama kinajiandaa kushinda s/mitaa 2014 na uchaguzi mkuu 2015.

na hili ndilo linawaumiza vichwa CCM, kwanini CCM wanataka uchaguzi wa Chadema, CCM akili yao ndogo sana wanafikili watu hawatajua njama zao!
 
Back
Top Bottom