CHADEMA kikifanya uchaguzi tu kimekwisha!

CHADEMA kikifanya uchaguzi tu kimekwisha!

CDM ni chama cha demokrasia na maendeleo,demokrasia ina maana pana sana kuliko unavyo fikiri ikiwa ni pamoja na uhuru wa makubaliano katika kufikia malengo sawia .Uchaguzi ndani ya CDM kufanyika ni lazima kwa kuwa tu ndiyo demokrasia waliyokubaliana no matter kuna puppet ambao ni planted kuvuruga demokrasia ya kweli katika kutoa shaka ya nafasi zao ndani ya taifa.

Kinachoweza kufanyika ni kudhibiti mianya Mwigamba kuichezea fursa hiyo katika kufikia malengo ya chama kitaifa,ndo maana tunasema ameweza kufahamika mapema kabla ya kutoka ndani ya kikao kwa kuwa tu chama kiko makini.Wapo wengi ambao ni miongoni mwa masalia ambayo yanajitahidi kumea ndani ya chama ambayo yamesambazwa mikoani kwa nia mbaya ya kupunguza harakati na miakakti ya chama kushika dola.

Tunaposema huu ni mpango wa Mungu hatuna masihara,katika jambo jema hakuna kuogopa majaribu kwani hata Nabii Issa(Yesu) naye alijaribiwa,nabii Ayub alipimwa imani yake na vimea mithiri hii lakini mwisho wa siku aliyashinda majaribu.Tunachoweza kusema hiyo ni paving way to the success kwani hakuna mafanikio yatakayo kukuta kitandani ukiwa umelala bila kufanya effort.

nakubaliana na wewe mkuu tatizo tukisema tufanye uchaguzi sasa na CCM walivyoupania huu uchaguzi inaweza kuathiri uchanguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu kwa maoni yangu demokrasia ya kuchagua iwe baada ya chaguzi hizo mbili.
 
Zito si kukabwa kirahisi inatakiwa watu kama mbowe na slaa wawe kumi ndiyo wataweza kumkaba zito vinginevyo wataishia kupata lawama na aibu dogo kiboko yao.

Ndio maana tunasema pia kuwa Mbunge mmoja wa CHADEMA ni sawa na wabunge sabini wa CCM
 
Ni haki yako kikatiba kutoa maoni yako.

maoni mengine ni ya kijinga kabisa,yaani tuache kufanya uchaguzi ambao ni dai la kikatiba kwa hofu ya kuhujumiwa?Tukiishi kwa hofu ya kuhujumiwa,tutakuwa watumwa.
 
maoni mengine ni ya kijinga kabisa,yaani tuache kufanya uchaguzi ambao ni dai la kikatiba kwa hofu ya kuhujumiwa?Tukiishi kwa hofu ya kuhujumiwa,tutakuwa watumwa.

amna mwenye hofu bali ni kusoma alama za nyakati tu
 
Salam wote wanajamvi!

Nianze kwa kusema mimi ni mwanachama hai wa chama cha demokrasia na maendeleo yaani Chadema, nimeona niandike hili bandiko hususani swala la uchaguzi katika chama chetu na yale yaliyotokea Arusha juu ya Samsoni Mwigamba.

Kwa upande wangu mie kama mwanachama wa Chadema nipende kusema tukifanya uchaguzi kwa hali ya sasa chama kitapita katika wakati mgumu sana sana kuliko katika nyakati zote ambazo tulipita, kwanini?

Chama Cha Mapinduzi ndio utakuwa mda mwafaka kufanya ujuma na kupandikiza mbegu ambazo 2015 uchaguzi mkuu swala la kuchukua nchi itakuwa ni ndoto za mchana, CCM watavuluga uchaguzi kwa haina yoyote hili mambo yaende sivyo na pia kuweka watu wao ambao watatuvulugia chama chetu na hilo liko wazi haliitaji jicho la tatu kutambua hilo.

Niseme wazi kwa uongozi uliopo saivi naomba huendelee hutuvushe katika hizi chaguzi mbili kumbwa za serikali za mitaa na uchaguzi mkuu baada ya hapo tufanye uchaguzi lasi hivyo tukiingia tu kwenye huu mtego ambao CCM wanautaka kwa mbinu zote tumeisha kabisa, Dr Slaa na Mbowe wanaweza sana tuwe watulivu kwa sasa hiki ndio kipindi cha lala salama.

Hayo ni maoni yangu tu wanajamvi. Salam wote.

Dukuduku lako ni sababu tosha ya CDM kufanya uchaguzi kwa wakati ili kujiimarisha zaidi na kuondoa mbegu chafu kama Mwigamba, Shibuda na wengineo, wacha woga wewe, mabadiliko hayaitaji watu nyoronyoro!
 
Mtego wa ccm au katiba yenu ndio inasema swala la muda wa uchaguzi,Wachaga wamechanganikiwa,ZITTO mwanamume wanambana lkn wapi!!!WANAMUOGOPA SANA.

wanaume wanajulikana hawawi waoga kama kunguru huyo mwoga wa mabadiriko uchaguzi unafanyika katika ngazi zote na chadema mmoja na imara itasonga mbele
 
Dukuduku lako ni sababu tosha ya CDM kufanya uchaguzi kwa wakati ili kujiimarisha zaidi na kuondoa mbegu chafu kama Mwigamba, Shibuda na wengineo, wacha woga wewe, mabadiliko hayaitaji watu nyoronyoro!

tunaweza poteza nguvu nyingi sana kwa hili, akili inatakiwa iambatane na nguvu mkuu, baada ya uchaguzi mkuu 2015 tufanye uchaguzi wetu
 
nakubaliana na wewe mkuu tatizo tukisema tufanye uchaguzi sasa na CCM walivyoupania huu uchaguzi inaweza kuathiri uchanguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu kwa maoni yangu demokrasia ya kuchagua iwe baada ya chaguzi hizo mbili.

Acha kujidanganya hakuna ccm wala cuf wanaoshughulika na uchaguzi wenu ila hizo ni hila tu za mbowe na slaa kujikabidhisha CHADEMA na kukifanya kuwa chama cha kifalme na sio cha demokrasia tena na ndio maana kila anaedai uchaguzi na matumizi ya ruzuku yanatumikaje humshambulia na kumfukuza chama 'shame on m/kiti na katibu'
 
kwani matumizi ya ruzuku CCM mnayajua au we ndio unajidanganya, nenda ofisini kwa katibu mkuu utapewa data!
 
Porojo za Chadema zinachekesha sana.

Siku ikitokea bahati mbaya wakashika dola watasema uchaguzi ukifanyika usalama wa taifa utayumba, kwahiyo wataaa madarakani mpaka siku watakayoona wametosheka!

Kushadadia kwako uchaguz wa CDM hali ww ni Gamba kunathibitisha hoja ya mleta mada.
 
Msimpuuze mtoa mada, ana hoja.

Labda tujiulize swali dogo; je, ni kwa nini maadui za CHADEMA ndio wanaotaka/wanaoshinikiza uchaguzi mkuu (tena kwa udi na shari) wakisaidiwa na "wanachama" wachache ndani ya CHADEMA?

Tena, ni kwanini wengi wa hao maadui wa CHADEMA na washirika wao wa ndani wanataka (openly and specifically) Zitto Zuberi Kabwe ndio awe m/kiti wa CHADEMA?
 
Chama cha kifamilia kitafia kwenye familia na kama hutokei ukanda ule huna nafsi ndani ya chadema.

sawa lakini kumbuka mi niko simiyu na kuna mkund. anajiita simiyu yetu wala hapajui huku.....
 
Msimpuuze mtoa mada, ana hoja.

Labda tujiulize swali dogo; je, ni kwa nini maadui za CHADEMA ndio wanaotaka/wanaoshinikiza uchaguzi mkuu (tena kwa udi na shari) wakisaidiwa na "wanachama" wachache ndani ya CHADEMA?

Tena, ni kwanini wengi wa hao maadui wa CHADEMA na washirika wao wa ndani wanataka (openly and specifically) Zitto Zuberi Kabwe ndio awe m/kiti wa CHADEMA?
Mkuu hili swali la kujiuuliza nahisiMbowe na Slaa wanajua jibu lake na ndio mana hawataki uchaguzi ufanyike sasa
 
inategemea uwanaume wake umeuonea wapi, mie sijui ukalibu wako na Zitto mpaka umuite mwanaume!

Hana Mali hana pesa viongozi waandanizi makao makuu ambao wanatoka kanda ya Mtei wanambania,yeye amejikita kwa Watu wa kawaida tu,ambo ni wengi.
 
Back
Top Bottom