Salam wote wanajamvi!
Nianze kwa kusema mimi ni mwanachama hai wa chama cha demokrasia na maendeleo yaani Chadema, nimeona niandike hili bandiko hususani swala la uchaguzi katika chama chetu na yale yaliyotokea Arusha juu ya Samsoni Mwigamba.
Kwa upande wangu mie kama mwanachama wa Chadema nipende kusema tukifanya uchaguzi kwa hali ya sasa chama kitapita katika wakati mgumu sana sana kuliko katika nyakati zote ambazo tulipita, kwanini?
Chama Cha Mapinduzi ndio utakuwa mda mwafaka kufanya ujuma na kupandikiza mbegu ambazo 2015 uchaguzi mkuu swala la kuchukua nchi itakuwa ni ndoto za mchana, CCM watavuluga uchaguzi kwa haina yoyote hili mambo yaende sivyo na pia kuweka watu wao ambao watatuvulugia chama chetu na hilo liko wazi haliitaji jicho la tatu kutambua hilo.
Niseme wazi kwa uongozi uliopo saivi naomba huendelee hutuvushe katika hizi chaguzi mbili kumbwa za serikali za mitaa na uchaguzi mkuu baada ya hapo tufanye uchaguzi lasi hivyo tukiingia tu kwenye huu mtego ambao CCM wanautaka kwa mbinu zote tumeisha kabisa, Dr Slaa na Mbowe wanaweza sana tuwe watulivu kwa sasa hiki ndio kipindi cha lala salama.
Hayo ni maoni yangu tu wanajamvi. Salam wote.