Chadema kidedea uchaguzi UDSM

Acha maneno ya maudhi wewe Gamba.Hujaelewa nini hapo?

Hapana Molemo acheni ubabe, hii habari haijitoshelezi, msifanye watu kama wameingiwa na mapepo, wawe wanachangia tu vitu hata kama havieleweki kwa vile ziko in favor of CHADEMA.
 
Ccm wapumbavu sana badala waweke mikakati ya kukijenga chama wao wapo busy wanajenga migogoaro ,wajumbe wa NEC taifwa mwoondoeni nape anakiua chama
 
Mleta mada tunaomba jina la mshindi , ameshinda kwa kura ngapi? Ili tufanye tathmini
 
tuache uzushi habari inaeleweka, labda tatizo letu ni elimu za ngumbaro na za kata
 
Hili uliloandika hapa si habari,kashinda uchaguzi gn,ktk nafasi ipi na hivi kweli chaguzi za vyuo zinahusisha siasa?
 
Hili uliloandika hapa si habari,kashinda uchaguzi gn,ktk nafasi ipi na hivi kweli chaguzi za vyuo zinahusisha siasa?

Hv dwight, wakati unaandika hii thread yako kuna mtu aliyekuwa kakushikia hizo akili zako?! manake siamini mtu ambaye eti anajiita na yeye ni "Great Thinker" akauliza swali la kitoto kama hilo lako! Je, ni kweli hujui au ulikuwa hujui kuwa vyuoni pia siasa zipo ama ni ufidhuri tu & kujifanya hamunazo?!!!
 
Last edited by a moderator:
wakati nafurahi chadema kushinda huko UDSM natafakari hizi siasa za vyama jinsi zinavyoenea kwa kasi katika taasisi zetu za elimu na hii inanikumbusha kuwa kuna siku itakuja kuwa chanzo cha machafuko....
 
Mbona huku kwetu chadema wameshinda kiti cha vichaa na wabwatukaji.
THE UNSEEN IS ILLUSTRATED BY THE SEEN.


mkuu naona huna hoja kabisa na kukaa kimya huwezi tukisema wewe akili yako haiko sawa utabisha?... maana naangali michango yako mingi uliyo anza nayo haina mashiko kabisa...

post 39 zote pumba ... napata hisia hapa si mahali pako ila umelazimishwa.
 
tutampa credit baada ya kuona amerudisha heshima ya udsm kwa kurudisha mamlaka ya daruso yaliyoporwa boga la kikwete mkandara vinginevyo yeye tumuite boga la mgaya. kama
 
Ivi kuna sehemu yoyote ambayo yule dogo alisema kuwa ye ni mwana chadema?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom