Uzinduzi wa tawi la CHADEMA kijiji cha Misri-Geita | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uzinduzi wa tawi la CHADEMA kijiji cha Misri-Geita

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kanta, Dec 21, 2011.

 1. kanta

  kanta JF-Expert Member

  #1
  Dec 21, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 343
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  WADAU HEBU ANGALIENI JINSI WATU VIJIJINI WALIVYOAMKA NA KUTAKA MABADILIKO, HAPA NI PICHA ZA UZINDUZI WA TAWI LA CHADEMA KATIKA KIJIJI CHA MISRI WILAYANI GEITA, UZINDUZI HUO ULIONGOZWA NA ALIYEKUWA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA GEITA KWA TIKETI YA CHADEMA NDUGU Ruhega, Rogers.JE CCM WATATOKA 2015?
   

  Attached Files:

 2. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #2
  Dec 21, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mbona kama kikao cha wanafamilia? Sioni ishara yoyote inayoiwakilisha Chadema hapo!! No bendera, no magwanda!!!
   
 3. RUMANYIKA

  RUMANYIKA JF-Expert Member

  #3
  Dec 21, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 315
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kazi nzuri endeleeni kukijenga chama watu wakijue. Na magamba yawavuke.
   
 4. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #4
  Dec 21, 2011
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Picha bado hazitoi msisimko! Tungepata aerial view kuthibitisha!!

  Big up CDM!
   
 5. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #5
  Dec 21, 2011
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  KANTA nimeona mdogo wangu, ila naona umeshindwa kuattach zote za makamanda kama zilivyokuwa huku kwa wadau. Na bado CHADEMA mwendo mdundo mpaka kieleweke.
   
 6. kanta

  kanta JF-Expert Member

  #6
  Dec 21, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 343
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Hayo macho au vidonda? @Rejao, yaani hata hiyo fulana ya huyo mama anaepuliza vuvuzela huoni in chata gani?Au hata hayo magwanda ykwenye picha ya pili huyaoni?Hoa ndo CHADEMA, huwa haandai watu kwenye mikutano kwa kuwahonga kanga na fulana, watu huwa wanajitolea wenyewe.
   
 7. only83

  only83 JF-Expert Member

  #7
  Dec 21, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Rejao ze uharo.....
   
 8. n

  nyandaojiloleli JF-Expert Member

  #8
  Dec 21, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 206
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kazi nzuri hiyo ni operation fukuza ccm.
   
 9. kanta

  kanta JF-Expert Member

  #9
  Dec 21, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 343
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  hYA WADAU PICHA ZINGINE HIZO HAPO,REJAO UPOOOOO!
   

  Attached Files:

 10. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #10
  Dec 21, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kazi nzuri Dear Mama, Uncle Filbert na makamanda woooote hapo GT, ni mpaka kieleweke.Pepooooleeesss Poweeeeeeer
   
 11. Zeddicus Zu'l Zorander

  Zeddicus Zu'l Zorander JF-Expert Member

  #11
  Dec 21, 2011
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 571
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 60
  Thumb up mkuu, tumeona 2015 mpaka kieleweke.
   
 12. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #12
  Dec 21, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mkuu kanta, achana na Rejao huyo hana kichwa ana tikiti maji sasa unategemea nini hapo? cdm ni mwendo mudundo mpaka vijijini, si magamba huwa wanasema mtaji wao uko vijijini basi nikubanana nao hukohuko
   
 13. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #13
  Dec 21, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Compare na Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam kilipofungua tawi jipya lililopo eneo la Pamba Road katikati ya jiji la Dar es Salaam.
  Mambo yamebadilika...CCM sasa hivi kimekuwa chama cha VIJANA na CDM kimekuwa chama cha WaZEE! What a change!!!
  ccm1.JPG ccm2.JPG ccm3.JPG
   
 14. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #14
  Dec 21, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135

  Inabidi uwe kichaa japo kwa muda kuvaa nguo za kijani(magamba/ccm) na kujitokeza hadharani, kwenye hizi picha watu wanaonekana kuwashangaa sana tena wakiwa kwa mbali, hao mavuvuzela wenye nguo za kijani badala ya kwenda kuwasikiliza halafu ni city lakini mwitikio wa watu ni zero yaani idadi ya wanakijiji wa misri kule geita iko juu!!Ama kweli magamba kwishney
   
 15. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #15
  Dec 21, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kwa lipi? Kwa jamaa hapo kucheza kiduku ndo aonekane kijana?
   
 16. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #16
  Dec 21, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kwetu ccm kitaeleweka tu kwani katiba tutazingua isibadilike na tume ya uchaguzi itaendelea kuwa chini yetu kwahiyo watatupa ushindi ikishindikana tutatumia polic na usalama wa taifa
   
 17. r

  rutakolwakolwa Member

  #17
  Dec 21, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh,mbona wa ccm wanawaka na wa chadema kama wamechoka na maisha?
   
 18. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #18
  Dec 21, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280

  kazi nzuri, ongezeni bidiii
   
 19. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #19
  Dec 21, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  ha ha ha.
  What a joke.
  OTIS
   
 20. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #20
  Dec 21, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Baada ya 2015 CCM watafute shughuli nyingine ya kufanya. Siasa imeshawashinda, ngoma waiachie CHADEMA!
   
Loading...