Chadema kesho itaendelea kuwasaidia wahanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema kesho itaendelea kuwasaidia wahanga

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Henry Kilewo, Feb 21, 2011.

 1. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #1
  Feb 21, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  Chama cha CHADEMA kanda maalum ya Dar es salaam siku ya kesho wataendelea kuwa changia wahanga wa mabomu wa kule gongo la mboto, viongozi hawo wataambatana na wabunge wao pamoja na umoja wa wanafunzi vyuo vikuu (chaso) kwenda kutoa damu katika hospitali ya muhimbili saa nne asubuhi, kwa yeyote yule atakaye taka kushiriki nasi anakaribishwa,

  tuwaokoe wenzetu kwa janga hili kubwa la kitaifa
   
 2. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #2
  Feb 21, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Napongeza juhudi hizi za wana CDM, mungu awabariki.
   
 3. Lasikoki

  Lasikoki JF-Expert Member

  #3
  Feb 21, 2011
  Joined: Jan 10, 2010
  Messages: 642
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Aaah! Move na kazi nzuri, lakini mbona mmechelewa kurespond?
   
 4. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #4
  Feb 21, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lazima ujipange pia media za tz ni corrupt; CDM wamefanya mambo makubwa lakini hata tarifa mpaka uje uzione ktk magazeti machache tu; zingine zinacover ugoro
   
 5. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #5
  Feb 21, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  God bless u.
   
 6. Tambara Bovu

  Tambara Bovu JF-Expert Member

  #6
  Feb 22, 2011
  Joined: Dec 19, 2007
  Messages: 586
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  vizuri
   
 7. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #7
  Feb 22, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  Tunawashukuru watanzania wote waliyoshiriki nasi leo katka kukamilisha zoezi la kutoa damu pale muhimbili mungu awabariki muendelee kuwa na imani hiyo hiyo ya kushirikiana.... Amen
   
 8. T

  Topical JF-Expert Member

  #8
  Feb 22, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Media attention as usual..kuna siku mtavua nguo ili tu mtangazwe lol
   
 9. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #9
  Feb 22, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  kama ambavyo wewe unatembea ****** wazi ili media ikutangaze...uwe unaheshimu vyama vya wenzio !!!
   
 10. T

  Topical JF-Expert Member

  #10
  Feb 22, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo na nyie mnaiga siyo..lol
   
 11. Msolopagazi

  Msolopagazi JF-Expert Member

  #11
  Feb 22, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 659
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Kazi nzuri Chadema tuzidi kujitolea ili tuikomboe Tanzania
   
 12. T

  Topical JF-Expert Member

  #12
  Feb 22, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kila kitu siyo siasa..hudumia watu wagonjwa bila kutangaza ndio uadilifu mkuu.
   
Loading...