Chadema kama Gbagbo!

Eti kwenye mkakati wao wanasema kuwa ndio kuiteka JF iwe ya CCM kwa kushambulia , kumbe hawajui watu hapa wanaangalia hoja na sio nani kamshambulia nani zaidi .

Hizo ni fikra finyu mkuu, jibuni hoja sio bla bla ! wimbi la watu kukosa imani na cdm ni kubwa sana hivi sasa
 
Kwa hali ninayoiona humu ndani ya jf,chadema wakipewa hii nchi watakuja kuondolewa na mabomu ya UN siyo kura!yaani viongozi wa cdm na wapenz wao ni wabinafsi,wasiopenda kuambiwa ukweli!vile vile wanapenda kila mtu awasifie hata kama wanaharibu!!ona now wanavyowasema vibaya mwananchi na mtikila,kisa eti wameongea kinyume nao!! Natamani kitokee chama cha upinzani cha ukweli tanzania nijiunge nacho!SIO HIKI CHAMA CHA WAHUNI
Funga milango tupigane. teh teh!. Uko sawa mkuu.
 
Mawazo mgando haya unataka watu wasijiunge na JF kisa wamechelewa kujiunga basi hao sio CHADEMA! What a shame! Nionavyo mimi JF kwa sasa ni ya Watanzania wote kwa ajiri ya kujadili mambo mbali mbali ya Tanzania na watanzania! Narudia tena JF sio ya Wanachadema!
 
Magamba sasa yamejaa JF:

Join Date : 28th April 2011
Posts : 3
Thanks 0
Thanked 0 Times in 0 Posts



Rep Power : 0

Ivi huoni kama ulichokiandika hakichangii katika mada husika? acha upofu. Mtu anaweza akajiunga hata leo lakini akawa na mawazo mazuri kuliko hata wewe, halafu jua kuwa humu kila mtu anatoa mawazo yake au waanzilishi wa hii Jf walisha kuambia hii blog magamba hawatakiwi? kama huwataki magamba anzisha blog yako
 
Sifa kubwa ya kuwa mwana CCM lazima uwezo wako wa kufikiri na kutoa maamuzi uwe usawa wa bahari............

Ndio maana mbinu za kudhofiasha upinzani zinabaki zilezile zilizo ua NCCR-mageuzi, kwa wakati huu kama sifa za CCM zingekuwa zimebadilika baada ya kukubali fikra potofu za mwenyekiti wao za kujivua gamba wa singe hangaika zaidi ya kutimiza ahadi na ilani yao ya uchaguzi bila kuiba ...................

Ahadi hamtekelezi, wizi hamachi halafu mnataka wananchi tuwa elewe kuwa mmebadilika kwa kutoa hutuba majukwani kama CDM ambayo si chama dora huu utakuwa wendawazimu ............
 
Haya, kwani kujiunga jf hivi karibuni ndio hujui mambo ya nchi ninyi acheni kukashifu watu jamani,naomba mjibu hoja hizo hapo juu,pia sipendi maneno ya zitto kawatuma au sijui ww ni mfuasi wa mbowe...hao jamaa ni matatizo ndni ya cham...ila tofauti yao ni kwamba mbowe ana wapambe wengi aliowateua katika kamati kuu,hivyo anaweza kuungwa mkono kwa hoja mfu zake. MIMI NI MWANACHADEMA,TENA NAIJUA CHADEMA TANGU 1998,SIWEZI KUMDHARAU ALIYEJIUNGA 2000 KISA AMENIKUTA,HIVYO ACHENI KEBEHI KWA WAGENI WA HUMU NDANI
 
Back
Top Bottom