Waziri Mkuu kuwa makini, CHADEMA wanataka wakugombanishe na Makonda kuelekea Uchaguzi Mkuu waepuke na uwakemee na awapige mkwara

Bia yetu

JF-Expert Member
Apr 14, 2020
6,923
8,314
Tunajua Chadema ipo kwa hatua za mwisho kusambaratika na hatimaye kufa kabisa kuelekea October 2020

Chadema hii ipo kwenye uoga wa kukataliwa na Wananchi kwenye boksi la kura

Wanachokifanya kwa sasa wanatumia njia ya kuwagombanisha viongozi wetu

Kwa kuwa Makonda ameifuta Chadema dar es salam makamanda wamejawa na mihemuko wanajua ruzuku haitakuwepo tena Chadema
Wanataka wamtumie Waziri Mkuu kukugombanisha wewe na makonda usikubali waambie waache uhuni wa kisiasa

Na makonda ameshawajulia hawa makamanda anawakimbiza ile mbaya, naomba Uchaguzi Mkuu unaokuja makonda aendelee kuwa Mkuu wa mkoa wa Dar ili ahitimishe maziko

Sisi Watanzania tuliowengi raha yetu ni kuona tunakuwa na chama cha upinzani chenye tija kwa Taifa lakini sio hawa wanaojiita makamanda

Tunakuomba pia makonda usiwalegezee kamba hawa makanjanja wa kisiasa, tunataka October 2020 Dar iwe ya kijani

Tunataka kuanzia posta hadi bagamoyo, posta hadi kibaha posta hadi mbagala rangi za Ccm zipepee Tumechoka kuona rangi za chama kingine

Tuipende Tanzania
 
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzuri wa JF kwenye registration hakuna namna ya ku verify Afya ya Akili ya mtu
Yaani hata Wendawazimu wana Join

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makonda ni mkuu wa Mkoa anatumikaje kuifuta Chadema? Kwani wakuu wa mikoa ni viongozi wa Ccm? Ndio mana maombi aliyotaka jiwe nayaona ni kupoteza muda!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom