CHADEMA jiandaeni kisaikolojia kupokea matokeo

Mzee mbona jibu liko wazi mitaani au unakaa nje ya Tanzania? Watanzania wameamua kumpa kura za kishindo Dkt Magufuli. Survey zote zilizofanywa kisayansi zimethibitisha ushindi wa kati ya 86%-90% kwa JPM. Watanzania wamemkataa mwakilishi mkazi wa Mabeberu. Jumatano weka kura yako kwa JPM maisha yaendelee ukiwa na amani ya roho na upunguze stress wakati matokeo yanatangazwa au jiandae kisaikolojia
Viva Tanzania Huru. Mabeberu na vibaraka wao ziiiiiiiii. Mungu wetu atukuzwe.
 
Kwa takribani siku kama tano hivi mfululizo chadema wanazidi kushuka umaarufu wao kwenye mitandao sijui shida ni nini
Tatizo ni Shehe ponda + Amsterdam. Watanzania bado tunahitaji umoja wetu, mila na utamaduni vilindwe.
 
Kulingana na kampeni zao nimeona CHADEMA wamekuwa na matumaini makubwa kupata kura nyingi katika uchaguzi huu mkuu. Ila kwa watu wenye upeo na wenye uwezo wa kuona mbali tunajua mgombea wao hatafikisha hata kura milioni 3 akipata sana 2.8 milioni ambapo hatafikia hata nusu ya kura alizopata Lowassa.

CHADEMA ningependa kuwashauri uchaguzi ujao mjifunze kutoka CCM kuandaa wagombea maana wagombea wenu ni yule anayeibuka tu hana maandalizi yeyote hajui kuwaambia Watanzania atawafanyia nini zaidi ya kutafuta sympathy za watu tu.

Hata kama angeshinda hakuna watu wa kutengeneza serikali kutoka CHADEMA hakuna watu wenye sifa hata za kuwa wakuu wa mikoa sembuse kuongoza wizara.

Jamani kuongoza nchi sio kitu cha kubahatisha nchi haiwezi kuongozwa na chama ambacho ofisi zake imepanga mtajengea nchi nini kama kujenga ofisi na ruzuku zote mnazopata mmeshindwa.

Wanachadema wote jiandaeni kisaikolojia kupokea matokeo mgombea wenu hatafikisha hata 20%.
Wapi wanasomea mafunzo ya kuongoza Nchi?
 
Ikiwa mgombea wa uraisi kwa tiketi ya Chadema hakujitayarisha na kaibuka na akaweza kufanya kampeni nchi nzima na kupata watu wengi kiasi kile na kama vyama vya siasa visinge zuiwa na chama tawala kuendesha harakati za kisiasa kwa muda wote tangu uchaguzi uliyopita nina uhakika CCM ingedhoofika sana. Lazima CCM mjiulize wale watu waliyopo vyama vya upinzani wanfuata nini kule?
 
Tatizo ni Shehe ponda + Amsterdam. Watanzania bado tunahitaji umoja wetu, mila na utamaduni vilindwe.

Upinzani halisi na halali ulikuwa ni ule wa 2015 kabla ya Lowasa hawa wengine wote ni ujanja ujanja wa kuchumia tumbo
 
Ni kipindi Cha Dr Slaa mkuu ndio wananchi tuliona faida za upinzani
 
Mwaka 2015 tulikuwa na wapiga kura waliojiandikisha 23 mil. Kwa nini isiwezekane baada ya miaka mitano kuwa na wapiga kura milioni 29? Kumbuka annual population growth ya Tanzania ni between 2.5-3%. Haya ni mahesabu rahisi tu ndugu yangu
Sector inayohusika na idadi ya watu nchini ,, unajua walio chini ya miaka 18 ni wangapi dhidi ya watz wote??😁 Je unajua ni wangap hawajajiandikisha kati ya asilimia zilizobaki za watu ambao wako above 18 ? Kama hauna data halisi nikupe mbona ni kitu kidogo sana ,,, kifupi kuna wapiga kura hewa over 5milion hizi ni kura ambazo unaamua tu uweke chama flan inategemea na wahusika wako wapi
 
Kulingana na kampeni zao nimeona CHADEMA wamekuwa na matumaini makubwa kupata kura nyingi katika uchaguzi huu mkuu. Ila kwa watu wenye upeo na wenye uwezo wa kuona mbali tunajua mgombea wao hatafikisha hata kura milioni 3 akipata sana 2.8 milioni ambapo hatafikia hata nusu ya kura alizopata Lowassa.

CHADEMA ningependa kuwashauri uchaguzi ujao mjifunze kutoka CCM kuandaa wagombea maana wagombea wenu ni yule anayeibuka tu hana maandalizi yeyote hajui kuwaambia Watanzania atawafanyia nini zaidi ya kutafuta sympathy za watu tu.

Hata kama angeshinda hakuna watu wa kutengeneza serikali kutoka CHADEMA hakuna watu wenye sifa hata za kuwa wakuu wa mikoa sembuse kuongoza wizara.

Jamani kuongoza nchi sio kitu cha kubahatisha nchi haiwezi kuongozwa na chama ambacho ofisi zake imepanga mtajengea nchi nini kama kujenga ofisi na ruzuku zote mnazopata mmeshindwa.

Wanachadema wote jiandaeni kisaikolojia kupokea matokeo mgombea wenu hatafikisha hata 20%.
Mkuu brightoscar , hakuna watu ninaowapenda kama watu wakweli, wewe ni mkweli na huu ndio ukweli wenyewe. Japo watakubeza humu, ila ukweli sikuzote unabakia kuwa ukweli na ndio utasimama mpaka mwisho!.
P
 
Hizo kura za Chadema muwekee magufuli. Maana ukweli ni kwamba Tundu Lissu anaenda kuzoa kura zaidi ya asilimia 65
65% kutoka Ubelgiji?.. Lowassa na ushawishi wote aliokuwa nao asibebe aje azoe huyu shabiki na kibaraka wa mabeberu. Watanzania hawawezi fanya upuuzi kuchagua shoga.
 
Usimfananishe mpakwa mafuta wa Mungu Tundu Antiphas Lissu na kibaraka wenu Lowassa
 
Bora tungetangaziwa moja tu kuwa tumerudi ktk mfumo wa chama kimoja then hzi pesa za kampeni na uchaguzi zingefanyiwa mambo mengine ya maendeleo kuliko huu mwenendo tunaouona 1day b4 uchaguzi
 
Back
Top Bottom