Mkishindwa mtakubali kupoteza ajira?.Kampeni zimeenda salama salimini sasa imebaki kupigakura tu kesho na keshokutwa sasa kwa nini uwe na wasiwasi kuwa kupigakura tu ndiyo usiwe huru na haki? Uchaguzi ni process kuanzia kampenj mpaka kupigakura na kutoa matokeo mpaka sasa hivi uchaguzi ni huru na haki.
Kijana wangu usiingize mambo ya imani na siasa maji taka wewe, ya kaisali yanabaki kwake na Mungu anapewa yake 😬!Ndiyo ulivyofundishwa kwenye dini yako hivyo?
Kulingana na kampeni zao nimeona Chadema wamekuwa na matumaini makubwa kupata kura nyingi katika uchaguzi huu mkuu. Ila kwa watu wenye upeo na wenye uwezo wa kuona mbali tunajua mgombea wao hatafikisha hata kura milioni 3 akipata sana 2.8 milioni ambapo hatafikia hata nusu ya kura alizopata Lowassa.
Chadema ningependa kuwashauri uchaguzi ujao mjifunze kutoka CCM kuandaa wagombea maana wagombea wenu ni yule anayeibuka tu hana maandalizi yeyote hajui kuwaambia Watanzania atawafanyia nini zaidi ya kutafuta sympathy za watu tu.
Hata kama angeshinda hakuna watu wa kutengeneza serikali kutoka Chadema hakuna watu wenye sifa hata za kuwa wakuu wa mikoa sembuse kuongoza wizara.
Jamani kuongoza nchi sio kitu cha kubahatisha nchi haiwezi kuongozwa na chama ambacho ofisi zake imepanga mtajengea nchi nini kama kujenga ofisi na ruzuku zote mnazopata mmeshindwa.
Wanachadema wote jiandaeni kisaikolojia kupokea matokeo mgombea wenu hatafikisha hata 20%.
Tuna siku moja tu ili ujione jinsi gani ulivyo mjinga
Malizia kicheko mwisho mwisho maana jumatano mida hii utakuwa na maumivu sanaNhiiiiiiíiiiiiiiiii😀
Kumbe huwa mnapata maumivu Sana CCM ikishinda??Malizia kicheko mwisho mwisho maana jumatano mida hii utakuwa na maumivu sana
Wakishinda kihalali hatuna shida naoKumbe huwa mnapata maumivu Sana CCM ikishinda??
Ndugu yangu ushauri wangu wa bure kwako kama mtanzania mwenzangu, ukiona matokeo yameanza kutangazwa tu, kimbia uwe karibu na marafiki au jamaa zako, usikae peke yako, stress ina matokeo mabaya. Ushauri huu utakusaidia mengi. Tunahitaji tuendelee kukuona hapa tena hata baada ya uchaguzi. Maisha yataendelea ndani ya utawala mwingine wa miaka mitano ya JPM. Tunakupenda kama mtanzania mwenzetu.Hizo kura za Chadema muwekee magufuli. Maana ukweli ni kwamba Tundu Lissu anaenda kuzoa kura zaidi ya asilimia 65
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vichwa vya Magazeti baada ya October 28
"CHADEMA YALIWA TUNDA KIMASIHARA"
Wewe na Nani Sasa..!Wakishinda kihalali hatuna shida nao
Kulingana na kampeni zao nimeona CHADEMA wamekuwa na matumaini makubwa kupata kura nyingi katika uchaguzi huu mkuu. Ila kwa watu wenye upeo na wenye uwezo wa kuona mbali tunajua mgombea wao hatafikisha hata kura milioni 3 akipata sana 2.8 milioni ambapo hatafikia hata nusu ya kura alizopata Lowassa.
Chadema ningependa kuwashauri uchaguzi ujao mjifunze kutoka CCM kuandaa wagombea maana wagombea wenu ni yule anayeibuka tu hana maandalizi yeyote hajui kuwaambia Watanzania atawafanyia nini zaidi ya kutafuta sympathy za watu tu.
Hata kama angeshinda hakuna watu wa kutengeneza serikali kutoka CHADEMA hakuna watu wenye sifa hata za kuwa wakuu wa mikoa sembuse kuongoza wizara.
Jamani kuongoza nchi sio kitu cha kubahatisha nchi haiwezi kuongozwa na chama ambacho ofisi zake imepanga mtajengea nchi nini kama kujenga ofisi na ruzuku zote mnazopata mmeshindwa.
Wanachadema wote jiandaeni kisaikolojia kupokea matokeo mgombea wenu hatafikisha hata 20%.
Mzee mbona jibu liko wazi mitaani au unakaa nje ya Tanzania? Watanzania wameamua kumpa kura za kishindo Dkt Magufuli. Survey zote zilizofanywa kisayansi zimethibitisha ushindi wa kati ya 86%-90% kwa JPM. Watanzania wamemkataa mwakilishi mkazi wa Mabeberu. Jumatano weka kura yako kwa JPM maisha yaendelee ukiwa na amani ya roho na upunguze stress wakati matokeo yanatangazwa au jiandae kisaikolojia
si kweli kwamba miongoni mwa watanzania M55+ eti M22 ni wanachama wa CCM si kweli hata kidogo...
Mwaka 2015 tulikuwa na wapiga kura waliojiandikisha 23 mil. Kwa nini isiwezekane baada ya miaka mitano kuwa na wapiga kura milioni 29? Kumbuka annual population growth ya Tanzania ni between 2.5-3%. Haya ni mahesabu rahisi tu ndugu yanguNa wala si kweli nusu ya wa tz wamejiandikisha kura
Hapo NEC wanatuchezea kamchezo kasicho na jina
Na hata CDM atakua na wabunge wa kutosha kwa wingi stahiki ili aweze kupata msukumo wake?Rais ambaye hana wingi stahiki wa wabunge atafanyeje kazi hasa pale ambapo unakuta anataka afanye mabadiliko makubwa?Kulingana na kampeni zao nimeona CHADEMA wamekuwa na matumaini makubwa kupata kura nyingi katika uchaguzi huu mkuu. Ila kwa watu wenye upeo na wenye uwezo wa kuona mbali tunajua mgombea wao hatafikisha hata kura milioni 3 akipata sana 2.8 milioni ambapo hatafikia hata nusu ya kura alizopata Lowassa.
CHADEMA ningependa kuwashauri uchaguzi ujao mjifunze kutoka CCM kuandaa wagombea maana wagombea wenu ni yule anayeibuka tu hana maandalizi yeyote hajui kuwaambia Watanzania atawafanyia nini zaidi ya kutafuta sympathy za watu tu.