Mtu anamtaja Mungu kila sehemu, hali hiyo inakufanya uonekane u mwema, mtiifu, mpenda amani na haki ila siyo kweli, maana ndani ya nafsi yako unajua shetani ana nguvu ndani yako kuliko Mungu.
Hiyo ndiyo hali halisi kwa viongozi wa ccm, they know hawashindi uchaguzi kwa haki bali nguvu na ubakaji wa haki ndiyo maana unaona jeshi linalotakiwa kuwa la mwisho endapo amani imechafuka leo linaingia mtaani wakati kuna amani.
Kuna kijana anaitwa herry James anasikika matamshi yake na huyo kijana siku ya ibada unamkutw hekaluni kakaa mbele kabisa anasoma Gombo, aya leo unasema chadema ijiandae kisaikolojia sawa sawa kabisa maana katiba inabaka haki na nguvu ya mwananchi aliyefanya maamuzi...
... usiku au mchana kwa siri unamuapisha mtu aliyeshindwa hapo hapo viongozi wa dini wanashiriki ubakwaji huo wa haki kwa kumuombea mwizi aongoze watu ambao hawakumpa ridhaa, nini unategemea?.
We've a lot to write ila nisimchoche msomaji kwa kumalizia hii, chadema wanashinda huu uchaguzi kama ilivyo Zanzibar tatizo ni hujuma za kuwaapisha watu wasiohusika.
note: DUNIANI HAKUNA HAKI.