CHADEMA jengo lenu la Makao Makuu litachukuliwa?!!

CHADEMA jengo lenu la Makao Makuu litachukuliwa?!!

Naona unaweka siri zenu hadharani... wangapi mmeshawa-silence hadi muda huu?
CCM ambacho ndio chama Dola Mara kwa Mara na kwa miaka Sasa mmetekeleza hilo jukumu. Nyingi CCM ni ADUI ya ukweli muda huu GWAJIMA anaonekana mbaya.

Ile siku Hoyece KOLIMBA alipo SEMA CCM imepoteza dira na mkamwita DODOMA akafariki kifo Cha utata kwenye mahojiano.

Unaujua Prof. KIGHOMA MALIMA unajua Nini kilimpata huyu mwanasiasa alipo enda kinyume na CCM ?

Kwa kumalizia,
Wapi mmewapeleka mdude, soka, kaswahili,Ben saanane, azoli gwanda, mashehe mbali mbali.
 
Chadema iko moyoni mwa watanzania
Ofisi sio kipaumbele chetu tutafunga mahema
 
wa

wamemchukua mdude na soka,Mzee Kibao....nk,,,, Nini kitatuuma zaidi ?''
Hakuna, ruzuku wamechukua,chama wamekofungia kufanya mikutano, sasa sijui wanataka nini tena
 
Ila mbowe hana tofauti na wana Ccm…makengeza yule….Achukue kila kilicho chake aende huko chauma.
 
CCM ambacho ndio chama Dola Mara kwa Mara na kwa miaka Sasa mmetekeleza hilo jukumu. Nyingi CCM ni ADUI ya ukweli muda huu GWAJIMA anaonekana mbaya.

Ile siku Hoyece KOLIMBA alipo SEMA CCM imepoteza dira na mkamwita DODOMA akafariki kifo Cha utata kwenye mahojiano.

Unaujua Prof. KIGHOMA MALIMA unajua Nini kilimpata huyu mwanasiasa alipo enda kinyume na CCM ?

Kwa kumalizia,
Wapi mmewapeleka mdude, soka, kaswahili,Ben saanane, azoli gwanda, mashehe mbali mbali.
Hujajibu swali. Dr fikiri kabla ya ku-comment
 
Sioni kama kuna tatizo hapo, CHADEMA iko kwenye mioyo ya watu sio lile jengo la Mikocheni. Ikianzishwa Harambee ya kuchangia jengo jingine kwingine hasa Dodoma makao makuu ya Tanganyika .... Niko tayari kuwachangia hata leo wakianzisha. 😳
 
semeji ana sauti nzuri sana aise :pedroP:
Mmeumizwa sana baada ya mtu wenu kukosa uenyekiti🐵🐵🐵 mmeumizwa zaidi baada yakuona No reform No Election inaungwa mkono na wananchi🐒🐒🐒mnaumia zaidi baada yakumuweka TAL kolokoloni halafu CDM bado mwendo mdundo jueni yakua nivigumu sana kushindana na mipango ya Mungu
Kasomeni maandiko hakuna aliyewahi kuwaza kama wana wa Israel wangeweza kulikimbia Jeshi la Farao wlaipokua utumwani Misri, Hakuna aliewaza kua Daniel angeweza kutoka salama kwenye Tundu la Simba,hakuna aliewaza kama Daudi angeweza kumchabanga Goliti kwa KO,Hakuna aliefikiria kama Yunusi angetapikwa kwenye Nyangumi mkali, Hakuna aliewaza kama Paulo na Sila wangeweza kutoka Gerezani, Hakuna aliewaza kua Yusufu angekuja angetoka katika kisima na kuja kua Waziri mkuu, tunaishi kwenye Dunia ambayo lolote linawezekana kwa Imani kwakua Mungu yupo. Ubabe na Ulaghai una mwisho
 
Attachments

  • 20250610_215208.jpg
    20250610_215208.jpg
    80.1 KB · Views: 10
Mahali tumefikia hata wakitaka kuchukua vyote wachukue lakini ole wao wathubutu kuifuta CHADEMA walahi kwa mara ya kwanza ndiyo watashuhudia Taifa likuwaka moto mchana wa saa nane na hawata amini .

Jengo kitu gani bhana , hata mchango wa buku bukutu tunauwezo wa kuyajenga matatu kama hayo.

Tunachokijua nikwamba Lissu amekaza wanainji ndiyo huwaambii kitu .

Kwanza wanatucheleweshea ,wakitaka kuchukua wachukue hata kesho , mzigo uendelee site .

No Reforms No Election
 
Chadema jiandaeni mapema wenzenu hawatanii tena, mali zenu zitakua seized na watapewa hao wengine. Ukweli huu mtauchukia lakini mtakutana nao

Mlisema yule mzee ana busara, ni kiongozi mara ni kamanda wa anga lakini kwa sasa hivi ameamua kuwaonyesha rangi halisi baada ya kumuondoa kwenye biashara yake ya siasa. Huyo mzee ni mhuni na tapeli wa siasa mkubwa sana mlichelewa kujua, mshukuruni Lissu.

Baada ya jengo la mikocheni jiandaeni na magari pia kuchukuliwa.
View attachment 3364286
Chama siyo jengo wala ukubwa au uzuri wa jengo
 
Shida sio eti muhuni, shida viongozi waliwekwa maguvu jalo, akili kisoda!
 
Mahali tumefikia hata wakitaka kuchukua vyote wachukue lakini ole wao wathubutu kuifuta CHADEMA walahi kwa mara ya kwanza ndiyo watashuhudia Taifa likuwaka moto mchana wa saa nane na hawata amini .

Jengo kitu gani bhana , hata mchango wa buku bukutu tunauwezo wa kuyajenga matatu kama hayo.

Tunachokijua nikwamba Lissu amekaza wanainji ndiyo huwaambii kitu .

Kwanza wanatucheleweshea ,wakitaka kuchukua wachukue hata kesho , mzigo uendelee site .

No Reforms No Election
Aaaaah, ha ha ha ha unavyoapa utadhani unijua hata vita zaidi ya kuangalia movie za Rambo, we jichanganye uone moto!
 
Back
Top Bottom