Fafanua jinsi alivyonyanganywa chama na hizo mali ni zake kivipiMbowe asikubali kunyang'anywa chama hadi mali zake alizopigana kuzipata...
Fafanua jinsi alivyonyanganywa chama na hizo mali ni zake kivipiMbowe asikubali kunyang'anywa chama hadi mali zake alizopigana kuzipata...
Muache kuua watu😁 Kuna njia tatu za kujibu swali , unazijua? Moja ni Swali kwa swali, mbili ni swali kwa maelezo na ya tatu swali kwa mkato.
Mimi nimetumia njia ya swali kwa swali.
Ivi kwa akili ndogo ya mtu asiye na ELIMU yeyote LAYMAN.Muache kuua watu
Kauli yako kuwa watu wanyamazishwe milele inakubana. Dr wa mchongo jifunze ku-comment bila mihemko.Ivi kwa akili ndogo ya mtu asiye na ELIMU yeyote LAYMAN.
Ivi una apparatus tools ZOTEEE una jeshi una resources ZOTEEE unashindwa kutambua uharifuuu kweli??
EMBU waleteni SCOTLAND YARD muone mnavyo haibikaa..
CCM ndio janga ukiondoa UJINGA, UMASKINI NA MARADHI.. Nyinyi ndio mmesababisha majanga yootee
Kama mnavyo wanyamazisha watanzania werevu ambao wamekua wakiwapa wasiwasi wa matumbo yenu na wanao watuma.. Still unatetea ujinga kichwani mwako umejaza kujipendekeza, ubwege,uzandiki,usakatonge na ujinga.Kauli yako kuwa watu wanyamazishwe milele inakubana. Dr wa mchongo jifunze ku-comment bila mihemko.
Amejenga Mbowe huyo mnyaturu jinga ataifanya chadomo maskini wa kutupwaChadema jiandaeni mapema wenzenu hawatanii tena, mali zenu zitakua seized na watapewa hao wengine. Ukweli huu mtauchukia lakini mtakutana nao
Mlisema yule mzee ana busara, ni kiongozi mara ni kamanda wa anga lakini kwa sasa hivi ameamua kuwaonyesha rangi halisi baada ya kumuondoa kwenye biashara yake ya siasa. Huyo mzee ni mhuni na tapeli wa siasa mkubwa sana mlichelewa kujua, mshukuruni Lissu.
Baada ya jengo la mikocheni jiandaeni na magari pia kuchukuliwa.
View attachment 3364286
Dr uliandikiwa na mtu comment yako ya kutaka watu wauwawe?Kama mnavyo wanyamazisha watanzania werevu ambao wamekua wakiwapa wasiwasi wa matumbo yenu na wanao watuma.. Still unatetea ujinga kichwani mwako umejaza kujipendekeza, ubwege,uzandiki,usakatonge na ujinga.
Ukisema Mimi doctor wa mchongo MANENO YAKO SIO TRAFFIC LIGHT 🚦 HIVYO HAYANISIMAMISHI KWENYE JAM.
Itapendeza Sana Sanaa.Dr uliandikiwa na mtu comment yako ya kutaka watu wauwawe?
Sii ajabu,kwani wanaohujumu hiki chama cha kizalendo wana wivu,mwingi na hasira juu ya hiki chama cha kizalendo na mkombozi tarajiwa dhidi ya makucha ya mkoloni mweusi wa ccm.Chadema jiandaeni mapema wenzenu hawatanii tena, mali zenu zitakua seized na watapewa hao wengine. Ukweli huu mtauchukia lakini mtakutana nao
Mlisema yule mzee ana busara, ni kiongozi mara ni kamanda wa anga lakini kwa sasa hivi ameamua kuwaonyesha rangi halisi baada ya kumuondoa kwenye biashara yake ya siasa. Huyo mzee ni mhuni na tapeli wa siasa mkubwa sana mlichelewa kujua, mshukuruni Lissu.
Baada ya jengo la mikocheni jiandaeni na magari pia kuchukuliwa.
View attachment 3364286
Hilo kibwengo ni dokta wa mitishambaDr uliandikiwa na mtu comment yako ya kutaka watu wauwawe?
Mwizi wa pesa za walipa kodi na mwizi wa pesa zote za chadema hata uongozi mpya wamekuta Account haina kituFreeman Mbowe ni nyoka wa kijani.
Muungano ufe Tanganyika idai uhuru wakeSii ajabu,kwani wanaohujumu hiki chama cha kizalendo wana wivu,mwingi na hasira juu ya hiki chama cha kizalendo na mkombozi tarajiwa dhidi ya makucha ya mkoloni mweusi wa ccm.