CHADEMA jengo lenu la Makao Makuu litachukuliwa?!!

Chadema jiandaeni mapema wenzenu hawatanii tena, mali zenu zitakua seized na watapewa hao wengine. Ukweli huu mtauchukia lakini mtakutana nao

Mlisema yule mzee ana busara, ni kiongozi mara ni kamanda wa anga lakini kwa sasa hivi ameamua kuwaonyesha rangi halisi baada ya kumuondoa kwenye biashara yake ya siasa. Huyo mzee ni mhuni na tapeli wa siasa mkubwa sana mlichelewa kujua, mshukuruni Lissu.

Baada ya jengo la mikocheni jiandaeni na magari pia kuchukuliwa.
View attachment 3364286
Watu wanatoa mpaka uhai wa wa wati, wala sishangai wakichukua jengo.
 
480186399_1162528111895786_6771919052202451308_n.jpg

Tetesi zimetanda katika mitandao ya jamii hususani X, kuhusu kesi ya madai namba 8323 ya mwaka 225 iliyofunguliwa na Saidi Issa Mohamed na wenzake wawili, ambapo sasa inadaiwa kuwa mkakati ni kuhakikisha kuwa mali za CHADEMA likiwamo jengo la ofisi za makao makuu lililopo Mikocheni, vitauzwa ili kugawa mali hizo.

Katika kesi hiyo ambayo Mohamed na wenzake wanalalamikia upande wa Zanzibar kupunjwa mgawanyo wa mali, tayari mambo yameshaanza kuwaendea vibaya CHADEMA, baada ya Juni 10, Jaji anayesikiliza kesi hiyo, Hamidu Mwanga kutupilia mbali mapingamizi ya chama hicho na kukubali maombi ya walalamikaji likiwamo la chama kusimamisha kazi zake zote za utendaji hadi kesi hiyo itakapoanza kusikilizwa Juni 24, 2025.
 
Kama Lisu lkn uyo Bint ni nani mbona ukumbatiaji umekaa kimahaba haba. Au ndio Uzungu mm ndio sielewi!!!!
 
Chadema jiandaeni mapema wenzenu hawatanii tena, mali zenu zitakua seized na watapewa hao wengine. Ukweli huu mtauchukia lakini mtakutana nao

Mlisema yule mzee ana busara, ni kiongozi mara ni kamanda wa anga lakini kwa sasa hivi ameamua kuwaonyesha rangi halisi baada ya kumuondoa kwenye biashara yake ya siasa. Huyo mzee ni mhuni na tapeli wa siasa mkubwa sana mlichelewa kujua, mshukuruni Lissu.

Baada ya jengo la mikocheni jiandaeni na magari pia kuchukuliwa.
View attachment 3364286
Haya machadema wayakabie kwa juu huku huku
 
Ona nyumbu hii imechanganyikiwa baada ya kupigwa tone tone.
 
Hata wakichukua bado hawataweza kuchukua imani zetu, lakini haya yana baraka kutoka machame, uongozi mpya hata miezi 6 hawajamaliza yule anadai mali za chama amekuwa chamani miaka zaidi ya kumi hajawahi dai kwa lissu anadai

NB: Mchaga akuachie ghorafa mikocheni wakati ukiwa na jirani wa kichaga ardhi kidogo tu mtapalekana mahakamani
 
Chadema jiandaeni mapema wenzenu hawatanii tena, mali zenu zitakua seized na watapewa hao wengine. Ukweli huu mtauchukia lakini mtakutana nao

Mlisema yule mzee ana busara, ni kiongozi mara ni kamanda wa anga lakini kwa sasa hivi ameamua kuwaonyesha rangi halisi baada ya kumuondoa kwenye biashara yake ya siasa. Huyo mzee ni mhuni na tapeli wa siasa mkubwa sana mlichelewa kujua, mshukuruni Lissu.

Baada ya jengo la mikocheni jiandaeni na magari pia kuchukuliwa.
View attachment 3364286
Issue nyepesi Wana mabadiliko wamtafute said issa Mohamed na wenzake wawili wawa toe ndagu/ kafara ama wawasomee albadili /wawatumie jini kipande.

Ama watumie mkono mrefu wa chama kuhakikisha Wana be selenced forever ""ELEWA NENO TO BE SILENCED FOREVER """

In short Wana mabadiliko/ mageuzi tunalaani na kukemea kwa uzito mkubwa Sanaa UCHUNGU HASIRA na MAUMIVU MAKUBWA KITENDO CHA KUZUIA SHUGHULI ZA CHAMA CHA CHADEMA..
 
Naona unaweka siri zenu hadharani... wangapi mmeshawa-silence hadi muda huu?
 
kumbuka cdm ilishavuka hatua ya kuona kama majengo ndio chama. hakuna silaha kubwa kuliko moyo.

miaka kadhaa iliyopita cdm hiyo hiyo ikiwa on fire, ilipata upinzani mkubwa kutoka kwa vijinopembe wakidai chama.kubwa lakini halina ofisi.

Hata hivyo ni bora umewatahadhalisha.
 
Back
Top Bottom