ungonella wa ukweli
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 4,210
- 555
Matatizo ndo hukikomaza chama. Naomba viongozi wetu wa cdm na wapenzi wa cdm na wapenda mabadiliko kiujumla watambue kuwa ukombozi wa taifa letu sio jambo dogo.ccm watatumia kila njia kuhakikisha wanabaki madarakani iwe halali au haramu. Cha msingi mshikamano daima ndo silaha yetu.