CHADEMA itakufa kwa sababu hizi, sio propaganda

Hii thread ni pasua kichwa sijawahi kukutana na uzi kama huu ambao hauna mwelekeo.
 
Chadema hamna jeuri ya kuingia msituni. Mtachanwachanwa hadi mfeeee

Sweety.....!

Naweza kukubaliana nanyi kwamba ninyi mna jeuri ya msituni mnayoipata kwenye ujangili.Mbinu za yule kiongozi mpya wa Meno ya Tembo.Mwindaji haramu ha ha ha(i'm kidding but.....)

On a serious Note:
-Ni interest ya CCM kuona CHADEMA kinakufa.Watasubiri sana.

-Ndiyo maana yule aliyeongoza NEC aliwasoma haraka akapiga 'Nipeni kura niimalize CHADEMA',kwa hofu ya wajumbe zaidi ya 2000 wakammiminia kura.Vituko
 
Chadema hamna jeuri ya kuingia msituni. Mtachanwachanwa hadi mfeeee

Sweety.....!

Naweza kukubaliana nanyi kwamba mna uzoefu wa msituni mnaoupata kwenye ujangili.Mbinu za yule kiongozi mpya wa Meno ya Tembo ha ha ha(i'm kidding but.....)

On a serious Note:
-Ni interest ya CCM kuona CHADEMA kinakufa.Watasubiri sana.

-Ndiyo maana yule aliyeongoza NEC aliwasoma haraka akapiga 'Nipeni kura niimalize CHADEMA',kwa hofu ya wajumbe zaidi ya 2000 wakammiminia kura.Vituko
 
tatizo kubwa CDM ilipata nguvu kutokana na wanachama WAASI wa CCM.Walitumia CHADEMA kupambana na chama chao.Sasa hivi mapambano yanafifia kwani wanajiandaa kwa uchaguzi 2015.Hivyo CDM ilikuwa CCM B. Ndio maana CDM imesinyaa kwa kasi ya ajabu kwani majeshi ya kukodiwa yanarudi nyuma taratibu.
 
Sikubaliani na wewe , cdm imekubaliana na ccm ? Au kuna mwana cdm amekubaliana na ccm au kuna mwana ccm amekubaliana na cdm ? Huna ushahidi , shortly ni kwamba hakuna cha rais ( mdundiko ) a.k.a mswahili wala mzungu , tunachotaka ni kuing'oa ccm yote na mabawa yake basi ! Hatujawahi wala hatutarajii kufanya makubaliano nao .
 
tatizo kubwa CDM ilipata nguvu kutokana na wanachama WAASI wa CCM.Walitumia CHADEMA kupambana na chama chao.Sasa hivi mapambano yanafifia kwani wanajiandaa kwa uchaguzi 2015.Hivyo CDM ilikuwa CCM B. Ndio maana CDM imesinyaa kwa kasi ya ajabu kwani majeshi ya kukodiwa yanarudi nyuma taratibu.

Prove!!
 
Ndugu zangu msiumize vichwa vyenu bure mkakipa faida kile chama kinachotawala kwa mabavu. lakini kifahamu kuwa wananchiwatakaposema basi Patachimbika!!!
 
Sikubaliani
na wewe ,
cdm imekubaliana na ccm ? Au kuna mwana cdm amekubaliana na ccm au kuna
mwana ccm amekubaliana na cdm ? Huna ushahidi , shortly ni kwamba
hakuna cha rais ( mdundiko ) a.k.a mswahili wala mzungu , tunachotaka ni
kuing'oa ccm yote na mabawa yake basi ! Hatujawahi wala hatutarajii
kufanya makubaliano nao .

wewe unaweza kuwa na agenda hiyo lakini viongozi wa CDM wana dhamira
hiyo? ndio maana watakaojitokeza kupiga kura 2015 watakuwa wachache, baada ya wapinzani wa kweli kuvunjwa moyo na viongozi wao
 
Back
Top Bottom