CHADEMA itakufa kwa sababu hizi, sio propaganda

Hizi propaganda za sasa za CCM haziwezi kuiuwa CHADEMA. wacha CCM walalamike wenzao wamefunja makubaliano.
BACKGROUND
kiukweli ccm na CHADEMA wanajuwana sana acha leo waanze kuumbuwana kwa lile sakata la kadi ambazo hazijarudishwa.Mwanzoni mwa miaka ya 1990 na harakati za vyama vingi kuanza mwl nyerere alikuwa anatafuta mbadala wa chama cha upinzani kukiandaa ambacho yeye binafsi angekuwa na imani na viongozi wake pale suala la mabadilko litakapokuja alifanya jitihada nyingi bila mafanikio mpaka alipopata kiongozi mwandamizi na ambaye mwl hakusita kutowa utabiri wake kwamba CHADEMA ndicho chama kitakachokuja kuwa mbadala wa CCM wana Jf mujuwe hili halikuwa bure ni maandalizi yalifanywa kwamba kiwe chama cha kuendeleza itikadi za Mwl zikiwemo za utaifa na nyengine ambazo ni siri yake.
KUZUKA KWA CHADEMA 2005-2010
Tayari hali ya mivutano ndani ya CCm ilishakuwa mbaya na hakuna kiongozi yeyote ndani ya ccm aliyeweza kukemea mambo ambayo mwl aliyapiga vita sana likiwemo suala la rushwa na ufisadi na kujilimbikizia mali.Licha ya kuwa Chadema kilishaaasisiwa zamani kilipata nguvu ya ajabu kipindi hiki ili kuja kulinda mambo ya kitaifa aliyoyapigania mwl. Viongozi ambao hawakuwa na historia ya kupigania harakati za kuanzishwa vyama vingi na wenye mielekeo ya kipinzani hafla wakaibuka na kupambwa na vyombo vya habari utazani hawakuwa wapinzani kwa sababu tulizoweya mpinzani wa kweli hana nafasi kwa vyombo vya habari vya Tz.Mpango hapa ilikuwa ni kuja kuwaumbuwa wote wale ambao wamevunja mmiiko ya mwl na kulitia hasara taifa hili changa. Ni Viongozi wa Chadema waliovujishiwa siri nyingi sana za mafisadi kwa kupewa majina na kuwataja hadharani . hii ilikuwa ni kazi ya makubaliano CCM hawaisemi ila iko siku watasema

Lengine lililoongeza kasi ya Chadema ni kuwepo raisi mswahili na ile dhahma ya kundi la mkapa lililopigwa tenge na kuibuka kundi la mtandao.
Taarifa za kichunguzi zinaonesha kwamba raisi mswahili alianza kukera maslahi ya kundi fulani ambalo kwao wao kila kitu katika serikali lazima wawe na ushawishi wao. Kundi hili lilitumia fursa ya Chadema kumyumbisha raisi huyu kwa kuibuliwa hoja ambazo haijawahi kutokea kupewa wapinzani lengo ikiwa ni kumyumbisha.Licha ya ukweli kwamba mtandao wa ushindi wa raisi mswahili ulitofautiana baadae lakini walitumia kila fursa ya kuwepo chadema kumyumbisha.

ANGALIA HAYA

1.Ile memorundum yao 2000-2005 pale Le traven hotel iliyowakutanisha Mh mbowe na Kikwete wakati wa kampeni, CCM hamjaisema mnasema mambo ya kadi vipi?

2. Ile agenda ya Tume ya kukusanya maoni ya mabadiliko ya katiba na masharti yaliyowekwa CCM mmeyasahau Kuna Nini ?

3. Ile move ya maandamano na ahadi ya kumyumbisha raisi mswahili lile kundi la ccm lililoasisi dhidi ya wengine limefika wapi

4. Kule bungeni vipi hoja nzito kupewa chadema kwa ccm kuogopana ilikufichiana aibu na visasi memorendum leo imekufa?

CCM hamtaweza ila yafuatayo iwe yamefanyika .
1. kwamba mmebaini kazi ya chadema imekwisha sasa na mnaanza kuwarejesha pale walipokuwa na kwamba hatua zote za kufanya hivyo zimeshapatiwa baraka kwa makubaliano ya pande mbili kama ilivyokuwa awali.
2.Kwamba mmebaini wenzenu wamevuka mipaka ya makubaliano na sasa wamepitiliza na kuathiri maslahi yenu binafsi.

ikiwa hayo tayari sawa CHADEMA itakufa na hawa wafuasi watakuja kushangaa imekuwaje maana njia waliyoingilia ndio watakotokea huwezi ukawa na sura mbili tofauti kwa kuzificha iko siku utaumbuka tutegemee siri nyingi zaidi zitaibuka.
Jamani nimeamua kujiregister kwa ajili ya mtu huyu kama huna kazi za kufanya nenda makao makuu ya ccm utapewa hata kufangia ofisi ya Nape
 
Yani mnataka kutumia mbinu iliyoisambaratisha NCCR-Mageuzi CHADEMA! It cant work, CHADEMA ina back up kubwa ya watu wenye uelewa mbinu zenu zote haziwezi kufanikiwa! Bora mtuuwe kwa risasi kuliko kwa propaganda rahisi kama hizi! Mabadiliko ya nchi hii ni matakwa ya Mungu mwenyewe siyo CHADEMA, sisi ni mawakala tu mkipambana na CHADEMA mnapambana na Mungu mwenyewe! Guess who will win!
 
CHADEMA kushnei. Kumbuka NCCR. CHADEMA ni matumbo yao tu kila mmoja keshachoka. Alama ya V ni alama ya manati. Manati siku hizi hata ndege shorwe bwenzi huwezi mpiga. CCM ni Tembo. Ngoja 2015 tuone CHADEMA inavyopigwa vibaya. CCM Saaaafiiiiii

Wewe kweli kishada umekosa upepo, naona umejifungia ndani ukaandika hii simulizi...ungeandika kiingereza kumbe na wewe mswahili.
 
attachment.php
 
Hizi propaganda za sasa za CCM haziwezi kuiuwa CHADEMA. wacha CCM walalamike wenzao wamefunja makubaliano.
BACKGROUND
kiukweli ccm na CHADEMA wanajuwana sana acha leo waanze kuumbuwana kwa lile sakata la kadi ambazo hazijarudishwa.Mwanzoni mwa miaka ya 1990 na harakati za vyama vingi kuanza mwl nyerere alikuwa anatafuta mbadala wa chama cha upinzani kukiandaa ambacho yeye binafsi angekuwa na imani na viongozi wake pale suala la mabadilko litakapokuja alifanya jitihada nyingi bila mafanikio mpaka alipopata kiongozi mwandamizi na ambaye mwl hakusita kutowa utabiri wake kwamba CHADEMA ndicho chama kitakachokuja kuwa mbadala wa CCM wana Jf mujuwe hili halikuwa bure ni maandalizi yalifanywa kwamba kiwe chama cha kuendeleza itikadi za Mwl zikiwemo za utaifa na nyengine ambazo ni siri yake.
KUZUKA KWA CHADEMA 2005-2010
Tayari hali ya mivutano ndani ya CCm ilishakuwa mbaya na hakuna kiongozi yeyote ndani ya ccm aliyeweza kukemea mambo ambayo mwl aliyapiga vita sana likiwemo suala la rushwa na ufisadi na kujilimbikizia mali.Licha ya kuwa Chadema kilishaaasisiwa zamani kilipata nguvu ya ajabu kipindi hiki ili kuja kulinda mambo ya kitaifa aliyoyapigania mwl. Viongozi ambao hawakuwa na historia ya kupigania harakati za kuanzishwa vyama vingi na wenye mielekeo ya kipinzani hafla wakaibuka na kupambwa na vyombo vya habari utazani hawakuwa wapinzani kwa sababu tulizoweya mpinzani wa kweli hana nafasi kwa vyombo vya habari vya Tz.Mpango hapa ilikuwa ni kuja kuwaumbuwa wote wale ambao wamevunja mmiiko ya mwl na kulitia hasara taifa hili changa. Ni Viongozi wa Chadema waliovujishiwa siri nyingi sana za mafisadi kwa kupewa majina na kuwataja hadharani . hii ilikuwa ni kazi ya makubaliano CCM hawaisemi ila iko siku watasema

Lengine lililoongeza kasi ya Chadema ni kuwepo raisi mswahili na ile dhahma ya kundi la mkapa lililopigwa tenge na kuibuka kundi la mtandao.
Taarifa za kichunguzi zinaonesha kwamba raisi mswahili alianza kukera maslahi ya kundi fulani ambalo kwao wao kila kitu katika serikali lazima wawe na ushawishi wao. Kundi hili lilitumia fursa ya Chadema kumyumbisha raisi huyu kwa kuibuliwa hoja ambazo haijawahi kutokea kupewa wapinzani lengo ikiwa ni kumyumbisha.Licha ya ukweli kwamba mtandao wa ushindi wa raisi mswahili ulitofautiana baadae lakini walitumia kila fursa ya kuwepo chadema kumyumbisha.

ANGALIA HAYA

1.Ile memorundum yao 2000-2005 pale Le traven hotel iliyowakutanisha Mh mbowe na Kikwete wakati wa kampeni, CCM hamjaisema mnasema mambo ya kadi vipi?

2. Ile agenda ya Tume ya kukusanya maoni ya mabadiliko ya katiba na masharti yaliyowekwa CCM mmeyasahau Kuna Nini ?

3. Ile move ya maandamano na ahadi ya kumyumbisha raisi mswahili lile kundi la ccm lililoasisi dhidi ya wengine limefika wapi

4. Kule bungeni vipi hoja nzito kupewa chadema kwa ccm kuogopana ilikufichiana aibu na visasi memorendum leo imekufa?

CCM hamtaweza ila yafuatayo iwe yamefanyika .
1. kwamba mmebaini kazi ya chadema imekwisha sasa na mnaanza kuwarejesha pale walipokuwa na kwamba hatua zote za kufanya hivyo zimeshapatiwa baraka kwa makubaliano ya pande mbili kama ilivyokuwa awali.
2.Kwamba mmebaini wenzenu wamevuka mipaka ya makubaliano na sasa wamepitiliza na kuathiri maslahi yenu binafsi.

ikiwa hayo tayari sawa CHADEMA itakufa na hawa wafuasi watakuja kushangaa imekuwaje maana njia waliyoingilia ndio watakotokea huwezi ukawa na sura mbili tofauti kwa kuzificha iko siku utaumbuka tutegemee siri nyingi zaidi zitaibuka.

wazenj na shida ya kujieleza na kuchanganya mambo.
 
Be carefully of what you wish for.Usiombe CHADEMA ife,Kombati hazitavuliwa.

-Ni jambo la ajabu kuibuka na groundless insuniation kama hii.Kwa hiyo hoja za CHADEMA tunapewa na CCM?Tutake Radhi

Hata kama ni kiongozi CDM, wewe bado ni kidagaa tu, huwezi kuju siri zilizojificha ndani yake.
 
Ndugu zangu makamanda na wapenda mabadiliko ninawaomba sana kuwa makini kupokea habari mbali mbali zinazozushwa na Vyombo vya Habari hususan Magazeti kama vile Jambo Leo, Tazama, Jamuhuri Uhuru na Mengine kama hayo.

Magamba wakiongozwa na Nape wako kazini kumdhoofisha kwanza Dr. Slaa na Chadema kwa ujumla ndo maana tunashuhudia hujuma zinazooendelea jijini Mwanza Kuhusiana na Madiwani wa Chadema, mauaji yanayofanywa na polisi ktk baadhi ya mikutano yetu hujuma mbalimbali

Vilevile nawasikitikia sana vijana walioko CHADEMA kwa kupewa fedha na Magamba na kuanza kukihujumu Chama natoa Rai kwa aliyejihita Katibu BAVICHA MWANZA kwa kumtaka Dr. Slaa ajiuzulu.

Kuwa amepotea njia na arudishe fedha alizopewa na Magamba zitamtoka puani inambidi afikiriee sana kabla ya kubwabwaja kwenye TV. Nawasilisha
 
hUYO ALIKUWA KAZINI NA SISI WANANCHI TUMESHALIJUA HILO HIZO HELA ZITAMTOKEA PUANI SISI TUENDELEE KUKIJENGA CHAMA HADI MAGAMBA YATOKE JASHO ACHA POLISI CCM WATUUWE WOTE ILA TUNAPIGANIA HAKI ZETU
 
Ndugu zangu makamanda na wapenda mabadiliko ninawaomba sana kuwa makini kupokea habari mbali mbali zinazozushwa na Vyombo vya Habari hususan Magazeti kama vile Jambo Leo, Tazama, Jamuhuri Uhuru na Mengine kama hayo.Magamba wakiongozwa na Nape wako kazini kumdhoofisha kwanza Dr. Slaa na Chadema kwa ujumla ndo maana tunashuhudia hujuma zinazooendelea jijini Mwanza Kuhusiana na Madiwani wa Chadema,mauaji yanayofanywa na polisi ktk baadhi ya mikutano yetu hujuma mbalimbali
Vilevile nawasikitikia sana vijana walioko CHADEMA kwa kupewa fedha na Magamba na kuanza kukihujumu Chama natoa Rai kwa aliyejihita Katibu BAVICHA MWANZA kwa kumtaka Dr. Slaa ajiuzulu. kuwa amepotea njia na arudishe fedha alizopewa na Magamba zitamtoka puani inambidi afikiriee sana kabla ya kubwabwaja kwenye TV. Nawasilisha

tunawajua ni nguvu ya soda hawatadumu. cha msingi kama ulivyosema tuwe makini, tujitahidi kuwajibu katika mitandao na kwa wale wenye kadi za vyama wanaojulikana wasiogope kuwajibu kupitia vyombo vya habari. jamaa wamenunua vyombo vya habari kama nyakati zile kikwete alipoanza kugombea 2005, kwani mmesahau, alivuma kidogo, akapotea jumla. kifo cha nyinyiemu ndio huu. wamuulize Gadaffi nasikia aliwaita wapinzani wa serikali yake panya, akatumia vyombo vya habari lkn si wanajua mwisho wake ulikuwaje. jamii ikibadilika haitaki chama inachotaka ni kuona sura mpya ikulu ili wawapime utendaji wao
 
Kosa kubwa walilolifanya na wanaloendelea kulifanya CDM ni kutomtimulia mbali organiser wa usaliti ndani ya chama...,badala yake wakampa na mwanya wa kwenda kufungua matawi nje ya nchi hapo ndio waliloga kbs akacheza mchezo wa kupanga watu wake ahahahahah kazi CDM mnayo inabidi mtafute mtaalamu wana wa ku neutralize mambo shv.
 
tunawajua ni nguvu ya soda hawatadumu. cha msingi kama ulivyosema tuwe makini, tujitahidi kuwajibu katika mitandao na kwa wale wenye kadi za vyama wanaojulikana wasiogope kuwajibu kupitia vyombo vya habari. jamaa wamenunua vyombo vya habari kama nyakati zile kikwete alipoanza kugombea 2005, kwani mmesahau, alivuma kidogo, akapotea jumla. kifo cha nyinyiemu ndio huu. wamuulize Gadaffi nasikia aliwaita wapinzani wa serikali yake panya, akatumia vyombo vya habari lkn si wanajua mwisho wake ulikuwaje. jamii ikibadilika haitaki chama inachotaka ni kuona sura mpya ikulu ili wawapime utendaji wao
kuhusu vyombo vya habari kununuliwa hilo halina ubishi, ndo maana tunashauri viongozi wa chadema waanzishe media zao kama tv,redio na gazeti hii itasaidia kuweka mambo sawa na kuondoa hizo propaganda kwa wananchi.
 
Back
Top Bottom