CHADEMA isitafute mchawi, ni Mbowe

mtaishia kuoana tu kama shaka s.shaka alivyoolewa na salehe mpelembwe huko tanga hakuna lolote hapo.kama chadema imekufa mbona mnaua wanafunzi lwa risasi.za moto mkozuia maandamano? kama imekufa mbona viongozi karibu wote wapo mahakamani kwa kesi za kipuuzi. iv ni nani anaiua chadema kati ya yule anayewanunua viongozi na wanachama wake na yule anayetafutwa ili auwawe.
jinga lao una upeo mdogo sana kichwani nadhani ni kule kuiba mitihani
 
povu haliondoi ukweli wa kifo cha chadema!
Elewa hoja ya mleta thread ambaye ni mwenzenu.
 
Ccm kila wakilala wakiamka ni mbowe.Kama anaiuwa chadema si mfurahi sasa?mbona mnalalama tena?
 
Siamini na simtki kuamini kabisa kwamba chama kilichoasisi mapinduzi Tanzania kama kinavyojinasibu leo hii kinaambulia kununua watanzania maskini kabisa ; hata kwenye vitabu vya dini hii ni dhambi isiyo na msamaha - kununua haki; yaani chama kinanunua haki kweli kweli
 

CAG ameshawahi kuipa CHADEMA hati safi?

Kwanini kwa miaka zaidi 20 tangu iundwe hawajawahi kupata hati safi wakikaguliwa hesabu zao?
 
Unajua hata tuichukie CCM kwa kiwango gani lakini kwa upinzani huu chini ya Mbowe mtabaki na maumivu tu. CCM imezoea kuua sisimizi kwa nyundo ndio maana hata wakati huu CDM ikiwa dhaifu na ungwaji mkono mdogo kuliko wakati wowote lakini bado CCM wanatumia hila hadi aibu!

Watu wanajitenga na siasa ....vijana wenye jasho lao CDM kama Mnyika ni kama wanaomba ifike 2020 waangalie mambo mengine ....gia za angani za Mbowe zilivuruga watu wengi na ameshindwa kujirekebisha ili walau abaki na heshima yake kutokana na mchango wake.

Chama hakina uelekeo kwasasa zaidi ya kupandia madhaifu yanaibuka awamu hii kuliko mikakati ya kueleweka! Bila matukio huwezi kuisikia CDM! Imagine nyimbo ya Roma kufungiwa Bavicha wanaibuka!!! Wengine wanaridhika na kelele za baadhi ya jumuiya dhidi ya serikali wakifikiri chama ndio kinapigwa jeki!!

Jumuiya zipo na zitapiga kelele kila inapobidi na zipo hadi nchi zilizoendelea lakini hapa kwetu wapinzani wakisikia kelele zao wanafikiri ni wenzao ....wanawasemea ....hawana mikakati ya kueleweka ....
 
Huku JF kuna watu wanadukua a/c za watu?
Hivi ni kweli hili bandiko amelitoa mtoa mada? sitaki kuamini. Mleta mada ni CDM blood blood. Mods angalieni isije ikawa akaunti yake imehakiwa
 
Label some one with an ugly image so that there is 'justification' for elimination
 
Rutta Chadema inamjua sana mchawi wake. Ni kile Chama kinachoogopa mikutano, maandamano n.k
 
Anayeiua Chadema ni Mbowe, au ni wale wanaonunua madiwani?.
 
Swali ni moja vyama vipo porini, jungle war hakuna sheria za kuzisimamia. Ama inabid uchutame.
 
Hizo pesa za walipakodi nani ana jukumu la kuzikagua? Tumuamini na kwa mengine iwapo hili kalinyamazia mnalalamika kwenye keyboard?, au mnawafanya watu hamnazo?
Kila unapotaka kuligusia hili la fedha na ruzuku ndani ya Chadema lazima parazuka drama ya kulipotezea
 
Wanajukwaa mtakumbuka tangu Mbowe alipobadili gia angani Julai 2015 CHADEMA kumeingia ganzi kwa kushindwa kujigamba mbele za watu tena kwamba ni chama kinachopiga vita ufisadi na ni chama cha wanyonge.

Sasa CHADEMA kimebaki kusubiri kudandia hoja badala ya kufanya siasa kisayansi kama alivyowahi kuwaasa balozi Wilbrod Slaa hapo nyuma.

Je kubadili gia angani kulikuwa ni asset au liability kwa CHADEMA?

Vijana wa Ufipa leteni majibu tafadhali, mchezo huu hauhitaji hasira jamani.

Chilonwa.
 
Mavi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…