Tairi bovu
JF-Expert Member
- Sep 28, 2017
- 3,063
- 2,986
mtaishia kuoana tu kama shaka s.shaka alivyoolewa na salehe mpelembwe huko tanga hakuna lolote hapo.kama chadema imekufa mbona mnaua wanafunzi lwa risasi.za moto mkozuia maandamano? kama imekufa mbona viongozi karibu wote wapo mahakamani kwa kesi za kipuuzi. iv ni nani anaiua chadema kati ya yule anayewanunua viongozi na wanachama wake na yule anayetafutwa ili auwawe.Mkuu @Rutasubanyuma hili ni andiko zito sana kutoka kwa mshabiki au mwanachama wa Chadema ndani na pengine nje ya JF.
Nafahamu ulivyokuwa mtetezi mkuu wa Chadema hapa jamvini na of course kwenye field huko kwenye chimbuko la harakati kali za Siasa za upinzani kupitia Chadema.
Nakumbuka tuliwahi kuingia kwenye mikwaruzano mikali ya hoja katika threads na posts mbalimbali hapa jamvini.
Nilikuwa nashangaa sana kukuona ukiitetea Chadema iliyobadili gia angani na nikawaza hivi huyu great thinker na wengine unaofanania nao wanahitaji nini haswa kwa Taifa hili?
Yaani kuna kipindi mlikuwa mnaupinga ufisadi na magumashi ya CCM katika hali zote sasa ikawaje mkabadilika na kumuunga mkono mwanaccm aliyeichafua CCM?ikawaje mkambadilikia Slaa na kumuona ni wa hovyo kabisa?
Jibu langu likawa mtakuwa na maslahi muhimu ndani ya Chadema na hamtaki yavurugwe hata kama gharama yake ni kuusaliti ule umma uliokuwa unapinga ufisadi.
Leo hii ninapoona hii post ninashangazwa sana na kutoamini...au account yako imekuwa hacked?
Au kwa mara ya kwanza umeweza kupata fursa ya kumjua mbowe na inner cycle ya Chadema?
Kwa ufupi nakubaliana na wewe kuwa Ni heri ya ZIMWI LIKUJUALO...yaani CCM na changamoto zake ni bora sana mara 10000 kuliko Chadema iliyokaa kimaslahi zaidi.
The good thing about CCM wana machinery za kuwawajibisha mafisadi ,wezi na wahuni waliomo chamani na hivyo kuwa na uwezo wa kudhibiti Chama kuwa mateka wa watu wabaya.
Again...IAM PERPLEXED!!
Cc: BAK Crashwise Pascal Mayalla @TumainMakene wilbrod slaa Tundu Lissu
Yericko Nyerere Mchambuzi @mzeemwanakijiji
jinga lao una upeo mdogo sana kichwani nadhani ni kule kuiba mitihani