Hili suala la CHADEMA kuwa na vyombo vyake vya habari sijui linakwamishwa na nini? Hivi kweli inashindikana kuwa na radio kila mkoa? How much does it cost to run it? Najua TV linaweza kuwa ni suala kubwa mno, lakini Radio? Au kuongeza gazeti lingine zaidi ya hili la mwenyekiti wa chama? Wenzetu CCM wana Uhuru na Mzelendo na wana magazeti dada ya Jambo leo na Habari leo ambayo yote kwa pamoja yanafanya kazi ya kuiuza CCM? Sasa sisi tuna Tanzania daima pekee, tunashindwa nini kupata gazeti lingine la ziada? Ikiwezekana, la aina kama ya Kiu au Mwanasport ambalo tutaliuza kwa bei chee, ili limfikie kila mtu.ni hoja nzuri kiongozi pokea bravo kwa kuakisi maendeleo ya cdm kwa mapana zaidi ya ushabiki.umekumbusha jambo la msingi hasa unaposema cdm inatakiwa kuwa na mikakati ya kutosha ili kukieneza chama kwa wananchi hata ikibidi kuwa vyombo vyake vya habari.
Hii ni sawa na kusema chadema imeshakufa kwa sababu swala la kushinda Urais 2015 HALIPO...
......... Hili ndilo tatizo la kusoma kichwa cha habari peke yake tu na kujibu hoja bila ya kusoma vilivyopo ndani....... Ni wakati muafaka wa kubadilika......... KazitunayoUtakufa uiache chadema
Mkuu wewe ni mmoja wa wana CHADEMA vichwa moto lakini vitupu.Hili suala la CHADEMA kuwa na vyombo vyake vya habari sijui linakwamishwa na nini? Hivi kweli inashindikana kuwa na radio kila mkoa? How much does it cost to run it? Najua TV linaweza kuwa ni suala kubwa mno, lakini Radio? Au kuongeza gazeti lingine zaidi ya hili la mwenyekiti wa chama? Wenzetu CCM wana Uhuru na Mzelendo na wana magazeti dada ya Jambo leo na Habari leo ambayo yote kwa pamoja yanafanya kazi ya kuiuza CCM? Sasa sisi tuna Tanzania daima pekee, tunashindwa nini kupata gazeti lingine la ziada? Ikiwezekana, la aina kama ya Kiu au Mwanasport ambalo tutaliuza kwa bei chee, ili limfikie kila mtu.
what do you mean Msopakyindi? Jambo positive na la maendeleo kwa nani? Kama siyo CHADEMA hivi katiba mpya ya nchi ingekuwa inaandikwa? Unataka jambo positive la namna gani? Hivi Tanzania kuna chama kinafanya siasa za kisomi kama chadema? Hata CCM haijawahi kuwa na creative movements kama za chadema. Mlijaribu ile ya vua gamba ikafa kabla ya utekelezaji. Sasa mna lipi jipya mnaloweza kulifanya linalowapa kiburi cha kuidharau CHADEMA?Mkuu wewe ni mmoja wa wana CHADEMA vichwa moto lakini vitupu.
Mnaangalia lakini hamuoni kitu.
Tangu lini chama chenu kikafanya jambo lolote positive na la maendeleo?
Hata wabunge wenu karibu wote ni wahamasishaji wa fujo, maandamano na migomo.
Sasa kama wewe kama kichwa ni kizuri kuliko hao kina Lema et al, nitajie jambo moja tu au mawili ya maendeleo yaliyoasisiwa na CHADEMA.
Sembuse kuanzishwa TV na redio?
Dont overrate CHADEMA, ni debe tupu la vijana frustrated kama nyie.
Nazungumza kwa hisia kali sana na hasa baada ya kugundua tumepoteza muda sana wa kupigania chama dhidi ya mafisadi lakini bila ya manufaa yoyote.
Wana CHADEMA asilia tunatoa tamko hili;
TAMKO LA CHADEMA ASILIA NA MWENENDO WA KISIASA NCHINI.
1)Ni ukweli usiopingika kuwa tutakwenda kushindwa uchaguzi huu. Hivyo tujiandae kisaikolojia kukabiliana na matokeo hayo.
2) Tunahitaji kufanya mabadiliko mara baada ya uchaguzi kwa viongozi na makapi yote tuliyoyakaribisha ukawa.
3)Mara baada ya uchaguzi tutavunja rasmi UKAWA na kila chama kirudi kilipotoka na kujiunda upya.
4) Viongozi waliotuingiza kwwnye dili la kuwaleta ukawa ni lazima tuwachukulie hatua warudishe pesa walizopewa na tutawafukuza.
5) Tunakwenda kuwaomba Dr Slaa na Prof Lipumba warudi kuongoza jahazi. Kwani mwenyekiti bila wewe mambo yameshindikana. Hana fikra pevu.
6) Tutairudisha ajenda ya ufisadi mara baada ya mafisadi kusepa baada ya wao kumaliz mission yao.
7) Wote waliogeuka na ku support mafisadi tutawataka wajitatathmini na waachie ngazi kama hakuna maelezo ya kutosha
We gamba pumbav njaa inakusumbuaa tu ondoa takataka zako.Jf
Nazungumza kwa hisia kali sana na hasa baada ya kugundua tumepoteza muda sana wa kupigania chama dhidi ya mafisadi lakini bila ya manufaa yoyote.
Wana Chadema asilia tunatoa tamko hili ;
TAMKO LA CHADEMA ASILIA NA MWENENDO WA KISIASA NCHINI.
1)Ni ukweli usiopingika kuwa tutakwenda kushindwa uchaguzi huu. Hivyo tujiandae kisaikolojia kukabiliana na matokeo hayo.
2) Tunahitaji kufanya mabadiliko mara baada ya uchaguzi kwa viongozi na makapi yote tuliyoyakaribisha ukawa.
3)mara baada ya uchaguzi tutavunja rasmi ukawa na kila chama kirudi kilipotoka na kujiunda upya.
4) viongozi waliotuingiza kwwnye dili la kuwaleta ukawa ni lazima tuwachukulie hatua warudishe pesa walizopewa na tutawafukuza.
5) tunakwenda kuwaomba Dr Slaa na Prof Lipumba warudi kuongoza jahazi. Kwani mwenyekiti bila wewe mambo yameshindikana. Hana fikra pevu.
6) tutairudisha ajenda ya ufisadi mara baada ya mafisadi kusepa baada ya wao kumaliz mission yao.
7) wote waliogeuka na ku support mafisadi tutawataka wajitatathmini na waachie ngazi kama hakuna maelezo ya kutosha
Mkuu hili ni tamko la wana ccm baada ya kumkata LowasaNazungumza kwa hisia kali sana na hasa baada ya kugundua tumepoteza muda sana wa kupigania chama dhidi ya mafisadi lakini bila ya manufaa yoyote.
Wana CHADEMA asilia tunatoa tamko hili;
TAMKO LA CHADEMA ASILIA NA MWENENDO WA KISIASA NCHINI.
1)Ni ukweli usiopingika kuwa tutakwenda kushindwa uchaguzi huu. Hivyo tujiandae kisaikolojia kukabiliana na matokeo hayo.
2) Tunahitaji kufanya mabadiliko mara baada ya uchaguzi kwa viongozi na makapi yote tuliyoyakaribisha ukawa.
3)Mara baada ya uchaguzi tutavunja rasmi UKAWA na kila chama kirudi kilipotoka na kujiunda upya.
4) Viongozi waliotuingiza kwwnye dili la kuwaleta ukawa ni lazima tuwachukulie hatua warudishe pesa walizopewa na tutawafukuza.
5) Tunakwenda kuwaomba Dr Slaa na Prof Lipumba warudi kuongoza jahazi. Kwani mwenyekiti bila wewe mambo yameshindikana. Hana fikra pevu.
6) Tutairudisha ajenda ya ufisadi mara baada ya mafisadi kusepa baada ya wao kumaliz mission yao.
7) Wote waliogeuka na ku support mafisadi tutawataka wajitatathmini na waachie ngazi kama hakuna maelezo ya kutosha
Watu kama akina Mnyika, Msigwa na wengine wa mfano wa hawa wangekaa kimya, wangerudi kama mashujaa baada ya uchaguzi, lakini wakaona heri wapate ubunge kwa kusimama upande wa waovu wakati hata uhakika wa kuupata huo ubunge hawana