CHADEMA isipomvua Zitto uanachama...!

Natangaza rasmi kuwa Chadema isipomvua Zitto uanachama nitakuwa wa kwanza kuiviruga kupitia mtandao huu wa JF bila kujali lolote.
Nina details za kuvuruga chama zaidi ya Zitto.

Cc Crashwise
Mbona Chadema imeishavurugwa siku nyingi.
 

Mkuu siku 14 zilipaswa kuhesabiwa baada ya muda gani...Je unavyojuwa wewe uamzi ulitakiwa kutolewa siku ya kumi na tano au baada ya siku 14 kupita kikao kitaandaliwa cha kwenda kupitia utetezi wa wasaliti, je unajua walikata rufaa na rufaa yao imetupwa juzi.....
 

mwandosi ndiyo kwenye siasa za tanzania.
 
wenzako wamejadili usiku na mchana wameshindwa wamefanya vikao mpaka dubai wamekwama wewe unaleta ushauri wako mwepesi hapa.

Kamati gani ilikaa Dubai, acha kujitoa fahamu...
 

mtahangaika sana lakini mwisho wake mtakuja kujuta hamtaamini zitto ni kiboko yenu.
 
Usiwaze kuiua chadema kwa ufinyu wa fikra ila jitahidi kuwaza hivyo kwa tafkuri kubwa inayovuka mipaka ubinafsi wako wa roho na akili.
 
Ni kweli kabisa Mh. Zitto Kabwe hana budi kufukuzwa kabisa kwenye chama kwani amejisahau na kuona KITU (pesa) ni bora kuliko UTU (Watanzania) wakiwemo ndugu zake wa karibu (mjomba, shangazi, bibi, babu na wengine), mimi naamini CHADEMA ni chama makini hivyo kitafuata taratibu zote kikatiba za kumvua Zitto uanachama
 
Kama unaujua uozo wa cdm tuweke wazi au unashinikiza kiaina?
 
Sidhan kama chadema wanaweza kumvua uanachama Zito coz ndo kichwa chao pale!

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Mods ,......naileta mada hii kwa mara ya pili kwa kuwa mada niliyoleta mara ya kwanza ikiwa na maudhui ya namna hii mliifuta au kuunganisha bila kunitaarifu!

WanaJf wenzangu mimi sio mwanasiasa na sipendi hadaa za wanasiasa...nimeamua kuwa muwazi .....kama chadema haitamvua uanachama zitto kabwe basi mimi nitakuwa mmoja wa wafuasi wa buku 7 katika kueneza propaganda chafu dhidi ya chadema kupitia mtandao huu wa Jf au mtandao wowote ule unaofaa!Im not bluffing!nategemea kuanza mchakato huu mwanzoni mwa mwezi february mwaka 2014.
Cc to Crashwise
 
Last edited by a moderator:
Du zitto mwingine huyu kama sixgate. Uongozi busara na uvumilivu. Namini CC/KK wako makini wanaangalia amalize option zake zote ndio wamteremshe akiwa mwepesi. Naomba asiwe mwepesi
 
Who cares! Anza hata leo mkuu! Ni sawa na kutishia kuideki bahari! Huna lolote wewe.
 
nakubaliana na wewe kwenye hoja ya kutaka msaliti avuliwe uanachama. ni matumaini yangu kuwa ngazi ya maamuzi haitatuangusha.aidha sikubaliani na mpango wa kuivuruga cdm kama haitamvua uanachama huyu msaliti na kundi lake lote.
nikushauri uchukue msimamo wangu wa kiungwana wa kuondoka chamani ikiwa watamsamehe
 
Who cares! Anza hata leo mkuu! Ni sawa na kutishia kuideki bahari! Huna lolote wewe.
Good thing ni kwamba ...imani yangu ni nzito,naamini hata bahari yaweza kudekiwa!
 
Hayo ni maamuzi ya kamati kuu wamfukuze au wasimfukuze ila mimi nitaheshimu.
huwezi kuivuruga chadema wewe dhaifu!!
walijaribu akina sixgates sembuse wewe papeti
 
Last edited by a moderator:
thanks God hii mada imerudi...kwa kuwa ilifichwa.some creatures are very serious...mimi ni among them!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…