CHADEMA isipomvua Zitto uanachama...!

viboko zaidi vinahitjika muadhibuni tu kwa kuwapoteza wengu
ndio unaamuka kawaulize wango,oa kucha na watoboa macho watu rafiki yako kwisney anapapatika kabla hajakata roho anahitaji drip kule kukonda sio kawaida utafikiri yuko kwenye dose za ARV
 
ndio unaamuka kawaulize wango,oa kucha na watoboa macho watu rafiki yako kwisney anapapatika kabla hajakata roho anahitaji drip kule kukonda sio kawaida utafikiri yuko kwenye dose za ARV

Muongezeeni fimbo za kutosha kwa kuwa kawaingiza cha kike wengi sana
 
Muongezeeni fimbo za kutosha kwa kuwa kawaingiza cha kike wengi sana
mbona anahangaika choo cha kike umeingizwa weye ulidhani mali kumbe tambara watu wamepigia deki wametupa huko
 
nikusaidie tu ni kwamba zitto anatumia na tiss hivyo anatunua upibzani wa kinafiki kuweza kupata info na kuwapelekea mabwana zake au kuzichakachua kisha anatafuta mtu wa kuzieneza..
 
Achapwe, tena achapwe, hana jipya. Tumemuelewa
 
Kwachu! Kwachu! Kwachi! Yalaaa wuwiiiii! Nafwaaaaaa!

Mie namtandika bakora tu simwangalii usoni
 
Hawezi kuendelea na siasa ameishashitukiwa atakuwa muigizaji punde ataanzisha kundi lake la comed
 
Natangaza rasmi kuwa Chadema isipomvua Zitto uanachama nitakuwa wa kwanza kuiviruga kupitia mtandao huu wa JF bila kujali lolote.
Nina details za kuvuruga chama zaidi ya Zitto.

Cc Crashwise

hvi chama chaweza vurugika mtandaoni? hebu bipu tuone..."celebral meningitis"
 
Mkuu uzi wako umetaja kila baya ambalo amelifanya Zitto kwa vijana na nakuunga mkono na miguu. Mim ni mmoja wa watu ambao kwa mdomo wa Zitto niliingia chadema na kwa mapenzi na hekima ya Mungu ikaniondoa chadema.

MUNGU NI MWEMA..AHIMIDIWE MILELE NA MILELE
 
Juliana juliana hata wewe, si useme basi hasira yako ni nini kweli unamchukia kaka. Juliana si anakupenda? Kweli kuishi kwingi...
 
Hizi siasa za ubabaishaji Tanzania ni kikwazo kwa demokrasia
 
Andikeni mambo ya maana! Acheni stori zile zile. Juliana hata kesho huko uliko ccm kesho utadai uliingizwa pasi na kujua.
 
Kwa hiyo muanzishaji wa huu uzi anataka kusema walioingia CCM ndiyo chama cha maana, kama siyo kuwafanya watu wajinga...Zitto hakumfunga mtu kamba kumuingiza CDM kama watu wanavyo ingia kwenye chama cha kifisadi kwa mapenzi yao kwa kudhani watafaidika na ufisadi...vyovyote vile CCM kwa sasa ni chama kichafu kupita maelezo, ni kundi la walafi na sasa nchi wafadhiri wana dai chenji ya pesa zao!
 
Natangaza rasmi kuwa Chadema isipomvua Zitto uanachama nitakuwa wa kwanza kuiviruga kupitia mtandao huu wa JF bila kujali lolote.
Nina details za kuvuruga chama zaidi ya Zitto.

Cc Crashwise

kama unaugomvi na zito malizaneni kwanamna yenu....ila sidhani kama zito atatoka cdm kwa mikwara na vtisho vyako ila kwa kanuni na ridhaa ya cdm....tafakari..
 
Natangaza rasmi kuwa Chadema isipomvua Zitto uanachama nitakuwa wa kwanza kuiviruga kupitia mtandao huu wa JF bila kujali lolote.
Nina details za kuvuruga chama zaidi ya Zitto.

Cc Crashwise

Niliamini Chadema ndio mkombozi wa Tanzania,lakini kwa siasa hizi za majungu nimekata tamaa
 
faizaFox mbona unamgeuka kaka yako??
Unamchongea huyo msaliti, maana lazima afukuzwe tujenge chama!!
Mashambulizi yamehamia kwa kamanda Mbowe baada ya kushindwa kila kona!!
.Zito by by !!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…