CHADEMA is no longer 'Peoples Power'

CHADEMA is no longer 'Peoples Power'

Mtoto hata ubwabwa wa shingo haujakutoka unadai mabadiliko...yapi hayo...kifunze historia ujue nini cha kubadilisha

Ww unayejiona nkubwa hata kutokwa na bwabwa wa shingo unaijua historia ya nchi hii kumzidi kingunge ???

Tutolee umong'oo wako hapa
 
Nikiwa kijana mzalendo nasikitika kuiona Chadema ikipewa nguvu na waliyemtambulisha kuwa FISADI PAPA.

Sitoandamana tena kwa kisingizio cha nguvu ya umma.

Kuing'oa CCM hakuwezi kuifanya chadema ijenge makao yake makuu!

Kudeki barabara wakati gheto lako limejaa uvundo hakutapumbaza wazalendo wa kweli kuchagua kilicho bora.

Kuwachukua vijana Ngarenaro ili wakafanye matamasha ya mafuriko sio jambo lililozoeleka kwa Chadema.

Naungana na Mwanakijiji kuwakataa wasanii na movie ya mabadiliko.

MY ASH TRAY HEART SAYS NEY!!!


Magufuli rekebisha 'SOMBRERO' uchape KAZI.

#HAPAKAZITU
Mtafunga kiwanda chenu cha porojo baada ya 25 Oct 2015. Watoa posho wa bk 7 wa Masaki na Lumumba mtatafutana bila mafanikio
 
haya wee, ccm idumu na izidi kudumu na izidi kutupiga tu manake hatuna namna

1. Wanawake kujifungulia sakafuni

2. Watoto kusomea chini ya miti

3. Watumishi kulipwa mishahara ya hadaa

4. Twiga kupandishwa kwenye ndege

5. Wizi wa escrow

6. Ufisadi wa epa

7. Ufisadi wa richmond

8. Ujangili uliokithiri

9. Mikataba mobovu ya dhahabu

10. Mikataba mibovu kwenye tanzanite

11. Mikataba mibovu kwenye almasi

12. Ubinafsishaji wa bandari, atc, mashamba yanafco, viwanda, nbc nk

13. Huduma duni za afya

14. Huduma mbovu za elimu

15. Ukosefu wa maji

16. Ukosefu wa umeme wa uhakika

17. Gharama kubwa za umeme

18. Kupanda kwa bei ya mafuta ilhali inashuka kwenye soka la dunia

19. Gharama kubwa za vifurushi vya simu za mkononi

20. Wawekezaji kutokulipa kodi

21. Rais kusaini cheque kwa dhehebu moja

22. Pengo la kukataa rasimu ya katiba mpya

23. Ubovu wa barabara

24. Kugawana nyumba za serikali

25. Mauaji ya daudi mwangosi

31. Mkaahapa kujimilikisha mgodi wa kiwira

32. Yusuf marope kutumia bilioni 5 uchaguzimdogo wa tarime

33. Ufisadi wa deep green
34. Ufisadi wa meremeta

35. Mabomu ya arusha

36. Uvamizi wa vituo vya police

37. Ununuzi wa mv dar es salaam kifisadi

38. Mabehewa feki ya treni –

39. Ununuzi wa ndege ya rais

40. Mikataba 17 ya kichina

41. Kushamiri kwa biashara ya sembe (madawa ya kulevya)

42. Usafirishaji wa meno ya tembo

radar mbovu
 
Uambie moyo wako na akili yako hao mafisadi walio baki ni washirika wa nani? Je miongoni mwa uliowahi kuwasikia wakitajwa ni yupi anaambatana na Pombe?

I can imagine common sense is not common!

Taifa ni zaidi ya chama watanzania wenzangu....tusidanganyike.

Tibaijuka kasamehewa? Nilidhani kesi baado nimbichi. I wish common sense was common!
 
Hii inachekesha kama si kusikitisha. Tunapo ongelea ufisadi waCCM, tuna maanisha EPA, RICHMOND, ESCROW, TANGOLD na mengine mengi. Nyie mnamng'ang'ania Lowassa kwa RICHMOND! Hao wengine ambao wako bado CCM vipi? Au RICHMOND ndiyo ililamba pesa nyingi kuliko ESCROW? Ni mahaba ya CCM, vichwa vya nazi au buku tano?

Nani wa escrow anayegombea urais?

Hata mkiweka nta tutatumia bomba kuwazibua masikio na muelewe
 
Haya wee, ccm idumu na izidi kudumu na izidi kutupiga tu manake hatuna namna

1. Wanawake kujifungulia Sakafuni

2. Watoto kusomea chini ya Miti

3. Watumishi kulipwa mishahara ya Hadaa

4. Twiga kupandishwa kwenye Ndege

5. wizi wa ESCROW

6. Ufisadi wa EPA

7. Ufisadi wa RICHMOND

8. Ujangili Uliokithiri

9. Mikataba Mobovu ya Dhahabu

10. Mikataba mibovu kwenye Tanzanite

11. Mikataba mibovu kwenye Almasi

12. Ubinafsishaji wa Bandari, ATC, Mashamba yaNAFCO, VIWANDA, NBC nk

13. Huduma duni za Afya

14. Huduma Mbovu za Elimu

15. Ukosefu wa Maji

16. Ukosefu wa Umeme wa Uhakika

17. Gharama kubwa za Umeme

18. Kupanda kwa Bei ya Mafuta ilhali inashuka kwenye soka la Dunia

19. Gharama kubwa za vifurushi vya simu za mkononi

20. Wawekezaji kutokulipa kodi

21. Rais kusaini cheque kwa dhehebu moja

22. Pengo la kukataa Rasimu ya Katiba mpya

23. Ubovu wa barabara

24. Kugawana Nyumba za Serikali

25. Mauaji ya Daudi Mwangosi

31. Mkaahapa kujimilikisha mgodi wa Kiwira

32. Yusuf Marope kutumia Bilioni 5 uchaguzimdogo wa Tarime

33. Ufisadi wa Deep Green
34. Ufisadi wa Meremeta

35. Mabomu ya Arusha

36. Uvamizi wa vituo vya Police

37. Ununuzi wa Mv Dar es Salaam kifisadi

38. Mabehewa Feki ya Treni –

39. Ununuzi wa Ndege ya Rais

40. Mikataba 17 ya kichina

41. Kushamiri kwa biashara ya Sembe (madawa ya kulevya)

42. Usafirishaji wa Meno ya Tembo


Kabla ya kuja humu hebu kwanza waulize Lowasa (ab 30), Sumae ( Ab 20) na Kingunge Ngombale Mwiru( Ab 61) !
 
Nani wa escrow anayegombea urais?

Hata mkiweka nta tutatumia bomba kuwazibua masikio na muelewe

hahahaha hakuna ila yupo "mhongaji wa nyumba za serikali kwa girlfriend wake".DR Mihogo
 
Mapovu yatawatoka sana mwaka huu na bado Magamba mabadiliko lazima.
 
Last edited by a moderator:
Ikulu ya conekry...Hii tamthilia iko season ngapi vile?I mean baada ya tamthilia ya matumaini.

Haahahahaha.....Kweli mmeishiwa Lowasa anawanyima usingizi
Wewe Mwenyewe Zao La Ufisadi.
 
Magufuli jana kasema mabadiliko hayaji kwa kuzungusha mikono....hata kichwa au hata kuzungusha kiuno....
NI KAZI TU...

Na Kazi haiji kwa kupiga push ups wala kuruka ruka kwenye majukwaa.
 
yani huyu nimeshindwa hata nimuweke kundi gani! hasira sijui zimemzidi!!! loooh!
 
Ukiwa kijana mzalendo halaf unaishabikia ccm si unaonekana punguan!

Haiingii akili kuita chadema fisadi kwa sababu ya Lowasa wakati alipokuwa ccm mlitumia nguvu kubwa kumtetea!

Ccm ni fisadi, wanachama wake mafisadi, mfumo wake wa kifisadi inaongoza serikali ya kifisadi!

Nawashangaa watakaoshindwa kupigia cdm kura kwa sababu ya ufisadi huku wakipigia debe ccm! Huo ni unafki kwa watanzania

Chadema kumpokea fisadi mmoja na kumsimamisha kugombea urais wa nchi ni dalili ya kushindwa kupigana na ufisadi, na hii imepoteza imani tuliyokuwa nayo kuwa cdm ni chama cha ukombozi na badala yake naona wamekuwa tu wasanii wa kucheza na akili zetu
 
Kijana kama ww unackitisha sanaa bado unang'ang'ania chama tawala kwa kumuhukumu lowasa kwa kumnadi nifisadi kwa Richmond wakati ameshatoa ushaidi Kama yeye anahusika na huo ufisadi waende mahakamani mbona hamkujitokeza,ufisadi bado uko ccm unawajuwa tafuta namna nyengine ya kuongea na sio hlo nisalimie Chenga na Tbajuke zaidi wamecheza deal hatariiiii....!!!!!
 
Nikiwa kijana mzalendo nasikitika kuiona Chadema ikipewa nguvu na waliyemtambulisha kuwa FISADI PAPA.

Sitoandamana tena kwa kisingizio cha nguvu ya umma.

Kuing'oa CCM hakuwezi kuifanya chadema ijenge makao yake makuu!

Kudeki barabara wakati gheto lako limejaa uvundo hakutapumbaza wazalendo wa kweli kuchagua kilicho bora.

Kuwachukua vijana Ngarenaro ili wakafanye matamasha ya mafuriko sio jambo lililozoeleka kwa Chadema.

Naungana na Mwanakijiji kuwakataa wasanii na movie ya mabadiliko.

MY ASH TRAY HEART SAYS NEY!!!


Magufuli rekebisha 'SOMBRERO' uchape KAZI.

#HAPAKAZITU
CHADEMA ni peoples's super power hujakosea.
 
usilolijua ni sawa sawa na usiku wa kiza kinene jisemee binafsi yako sio wananchi wameshaamua kura ndio itakayoamua big up Uda
 
Back
Top Bottom