Uda
JF-Expert Member
- Nov 27, 2010
- 811
- 623
- Thread starter
- #21
hexacyanoferrate
CHADEMA ni nyumba ndogo ya mafisadi?
CHADEMA ni nyumba ndogo ya mafisadi?
Last edited by a moderator:
Guinea Bissau !
Mtoto hata ubwabwa wa shingo haujakutoka unadai mabadiliko...yapi hayo...kifunze historia ujue nini cha kubadilisha
Nikiwa kijana mzalendo nasikitika kuiona Chadema ikipewa nguvu na waliyemtambulisha kuwa FISADI PAPA.
Sitoandamana tena kwa kisingizio cha nguvu ya umma.
Kuing'oa CCM hakuwezi kuifanya chadema ijenge makao yake makuu!
Kudeki barabara wakati gheto lako limejaa uvundo hakutapumbaza wazalendo wa kweli kuchagua kilicho bora.
Kuwachukua vijana Ngarenaro ili wakafanye matamasha ya mafuriko sio jambo lililozoeleka kwa Chadema.
Naungana na Mwanakijiji kuwakataa wasanii na movie ya mabadiliko.
Magufuli rekebisha 'SOMBRERO' uchape KAZI.
#HAPAKAZITU
Ukiishiwa hoja unabakia kudhalilisha jinsia. Sasa sijui huyo mama au dada yako huwa hawabadili chupi. Au hayo ndiyo mabadiliko yenyewe mnayohubiri?Kwa akili mliyofundishwa Lumumba mnajua mabadiliko ni kubadilisha chupi zenu? Subirini 25 mtajua nini maana ya mabadiliko
Nikiwa kijana mzalendo nasikitika kuiona Chadema ikipewa nguvu na waliyemtambulisha kuwa FISADI PAPA.
Sitoandamana tena kwa kisingizio cha nguvu ya umma.
Kuing'oa CCM hakuwezi kuifanya chadema ijenge makao yake makuu!
Kudeki barabara wakati gheto lako limejaa uvundo hakutapumbaza wazalendo wa kweli kuchagua kilicho bora.
Kuwachukua vijana Ngarenaro ili wakafanye matamasha ya mafuriko sio jambo lililozoeleka kwa Chadema.
Naungana na Mwanakijiji kuwakataa wasanii na movie ya mabadiliko.
Magufuli rekebisha 'SOMBRERO' uchape KAZI.
#HAPAKAZITU
Nikiwa kijana mzalendo nasikitika kuiona Chadema ikipewa nguvu na waliyemtambulisha kuwa FISADI PAPA.
Sitoandamana tena kwa kisingizio cha nguvu ya umma.
Kuing'oa CCM hakuwezi kuifanya chadema ijenge makao yake makuu!
Kudeki barabara wakati gheto lako limejaa uvundo hakutapumbaza wazalendo wa kweli kuchagua kilicho bora.
Kuwachukua vijana Ngarenaro ili wakafanye matamasha ya mafuriko sio jambo lililozoeleka kwa Chadema.
Naungana na Mwanakijiji kuwakataa wasanii na movie ya mabadiliko.
Magufuli rekebisha 'SOMBRERO' uchape KAZI.
#HAPAKAZITU
Haya ndio matatizo ya kunyweshwa maziwa ya ng'ombe badala ya kunyonya maziwa ya mama ukiwa mchanga ni lazima ubongo ukose virutubisho na uwezo wa kutafakari kwa hekima ni ngumu kuwa nao!Nikiwa kijana mzalendo nasikitika kuiona Chadema ikipewa nguvu na waliyemtambulisha kuwa FISADI PAPA.
Sitoandamana tena kwa kisingizio cha nguvu ya umma.
Kuing'oa CCM hakuwezi kuifanya chadema ijenge makao yake makuu!
Kudeki barabara wakati gheto lako limejaa uvundo hakutapumbaza wazalendo wa kweli kuchagua kilicho bora.
Kuwachukua vijana Ngarenaro ili wakafanye matamasha ya mafuriko sio jambo lililozoeleka kwa Chadema.
Naungana na Mwanakijiji kuwakataa wasanii na movie ya mabadiliko.
Magufuli rekebisha 'SOMBRERO' uchape KAZI.
#HAPAKAZITU
Haya wee, ccm idumu na izidi kudumu na izidi kutupiga tu manake hatuna namna
1. Wanawake kujifungulia Sakafuni
2. Watoto kusomea chini ya Miti
3. Watumishi kulipwa mishahara ya Hadaa
4. Twiga kupandishwa kwenye Ndege
5. wizi wa ESCROW
6. Ufisadi wa EPA
7. Ufisadi wa RICHMOND
8. Ujangili Uliokithiri
9. Mikataba Mobovu ya Dhahabu
10. Mikataba mibovu kwenye Tanzanite
11. Mikataba mibovu kwenye Almasi
12. Ubinafsishaji wa Bandari, ATC, Mashamba yaNAFCO, VIWANDA, NBC nk
13. Huduma duni za Afya
14. Huduma Mbovu za Elimu
15. Ukosefu wa Maji
16. Ukosefu wa Umeme wa Uhakika
17. Gharama kubwa za Umeme
18. Kupanda kwa Bei ya Mafuta ilhali inashuka kwenye soka la Dunia
19. Gharama kubwa za vifurushi vya simu za mkononi
20. Wawekezaji kutokulipa kodi
21. Rais kusaini cheque kwa dhehebu moja
22. Pengo la kukataa Rasimu ya Katiba mpya
23. Ubovu wa barabara
24. Kugawana Nyumba za Serikali
25. Mauaji ya Daudi Mwangosi
31. Mkaahapa kujimilikisha mgodi wa Kiwira
32. Yusuf Marope kutumia Bilioni 5 uchaguzimdogo wa Tarime
33. Ufisadi wa Deep Green
34. Ufisadi wa Meremeta
35. Mabomu ya Arusha
36. Uvamizi wa vituo vya Police
37. Ununuzi wa Mv Dar es Salaam kifisadi
38. Mabehewa Feki ya Treni
39. Ununuzi wa Ndege ya Rais
40. Mikataba 17 ya kichina
41. Kushamiri kwa biashara ya Sembe (madawa ya kulevya)
42. Usafirishaji wa Meno ya Tembo
Nikiwa kijana mzalendo nasikitika kuiona Chadema ikipewa nguvu na waliyemtambulisha kuwa FISADI PAPA.
Sitoandamana tena kwa kisingizio cha nguvu ya umma.
Kuing'oa CCM hakuwezi kuifanya chadema ijenge makao yake makuu!
Kudeki barabara wakati gheto lako limejaa uvundo hakutapumbaza wazalendo wa kweli kuchagua kilicho bora.
Kuwachukua vijana Ngarenaro ili wakafanye matamasha ya mafuriko sio jambo lililozoeleka kwa Chadema.
Naungana na Mwanakijiji kuwakataa wasanii na movie ya mabadiliko.
Magufuli rekebisha 'SOMBRERO' uchape KAZI.
#HAPAKAZITU
And yet you choose the GRAND FISADI at numbre 7