CHADEMA is no longer 'Peoples Power'

CHADEMA is no longer 'Peoples Power'

Na uvimbe upasuke...Mizoga kutoka ccm iko meza kuu ya chadema ngastuuka!

Unachekesha! Na nina wasiwasi sasa na thinking capacity yako nitapoteza muda tu kujadiliana na wewe, but ninachokwambia ni hakuna maendeleo au usawa chini ya utawala wa ccm. Ccm ni wanyonyaji wakubwa, walipo sasa hivi wanapigana wasitoke madarakani kwa hofu ya mambo waliyofanya. Mfano mkapa ameanza naye kampuni, anahofu ya kujakushtakiwa.
Msiwe na wasiwasi lowassa si mtu wa visasi!
 
I will never keep a stray dog and expect maxima security!!
Do you copy?
 
Dr Slaa na Zitto ndio waliokuwa wanaijenga chadema na kuwa kweli people's power. Waliobak bora liende kisiasa.

Na wenye chama wako bize kutumia siasa kufanya biashara
 
Big don is not running for the GREAT office..mind you!

Why every deal is involved, shame on him, if no 7 is involved we have courts then send him there, why r u scared, send him to court and not murmering
 
I will never keep a stray dog and expect maxima Mhm! Unachuki binafsi na lowassa? Au wewe unauhusiano wa kindigu na moja ya mafisadi yaliyomo ccm? It's better a single dog than a group of hyenas inside!
 
Nikiwa kijana mzalendo nasikitika kuiona Chadema ikipewa nguvu na waliyemtambulisha kuwa FISADI PAPA.

Sitoandamana tena kwa kisingizio cha nguvu ya umma.

Kuing'oa CCM hakuwezi kuifanya chadema ijenge makao yake makuu!

Kudeki barabara wakati gheto lako limejaa uvundo hakutapumbaza wazalendo wa kweli kuchagua kilicho bora.

Kuwachukua vijana Ngarenaro ili wakafanye matamasha ya mafuriko sio jambo lililozoeleka kwa Chadema.

Naungana na Mwanakijiji kuwakataa wasanii na movie ya mabadiliko.

MY ASH TRAY HEART SAYS NEY!!!

Magufuli rekebisha 'SOMBRERO' uchape KAZI.

#HAPAKAZITU

Umeenda vizuri.
 
Mabadiliko ni kuosha barabara na kuvaa chupi chafu?

Kwanini uumie na wakati wanao Fanya hayo awakuusu. Sawa makwao ni kuchafu...... Then what?????!!!!! Unaishi wewe au wao.... Huu muda bura ungeutumia kwa mtu wenu magufuli.... Malofa tuacheni na ulofa wetu.. Baasi
 
Bura ni pombe kwa kiiraqw...stop yelling talk sense
 
ccm poleni ukawa haooooo ikulu mtupishe mapema
attachment.php
 
UDA pole mwambie aliyekutoma kakosea ukawa ni habari ya mjini
 
Mi sijakuelewa... ulikuwa chadema kupinga ufisadi unaofanya na ccm si ndio???... ila fisadi mmoja akahama ccm na kwenda chadema ukaona ni bora uhamie ccm walipo wengi au???
mi nildhan labda ungeenda ACT/DP n.k
au umeamua tu kutuletea tangazo la kazi#???
 
Nikiwa kijana mzalendo nasikitika kuiona Chadema ikipewa nguvu na waliyemtambulisha kuwa FISADI PAPA.

Sitoandamana tena kwa kisingizio cha nguvu ya umma.

Kuing'oa CCM hakuwezi kuifanya chadema ijenge makao yake makuu!

Kudeki barabara wakati gheto lako limejaa uvundo hakutapumbaza wazalendo wa kweli kuchagua kilicho bora.

Kuwachukua vijana Ngarenaro ili wakafanye matamasha ya mafuriko sio jambo lililozoeleka kwa Chadema.

Naungana na Mwanakijiji kuwakataa wasanii na movie ya mabadiliko.

MY ASH TRAY HEART SAYS NEY!!!

Magufuli rekebisha 'SOMBRERO' uchape KAZI.

#HAPAKAZITU

Ukiwa kijana mzalendo halaf unaishabikia ccm si unaonekana punguan!

Haiingii akili kuita chadema fisadi kwa sababu ya Lowasa wakati alipokuwa ccm mlitumia nguvu kubwa kumtetea!

Ccm ni fisadi, wanachama wake mafisadi, mfumo wake wa kifisadi inaongoza serikali ya kifisadi!

Nawashangaa watakaoshindwa kupigia cdm kura kwa sababu ya ufisadi huku wakipigia debe ccm! Huo ni unafki kwa watanzania
 
Nikiwa kijana mzalendo nasikitika kuiona Chadema ikipewa nguvu na waliyemtambulisha kuwa FISADI PAPA.

Sitoandamana tena kwa kisingizio cha nguvu ya umma.

Kuing'oa CCM hakuwezi kuifanya chadema ijenge makao yake makuu!

Kudeki barabara wakati gheto lako limejaa uvundo hakutapumbaza wazalendo wa kweli kuchagua kilicho bora.

Kuwachukua vijana Ngarenaro ili wakafanye matamasha ya mafuriko sio jambo lililozoeleka kwa Chadema.

Naungana na Mwanakijiji kuwakataa wasanii na movie ya mabadiliko.

MY ASH TRAY HEART SAYS NEY!!!

Magufuli rekebisha 'SOMBRERO' uchape KAZI.

#HAPAKAZITU

hivi hata wewe bado unamawaxo ya picha za guine
 
Back
Top Bottom