CHADEMA is no longer 'Peoples Power'

CHADEMA is no longer 'Peoples Power'

ccm poleni ukawa haooooo ikulu mtupishe mapema
attachment.php
Na nyingine hii hapa. Huu ni uchaguzi na sio mashindano ya nyomi.

attachment.php
 
Ukiwa kijana mzalendo halaf unaishabikia ccm si unaonekana punguan!

Haiingii akili kuita chadema fisadi kwa sababu ya Lowasa wakati alipokuwa ccm mlitumia nguvu kubwa kumtetea!

Ccm ni fisadi, wanachama wake mafisadi, mfumo wake wa kifisadi inaongoza serikali ya kifisadi!

Nawashangaa watakaoshindwa kupigia cdm kura kwa sababu ya ufisadi huku wakipigia debe ccm! Huo ni unafki kwa watanzania

Alipokuwa ccm nilimpinga kama ninavyofanya leo...mimi sio chapati!
 
Nikiwa kijana mzalendo nasikitika kuiona Chadema ikipewa nguvu na waliyemtambulisha kuwa FISADI PAPA.

Sitoandamana tena kwa kisingizio cha nguvu ya umma.

Kuing'oa CCM hakuwezi kuifanya chadema ijenge makao yake makuu!

Kudeki barabara wakati gheto lako limejaa uvundo hakutapumbaza wazalendo wa kweli kuchagua kilicho bora.

Kuwachukua vijana Ngarenaro ili wakafanye matamasha ya mafuriko sio jambo lililozoeleka kwa Chadema.

Naungana na Mwanakijiji kuwakataa wasanii na movie ya mabadiliko.

MY ASH TRAY HEART SAYS NEY!!!

Magufuli rekebisha 'SOMBRERO' uchape KAZI.

#HAPAKAZITU

Toa hoja za mashiko
 
Anna Tibaijuka yupo chama gani?chenge nae yupo chama gani, Muhongo nae vip?

Is that a justification to take the grand fisadi?...kwa hiyo chadema imeamua kuunga mkono ufisadi?
 
nikiwa kijana mzalendo nasikitika kuiona chadema ikipewa nguvu na waliyemtambulisha kuwa fisadi papa.

Sitoandamana tena kwa kisingizio cha nguvu ya umma.

Kuing'oa ccm hakuwezi kuifanya chadema ijenge makao yake makuu!

Kudeki barabara wakati gheto lako limejaa uvundo hakutapumbaza wazalendo wa kweli kuchagua kilicho bora.

Kuwachukua vijana ngarenaro ili wakafanye matamasha ya mafuriko sio jambo lililozoeleka kwa chadema.

Naungana na mwanakijiji kuwakataa wasanii na movie ya mabadiliko.

My ash tray heart says ney!!!

Magufuli rekebisha 'sombrero' uchape kazi.

#hapakazitu

usipani
gheto chafu ni maisha ya mtu ,inawezekana unajihusisha na vijana wengi wachafu tambua hawapendi kuwa wachafu hali ya uchumi inafanya waone kununua sabuni kwa ajili ya usafi ni anasa
2.ccm imejenga ofisi kwa fedha zetu walipa kodi, vitega uchumi vilivyopo vya ssm ni kodi zetu
3.magufuli akija na nyie pigeni deki barabara
 
Lowassa mwizi tu hata akitubu leo hata samehewa na watanzania.
 
Nikiwa kijana mzalendo nasikitika kuiona Chadema ikipewa nguvu na waliyemtambulisha kuwa FISADI PAPA.

Sitoandamana tena kwa kisingizio cha nguvu ya umma.

Kuing'oa CCM hakuwezi kuifanya chadema ijenge makao yake makuu!

Kudeki barabara wakati gheto lako limejaa uvundo hakutapumbaza wazalendo wa kweli kuchagua kilicho bora.

Kuwachukua vijana Ngarenaro ili wakafanye matamasha ya mafuriko sio jambo lililozoeleka kwa Chadema.

Naungana na Mwanakijiji kuwakataa wasanii na movie ya mabadiliko.

MY ASH TRAY HEART SAYS NEY!!!

Magufuli rekebisha 'SOMBRERO' uchape KAZI.

#HAPAKAZITU

Ukawa haina MTU wa aina yako,it masaki at work
 
haya ni mahabaaa au kitu gani ?
 
Attachments

  • 1444674433753.jpg
    1444674433753.jpg
    21.5 KB · Views: 138
usipani
gheto chafu ni maisha ya mtu ,inawezekana unajihusisha na vijana wengi wachafu tambua hawapendi kuwa wachafu hali ya uchumi inafanya waone kununua sabuni kwa ajili ya usafi ni anasa
2.ccm imejenga ofisi kwa fedha zetu walipa kodi, vitega uchumi vilivyopo vya ssm ni kodi zetu
3.magufuli akija na nyie pigeni deki barabara

Siwezi 'kupan' kwa kuwa sielewi hii ni kitu gani.
Siwezi kujihusisha na vijana wachafu wanaodeki barabara na kuacha gheto zao chafu.

Chadema imeshindwaje kujenga ofisi wakati ruzuku iliongezeka?inaahidi vipi mabadiliko wakati wanashindwa kubadilisha makao yao makuu?

Kazi yetu ni kujenga barabara ...yenu ni kudeki barabara!

Do you feel me?
 
Nikiwa kijana mzalendo nasikitika kuiona Chadema ikipewa nguvu na waliyemtambulisha kuwa FISADI PAPA.

Sitoandamana tena kwa kisingizio cha nguvu ya umma.

Kuing'oa CCM hakuwezi kuifanya chadema ijenge makao yake makuu!

Kudeki barabara wakati gheto lako limejaa uvundo hakutapumbaza wazalendo wa kweli kuchagua kilicho bora.

Kuwachukua vijana Ngarenaro ili wakafanye matamasha ya mafuriko sio jambo lililozoeleka kwa Chadema.

Naungana na Mwanakijiji kuwakataa wasanii na movie ya mabadiliko.

MY ASH TRAY HEART SAYS NEY!!!

Magufuli rekebisha 'SOMBRERO' uchape KAZI.

#HAPAKAZITU
Kazi bila shule mwambie punda nimekukaririr ntakutag tarehe 27 kwenye Uzi unaosema HONGERA LOWASA
 
Attachments

  • 1444675251025.jpg
    1444675251025.jpg
    55.2 KB · Views: 66
Back
Top Bottom