CHADEMA is no longer 'Peoples Power'

Uda

Swali jepesi Hivi huu ufisadi unaoendelea wote umesababishwa na lowasa tu? Basi hii nchi inaelekea kubaya kama mtu mmoja ameweka taifa zima mkononi na hakuna wa kumchukulia hatua.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Uda
Siwezi 'kupan' kwa kuwa sielewi hii ni kitu gani.
Siwezi kujihusisha na vijana wachafu wanaodeki barabara na kuacha gheto zao chafu.

Chadema imeshindwaje kujenga ofisi wakati ruzuku iliongezeka?inaahidi vipi mabadiliko wakati wanashindwa kubadilisha makao yao makuu?

Kazi yetu ni kujenga barabara ...yenu ni kudeki barabara!

Do you feel me?
RUZUKU CCM WALIWAAMBIANNINZA KUJENGEA UNACHOKIITA MAKAO MAKUU YA CHAMA??
Unazungumzia MM KUKUFEEL WW MM NI MWANAUME RIJALI KWANINI NISIKUFEEL KAMA VP NI PM BASI
 
Toa boriti kwanza zilizomo ndani ya ccm ndo mpate uhalali wa kusemea boriti iliyopo kwa jirani yako

Is that a justification to take the grand fisadi?...kwa hiyo chadema imeamua kuunga mkono ufisadi?
 
Is that a justification to take the grand fisadi?...kwa hiyo chadema imeamua kuunga mkono ufisadi?[/QUO Swali jepesi Hivi huu ufisadi unaoendelea wote umesababishwa na lowasa tu?.Basi hii nchi inaelekea kubaya kama mtu mmoja ameweka taifa zima mkononi na hakuna wa kumchukulia hatua.

Waziri mkuu fisadi anaposhangiliwa kwa kuwa fisadi ndio muendelezo wa ufisadi
 
nikiwa kijana mzalendo nasikitika kuiona chadema ikipewa nguvu na waliyemtambulisha kuwa fisadi papa.

Sitoandamana tena kwa kisingizio cha nguvu ya umma.

Kuing'oa ccm hakuwezi kuifanya chadema ijenge makao yake makuu!

Kudeki barabara wakati gheto lako limejaa uvundo hakutapumbaza wazalendo wa kweli kuchagua kilicho bora.

Kuwachukua vijana ngarenaro ili wakafanye matamasha ya mafuriko sio jambo lililozoeleka kwa chadema.

Naungana na mwanakijiji kuwakataa wasanii na movie ya mabadiliko.

My ash tray heart says ney!!!

Magufuli rekebisha 'sombrero' uchape kazi.

#hapakazitu
unajiita kijana mzalendo avacha uliyo weka si yako uzarendo wako upo wapi?? Kama umeanza umista bin mapema hivyo
 
Mtoto hata ubwabwa wa shingo haujakutoka unadai mabadiliko...yapi hayo...kifunze historia ujue nini cha kubadilisha

Endelea kutafuta bikira kwenye wadi ya wazazi. Pole! History only tells, where you come from BUT NOT where you are going. Lowasa oyeeee
 
Uda hahaaaa haaa Guinea Bissau. Wakati matokeo yakitangazwa mtasema ni kura zilizopigwa Congo.
 
CCM wametoa boriti za ufisadi kwani hujui au unafunika kichwa kama mbuni?

Safi saaana. Kuna wimbo; toa kwanza boritiiii, kwenye jicho lakooo, ndipo utaona kibanziiii, kwenye jicho la mwenzakooo...Haya upesi chadema katoeni maboriti yenu upesi anza na Edo, Sumaye kisha pitia na Gwajima
 
Nikiwa kijana mzalendo nasikitika kuiona Chadema ikipewa nguvu na waliyemtambulisha kuwa FISADI PAPA.

Sitoandamana tena kwa kisingizio cha nguvu ya umma.

Kuing'oa CCM hakuwezi kuifanya chadema ijenge makao yake makuu!

Kudeki barabara wakati gheto lako limejaa uvundo hakutapumbaza wazalendo wa kweli kuchagua kilicho bora.

Kuwachukua vijana Ngarenaro ili wakafanye matamasha ya mafuriko sio jambo lililozoeleka kwa Chadema.

Naungana na Mwanakijiji kuwakataa wasanii na movie ya mabadiliko.

MY ASH TRAY HEART SAYS NEY!!!

Magufuli rekebisha 'SOMBRERO' uchape KAZI.

#HAPAKAZITU

Ndiyo maana ukaitwa UDA maana ni wizi mtupu. Mil 230 kununua kampuni yenye Mabasi zaidi ya 100!

Masaburi yako.
 
Mafuriko hayajakupitia...?huwa kwetu mafuriko huchukua matunguri na laana zake zote....
 
Nikiwa kijana mzalendo nasikitika kuiona Chadema ikipewa nguvu na waliyemtambulisha kuwa FISADI PAPA.

Sitoandamana tena kwa kisingizio cha nguvu ya umma.

Kuing'oa CCM hakuwezi kuifanya chadema ijenge makao yake makuu!

Kudeki barabara wakati gheto lako limejaa uvundo hakutapumbaza wazalendo wa kweli kuchagua kilicho bora.

Kuwachukua vijana Ngarenaro ili wakafanye matamasha ya mafuriko sio jambo lililozoeleka kwa Chadema.

Naungana na Mwanakijiji kuwakataa wasanii na movie ya mabadiliko.

MY ASH TRAY HEART SAYS NEY!!!

Magufuli rekebisha 'SOMBRERO' uchape KAZI.

#HAPAKAZITU

Amehongo nyumba zetu hakuna nafasi zaidi ya ile yake.
Alichoma nyavu akidhani anakomoa watu kumbe anajikomoa.
 
Back
Top Bottom