CHADEMA is no longer 'Peoples Power'

CHADEMA is no longer 'Peoples Power'

Nikiwa kijana mzalendo nasikitika kuiona Chadema ikipewa nguvu na waliyemtambulisha kuwa FISADI PAPA. Sitoandamana tena kwa kisingizio cha nguvu ya umma. Kuing'oa CCM hakuwezi kuifanya chadema ijenge makao yake makuu! Kudeki barabara wakati gheto lako limejaa uvundo hakutapumbaza wazalendo wa kweli kuchagua kilicho bora. Kuwachukua vijana Ngarenaro ili wakafanye matamasha ya mafuriko sio jambo lililozoeleka kwa Chadema. Naungana na Mwanakijiji kuwakataa wasanii na movie ya mabadiliko. MY ASH TRAY HEART SAYS NEY!!! Magufuli rekebisha 'SOMBRERO' uchape KAZI. #HAPAKAZITU
Who cares how brainless you are?We are determined to demolish CCM ....hufai lab za VACCINE
 
Nikiwa kijana mzalendo nasikitika kuiona Chadema ikipewa nguvu na waliyemtambulisha kuwa FISADI PAPA.

Sitoandamana tena kwa kisingizio cha nguvu ya umma.

Kuing'oa CCM hakuwezi kuifanya chadema ijenge makao yake makuu!

Kudeki barabara wakati gheto lako limejaa uvundo hakutapumbaza wazalendo wa kweli kuchagua kilicho bora.

Kuwachukua vijana Ngarenaro ili wakafanye matamasha ya mafuriko sio jambo lililozoeleka kwa Chadema.

Naungana na Mwanakijiji kuwakataa wasanii na movie ya mabadiliko.

MY ASH TRAY HEART SAYS NEY!!!

Magufuli rekebisha 'SOMBRERO' uchape KAZI.

#HAPAKAZITU

Pole Dada Kama Ni Train linajaribia kigomaaaaaa!!!!USO Na haya!!;
 
Kivuko cha MV Dar es salaam kimenunuliwa bei gani???na ni cha Mwaka gani?????.....ulizeni. BAHRESA Kanunua MV Kilimanjaro bei gani na ni cha mwaka gani?
 
Uda Nakusoma uzuriii unavowapatia darsa nyumbu wa ufipa na misukule ya gwajima
 
Last edited by a moderator:
huwa nasikitika sana kuona vijana wadogo hawajitambui,wanadhani tanzania inapaswa kuwa hivi wakati tulipaswa kuwa hatua mia moja kutoka hapa tulipo.bora nimpe kura yangu fisadi mmoja kuliko kukipa kiwanda cha mafisadi ambamo mafisadi wamo wamejazana,wengine bado kukomaa,wengine ndo wanazaliwa,wengine ndo wanamalizia,wengine ndo wanajitutumua kufisadi etc

tutaheshimiana tu 25,oct

Mwanadada akitoka kujenga hoja nzito namna hiyo, kama uwezowako sio mkubwa ni heri ukae kimya..maana mtumzima unajiaibisha tu.
 
Nikiwa kijana mzalendo nasikitika kuiona Chadema ikipewa nguvu na waliyemtambulisha kuwa FISADI PAPA.

Sitoandamana tena kwa kisingizio cha nguvu ya umma.

Kuing'oa CCM hakuwezi kuifanya chadema ijenge makao yake makuu!

Kudeki barabara wakati gheto lako limejaa uvundo hakutapumbaza wazalendo wa kweli kuchagua kilicho bora.

Kuwachukua vijana Ngarenaro ili wakafanye matamasha ya mafuriko sio jambo lililozoeleka kwa Chadema.

Naungana na Mwanakijiji kuwakataa wasanii na movie ya mabadiliko.

MY ASH TRAY HEART SAYS NEY!!!

Magufuli rekebisha 'SOMBRERO' uchape KAZI.

#HAPAKAZITU

Wewe kijana?
 
Hata wewe unataka kuwa babu jinga?
Zungusha zungusha zungusha...zungusha mikono...sera dk 5 halafu unawanadi ccm!!
What a shame!!

Utakuwa ni mjukuu wa ccm
 
Eti nawe ni GT?
 
Hata wewe unataka kuwa babu jinga?
Zungusha zungusha zungusha...zungusha mikono...sera dk 5 halafu unawanadi ccm!!
What a shame!!

Jinga kubwa sana weww
 
Jamani tuache ubishi Lowassa ni nguvu ya umma na nguvu ya umma ni Lowassa. Najua kuna nguvu kubwa inayotumika kuzuia nguvu hii lakini nguvu hii ni kubwa zaidi kuliko ile nguvu inayozuia. Jana Mwanza, Ukerewe, Mwibara, na Bunda tumeishuhudia nguvu ya umma nguvu ya Lowassa.

Jana mzee wetu kipenzi Kingunge alisema umati ule wa jana kwenye viwanja vya furahisha haujapata kutokea na zaidi ya watu 130 kuzimia, akaenda mbali zaidi na kusema yale siyo mafuriko ni BAHARI.
 
Nikiwa kijana mzalendo nasikitika kuiona Chadema ikipewa nguvu na waliyemtambulisha kuwa FISADI PAPA.

Sitoandamana tena kwa kisingizio cha nguvu ya umma.

Kuing'oa CCM hakuwezi kuifanya chadema ijenge makao yake makuu!

Kudeki barabara wakati gheto lako limejaa uvundo hakutapumbaza wazalendo wa kweli kuchagua kilicho bora.

Kuwachukua vijana Ngarenaro ili wakafanye matamasha ya mafuriko sio jambo lililozoeleka kwa Chadema.

Naungana na Mwanakijiji kuwakataa wasanii na movie ya mabadiliko.

MY ASH TRAY HEART SAYS NEY!!!

Magufuli rekebisha 'SOMBRERO' uchape KAZI.

#HAPAKAZITU

Hii inadhihirisha jinsi Lowassa anavyowanyima usingizi CCM,na mtakosa usingizi mpaka tar 25/10.Mkija kupata usingizi Lowassa yuko magogoni tayari....poleni,hakika hamkuzowea siasa zenye ushindani mkali kama za mwaka huu sasa mnahaha,na zaidi hamkuzowea kuwa wapinzani.
 
Magufuli jana kasema mabadiliko hayaji kwa kuzungusha mikono....hata kichwa au hata kuzungusha kiuno....
NI KAZI TU...
 
Yanakuja kwa push up kwenye jukwa la kutangazia sera then akiwa gym sijui itakuaje? Ukiwa kwenye jukwa gafla ukakosa sera papo hapo ugonjwa unaoitwa "suffering from what to do" unakuvamia lazima utachangaya mada. Kuwait itaitwa Saddam!
 
Back
Top Bottom