CHADEMA is no longer 'Peoples Power'

Uda

JF-Expert Member
Nov 27, 2010
811
624
Nikiwa kijana mzalendo nasikitika kuiona Chadema ikipewa nguvu na waliyemtambulisha kuwa FISADI PAPA.

Sitoandamana tena kwa kisingizio cha nguvu ya umma.

Kuing'oa CCM hakuwezi kuifanya chadema ijenge makao yake makuu!

Kudeki barabara wakati gheto lako limejaa uvundo hakutapumbaza wazalendo wa kweli kuchagua kilicho bora.

Kuwachukua vijana Ngarenaro ili wakafanye matamasha ya mafuriko sio jambo lililozoeleka kwa Chadema.

Naungana na Mwanakijiji kuwakataa wasanii na movie ya mabadiliko.

MY ASH TRAY HEART SAYS NEY!!!

Magufuli rekebisha 'SOMBRERO' uchape KAZI.

#HAPAKAZITU
 
attachment.php
 
huwa nasikitika sana kuona vijana wadogo hawajitambui,wanadhani tanzania inapaswa kuwa hivi wakati tulipaswa kuwa hatua mia moja kutoka hapa tulipo.bora nimpe kura yangu fisadi mmoja kuliko kukipa kiwanda cha mafisadi ambamo mafisadi wamo wamejazana,wengine bado kukomaa,wengine ndo wanazaliwa,wengine ndo wanamalizia,wengine ndo wanajitutumua kufisadi etc

tutaheshimiana tu 25,oct
 
Kuna ofisi kubwa kuliko hata ya CCM Dodoma... Inaitwa Ngome hiyo, inaonekana ulikuwa hujui... Polee....

Mwendo mdundo, wananchi washaamua... Tukutane oktoba 25
 
Mtoto hata ubwabwa wa shingo haujakutoka unadai mabadiliko...yapi hayo...kifunze historia ujue nini cha kubadilisha
 
Ngome ya kinondoni !!
 
Nikiwa kijana mzalendo nasikitika kuiona Chadema ikipewa nguvu na waliyemtambulisha kuwa FISADI PAPA.

Sitoandamana tena kwa kisingizio cha nguvu ya umma.

Kuing'oa CCM hakuwezi kuifanya chadema ijenge makao yake makuu!

Kudeki barabara wakati gheto lako limejaa uvundo hakutapumbaza wazalendo wa kweli kuchagua kilicho bora.

Kuwachukua vijana Ngarenaro ili wakafanye matamasha ya mafuriko sio jambo lililozoeleka kwa Chadema.

Naungana na Mwanakijiji kuwakataa wasanii na movie ya mabadiliko.

Magufuli rekebisha 'SOMBRERO' uchape KAZI.

#HAPAKAZITU

Utaumia bure moyoni, usipompenda wewe wapo wanaompenda, endelea kukumbatia mafisadi humo ccm, chama kizima kimeoza, kuanzia mkubwa hadi mdogo.
 
Kama imekuuma kunya kidogo
 
Utaumia bure moyoni, usipompenda wewe wapo wanaompenda, endelea kukumbatia mafisadi humo ccm, chama kizima kimeoza, kuanzia mkubwa hadi mdogo.
Na uvimbe upasuke...Mizoga kutoka ccm iko meza kuu ya chadema ngastuuka!
 
Mtoto hata ubwabwa wa shingo haujakutoka unadai mabadiliko...yapi hayo...kifunze historia ujue nini cha kubadilisha

Wewe ni wa kuanyamaziwa tu, maana inaokena kichwani hazimo, na huenda mtu unayejipatia mali kwa njia halamu, wezi, matepeli, mafisadi na majambazi nyumbani kwao ni ccm.
 
Back
Top Bottom