mtanzania1989
JF-Expert Member
- May 20, 2010
- 4,066
- 6,760
Du ! Kama kweli hilo ni jibu la Dr Slaa , kamwe sitamwamini mwanasiasa yoyote :scared:
Ngoja nipiganie tu familia yangu
Ngoja nipiganie tu familia yangu
Du ! Kama kweli hilo ni jibu la Dr Slaa , kamwe sitamwamini mwanasiasa yoyote :scared:
Ngoja nipiganie tu familia yangu
Dah....Logo na WanaJF,
Kwanza nikubali kuwa CHADEMA hujali ushauri tunaopewa, na uwe mzuri au mbaya, wenye nia njema au la, hakuna ushauri usiofanyiwa kazi.
Hata hivyo, ushauri unawake kuwa ushauri, hula haugeuki kuwa Amrit, hivyo, si lazima ushauri kukubaliwa na kutekelezwa. Hata hivyo, Sina uhakika ni kwa kiasi gani umefanya utafiti wa kina kabla ya kutushauri. Inaelekea, bado una mawazo ya zamani ya maandamano, ya mikutano ya hadhara na kadhalika.
Aidha unaposema wananchi wanakata tamaa sina hakika unazungumzia wananchi wepi. Chadema kila siku, na kila eneo inatwanga M4C, Chadema kila kukicha inashinda chaguzi ndogo mbalimbali za vijiji na vitongoji hata mahali ambapo makao makuu hatujafika! Sasa ni wananchi gani na wa wapi unazungumzia! Inaelekea bado unafikiri ki 47"
Dah....
Wewe mtu si vizuri kujifanya Dr Slaa...
Najua Dr Slaa hajakomaa Kisiasa..lakini si kiasi hichi ulichoandika wewe..
Too low....
Kwanza Kiswahili kibovu...
Pili mipasho kama ya kizaramu...
Tatu umeandika kama umelewa...
Dah! Huyu ndie mkuu wa machadema!Logo na WanaJF,
Kwanza nikubali kuwa CHADEMA hujali ushauri tunaopewa, na uwe mzuri au mbaya, wenye nia njema au la, hakuna ushauri usiofanyiwa kazi.
Hata hivyo, ushauri unawake kuwa ushauri, hula haugeuki kuwa Amrit, hivyo, si lazima ushauri kukubaliwa na kutekelezwa. Hata hivyo, Sina uhakika ni kwa kiasi gani umefanya utafiti wa kina kabla ya kutushauri. Inaelekea, bado una mawazo ya zamani ya maandamano, ya mikutano ya hadhara na kadhalika.
Aidha unaposema wananchi wanakata tamaa sina hakika unazungumzia wananchi wepi. Chadema kila siku, na kila eneo inatwanga M4C, Chadema kila kukicha inashinda chaguzi ndogo mbalimbali za vijiji na vitongoji hata mahali ambapo makao makuu hatujafika! Sasa ni wananchi gani na wa wapi unazungumzia! Inaelekea bado unafikiri ki 47"
Heshima kwako Dr.W. SLAA,nimesikitika sana kwa majibu ya kitoto na kipuuzi haya uliyoyajibu,kama kweli wewe ndo umejibu basi I THINK IS HIGH TIME kwa wewe kuwaachia hiki kijiti cha ukatibu mkuu waendeshe wengine mheshimiwa wangu,umepoteza uwezo wako wa kufanya utafiti kabla ya kujibu,umejibu kwa dharau ya hali ya juu tena kwa ubabe.
Sikutegemea kama unaweza mwambia mwanachama unayemuongoza kuwa anafikiria ki 47" hata sijui unamaanisha nini,je hujui kilichotokea karibuni kwenye mkutano alioufanya Tundu Lissu hapa DSM? walikuja watu wangapi? hukumbuki kauli alizozitoa kwa viongozi wa Chadema DSM? yote hayo ni dalili kuwa wanach wanapoteza imani na Chadema,iwe kwa matukio ya kweli au kwa kutengenezewa na Wapinzani wa CDM lakini matukio hayo yanashiria negative impresion for CDM,unazungumzia kushinda kwa uchaguzi wa vitongoji? Hoja ya kitoto sana hii mzee wangu,maana hakuna asiyejua overall ya uchaguzi huo ni CCM inaongoza kwa mbali na kama ndio ungekuwa ni uchaguzi mkuu basi CCM WANGEKUWA WANARUDI TENA MADARAKANI,
Pia naanza kupata hisia za kuwa si mtu wa kushikilia msimamo wa CHAMA CHAKO, NAONA UNAMJIBU KUWA ANA MAWAZO YA KIZAMANI TU KWA SABABU ANASHAURI MTUMIA MAANDAMANO NA MIKUTANO YA WAZI..JE NI NANI ASIYEJUA KUWA CDM TUNAAMINI KATIKA MAANDAMANO? MARA NGAPI MMEKUWA MNATUSISITIZA TUHUDHURIE MAANDAMANO?(NGUVU YA UMMA)..
HILI LA KUTUAMBIA KUNA VITONGOJI CDM IMESHINDA HATA MAKAO MAKUU HAMJAFIKA -mzee umenishangaza sana kwa kweli siamini kama ni wewe umejibu kitoto hivyo,nataka nikuhakikishie kuwa WANANCH HAWACHAGUI VIONGOZI KWA SABABU NYIE MNAOJIITA WA MAKAO MAKUU MMEFIKA ILA NI KWA SABABU WANAIMANI NA WAGOMBEA WANAOKUWA WAMEGOMBEA MAENEO HAYO PAMOJA NA IMANI YAO KWA CHAMA(CHAMA SIO MAKAO MAKUU TU). NINA SEHEMU NYINGI SANA AMBAZO NYINYI MNAOJIITA MAKAO MAKUU MMEFIKA NA BADO CHAMA KIKAMWAGWA VIBAYA SANA,..USIWE NA JAZIBA KWENYE UKWELI,SAIZI HATA UKIPITA VIJIWENI WALE WATETEZI WA CDM WAMEPUNGUA AU WAMEKUWA NEUTRAL...
maandamano yasiyo na mpangilio ni kero kwa mafisadiNi kweli kabisa,
Mandamano yasiyo na mpango ni kero kwa wananchi
Pia mikutano ya hadhara kila siku tena saa za kazi ni kupoteza muda muhimu ambao ungetumika kujenga nchi
Ambacho hujaelewa ni kwamba ile video msiitegemee, iwe kweli au sio kweli wananchi wameamua hawataki Ccm, ni zamu ya chadema kupokea kijiti, nenda kamwambie mwigulu na wajomba zako wengine kwamba hizi ndo taarifa zilizoko mtaaniNyinyi rukeni rukeni tu ila mwisho wasiku lazma mtapaswa kutua,watanzania wa sasa ni kweli si wa mwaka 47,vyovyote tunaweza kua.Tunaweza kuiweka madarakani CCM,CDM,CUF hata CCJj tukiamua.Ni kweli mlianza vizuri ila kwa sasa hatma yenu iko mbioni.Leo mnataka kutuaminisha eti ile video ya lwekatare ni feki,jibu ni hilohilo kama la dr slaa kwamba watanzania wa leo si wa mwaka 47
Nawaomba viongozi wa CHADEMA amkeni, ITISHENI mkutano mkuu mkae mpange mikakati thabiti ya kukinusuru chama chenu kwani hali ya sasa inaiweka CHADEMA hatarini sana.
Suala la Lwakatare, Polisi kuiminya CHADEMA, mara Kigoma, mara wapi. Msikubali kunyanyasika kiasi hiki hata kwa damu. Unajua saivi wananchi wameanza kupoteza matumaini sababu wanaona ni kama CHAMA kinachowafanya wateseke sana,I maana wakiandamana tu wanapigwa na kunyanyaswa sana, na CCM inawapaka matope mbaya kupitia polisi nyinyi mnasema tuna Mungu bila kujishughulisha?
Amkeni wekeni mikakati ya kukabiliana na nguvu hii ya CCM ya kuhakikisha CHADEMAinayeyuka kabla ya 2015. Mkikaa mkapanga mikakati yenu hata ikitangazwa tu kwenye vyombo vya habari adabu itarudi.
Jibu la LOGO
Kwanza siamini kama @Dr W Slaa anaweza kujibu hivi, nahisi akaunti yake imeingiliwa na wezi. Kama ndiyo wewe mheshimiwa Dr. W. Slaa, ukweli uko hivi:-
1. CHADEMA kinapoa tofauti na zamani kwa maana ya kwamba uhamasiashaji unapungua, vijana nikiwemo na mimi tulikuwa tunafurahi sana kuona CHADEMa wakija na mikakati ya nguvu kupinga unyanyasaji. Juzi yale yalikuwa maandamano ya nchi nzima hata kama yangeruhusiwa mngepata asilimia kubwa ya wavuta bangi, na vijana wasio na kazi na wachache ambao kweli wanaipenda CHADEMA. Tatizo ni moja tu, TUNAPOTOKA KWENYE MAANDAMANO TUNAOKAMATWA NI SISI RAIA WA CHINI NYINYI WAHESHIMIWA MNARUDI KULA MATUNDA NYUMBANI. Mpaka ninavyokwambia hivi kuna watu wamo ndani sababu ya maandamano ya CHADEMA, kwanini msisimame kimkakati kupinga unyanyasaji huu?
Mh Katibu mkuu, kwa hiyo unaridhika na kasi ya ukuaji wa chama? I thought you would aim to grow at a much higher pace than that!
Sikupenda sana ulivyo down play mawazo ya Logo kwamba anafikiri ki 47!.
Hii inawatisha vijana wako kutoa ushauri kwa kuhisi kudhalilishwa kama msemo ulioutumia hapa.
Ungebakia tu na kazi yako ya ukuda.Ni kweli kabisa,
Mandamano yasiyo na mpango ni kero kwa wananchi
Pia mikutano ya hadhara kila siku tena saa za kazi ni kupoteza muda muhimu ambao ungetumika kujenga nchi
Ukiona mtu anachukia polisi ujue Ni mhalifu.Ungebakia tu na kazi yako ya ukuda.
policcm?Kama wewe unapenda polisi kwanini uliacha?Ukiona mtu anachukia polisi ujue Ni mhalifu.
Dah....
Wewe mtu si vizuri kujifanya Dr Slaa...
Najua Dr Slaa hajakomaa Kisiasa..lakini si kiasi hichi ulichoandika wewe..
Too low....
Kwanza Kiswahili kibovu...
Pili mipasho kama ya kizaramu...
Tatu umeandika kama umelewa...